Altas of the Universe (Atlasi ya Ulimwengu)

Altas of the Universe (Atlasi ya Ulimwengu)

Uyu hapa

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2021
Posts
396
Reaction score
480
Habari zenu wakuu

Kwa wale wadau wa mambo ya sayansi ya Anga za mbali,

Kuna SHORT video YouTube unaweza search inaitwa,

A 3D Atlas of the Universe - Carter Emmart

Link:


Hivi
Uhalisia wa hii video ukoje??? Ya KWELI ???
 
Duhu mm sio mtaalamu wa hayo mambo ila kitu nilichoelewa ni kwamba hii Dunia tunayo iyona ni ndogo sana ila Kuna ulimwengu mwingine mkubwa na pia Kuna kitu kazungmzia wanaproject ya kuwa na satellite ambayo inaweza kusaidia kuhifadhi mazingira na pia kazungmzia tuweze badilisha ramani hii tuliyonayo duniani Kun vitu vingi Haina
 
Back
Top Bottom