Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,961
- 80,240
Kuna theories nyingi....moja ikiwa hii
Mr Clean alipigana kwenye kamati mwenda zake kuingia ndani kutokana na historia yake na wale jamaa wa mipango.
Mdau ananiuliza hapa...je kufuatana ilipangwa au ilitokea tu Mungu aliwahitaji?
Amenikumbusha wote wamepelekwa na gonjwa moja.