Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Uzi huu ni Kwa ajili ya kupata maekezo ya kina kutoka Kwa wajuzi wa mambo haya na kupata elimu na kuacha kuwatuhumu usalama wa Taifa Kwa kila ovu linalotokea, Ndiyo mwanausalama wa Taifa ( watu...
8 Reactions
108 Replies
21K Views
Kwa 100% binadamu wote wanaoamini kuwa Mungu yupo ni wale ambao nafsi zao zimejaa hofu na uwoga kutokana na vitisho mbalimbali ambavyo Mungu ameviweka juu yao. Hata wewe unayesoma uzi huu muda...
12 Reactions
128 Replies
12K Views
An American Jew has been caught passing military secrets from inside the Pentagon to Israeli intelligence. Israel denies it, but this is not the first time that the Israelis have been caught...
3 Reactions
61 Replies
12K Views
Kama Wewe ni mfuatiliaji wa Mambo Mbali mbali, Bila shaka Lazima umewahi Kukutanana Na Majina Kama SWAT, CIA au FBI Wakati Tukipiga Stori za Uongo na Ukweli vijiweni. Sasa Leo Nataka Uzijue...
19 Reactions
210 Replies
22K Views
Awali ya yote naomba nikuhakikishie ndugu msomaji kua hii sio hadithi ya kusadikika au tuseme ni stori ya kutunga, hii ni habari ya kweli tena ukweli mtupu unayoelezea habari USIOJULIKANA na...
11 Reactions
20 Replies
14K Views
Mada haihusiani na dini. 1. Viumbe hai tuna msaada gani kwa Dunia Nini faida yetu? 2. Nini thamani ya viumbe hai hapa duniani mchango wetu ni upi? 3. Ikitokea viumbe hai hakuna katika sayari...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarini wana Intelijenisia... Katika thread hii nitajaribu kufupisha maana ina mambo mengi sana. Tutajuzana zaidi pindi tutapojadili kwa pamoja. Moja kwa moja nataka nilete hii mada tupate...
15 Reactions
42 Replies
11K Views
Je, umewahi kufikiria kuwa Mama ndie kiumbe anaepitia upweke kwa kiasi kikubwa zaidi katika maisha zaidi ya Baba? Ni ukweli usiopingika kuwa mama ndie namba mbili baada ya Mungu muumba wetu...
40 Reactions
29 Replies
7K Views
Mathayo 7:13-24 Biblia Habari Njema (BHN) 13. “Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. Kwa maana njia inayoongoza kwenye maangamizi ni pana, na mlango wa kuingilia humo ni mpana; waendao njia hiyo...
5 Reactions
6 Replies
2K Views
21 April 2022 Former President Obama speaks on disinformation's threat to democracy — 4/21/22 Former President Barack Obama delivers a keynote address at Stanford University about...
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Salute.. Kwa wale wapenzi wa muvi zinazotengenezwa na studio za Marvel. Marvel ipo chini ya rais wake Kevin Fiege ambae nae ni Illuminati Freemason mwenye 33 Degrees mtakubaliana na mm hili...
21 Reactions
221 Replies
44K Views
PIERRE ALIKUWA BURUNDI, NA BURUNDI ILIKUWA NKURUNZIZA; SHETANI MSTAARABU NA MALAIKA PEKEE ATAKAYE KUMBUKWA. Na. Comred Mbwana Allyamtu. Thursday-18/06/2020 Arusha City, Arusha - Tanzania. Taifa...
20 Reactions
30 Replies
10K Views
Naomba nianze kusema Mimi sio mwandishi wa hili andiko nimelikuta tu sehemu WhatsApp nimeona nishare na nyie kama Kuna Cha kuongeza au kurekebisha basi uwanja ni wenu MATUKIO 160 YA KIJASUSI...
3 Reactions
12 Replies
5K Views
MUNGU WA HEDHI: hedhi yake hutoka mwaka mzima na kukata siku tatu tu Ukiniuliza nchi gani namba moja ungependa kuitembelea leo, basi binafsi yangu ningekutajia UFARANSA ningependa kwenda kule...
11 Reactions
29 Replies
5K Views
In 2009, Colonel Gaddafi, then President of the African Union, suggested to the States of the African continent to switch to a new currency, independent of the American dollar: The objective of...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Leo nimeona niweze kushea nanyi machache niliyojifunza, kushuhudia au kuyajua kupitia elimu ya juu ya fahamu zetu, kupitia elimu hii sisi kama binadamu tumefanya kutooa au kuamisha baadhi ya mambo...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Naleta swali hili kwenu nyinyi wataalum wa hesabu. Je, Mathematics inaweza kutufunulia siri za ulimwengu..? Nimekuwa nikisikia kuwa hesabu na matendo yake kama tutaweza kuzitumia vyema basi...
11 Reactions
125 Replies
14K Views
Leo naendelea na huu uzi pale ambapo niliishia mara ya mwisho.. Baada ya kuona ushahidi wa wana historia mbalimbali juu ya uwepo wa wayahudi weusi ndani ya Afrika kaskazini na Afrika ya...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kila neno kwenye lugha huwa lina athiri yake. Mfano ukichunguza utaona kuwa God aliabudiwa na jamii nyingi za Ulaya kabla hata ya ukristo. Allah aliabudiwa na waarabu kabla hata ya...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Tunakazana sana kusema TULIKUWA. hatuhangaiki na Kusema TUKOJE sasa na TUTAKUWAJE. ukiona watu wanavyohangaika kusema waisrael walikuwa weusi. Unajiuliza so what?or then what happened? Ukisoma...
24 Reactions
110 Replies
11K Views
Back
Top Bottom