Jamii imekuwa ni mwongozo wetu kwenye kuishi, hisia zetu mawazo na kufikiria mara zote yanatokana na jinsi jamii ilivyotutafsiria maisha. Kinachotokea ni tunakuwa zao la jamii inavyotaka na kukosa...
MATE,
Mwaka 33AD baada ya Kristo kuondoka duniani aliliacha kanisa mikononi mwa Peter kama papa/baba wa kwanza katika kueneza Imani na ushuhuda wa Kristo, Paulo akishirikiana na mitume/wanafunzi...
Hi to all of you here , my hope is that you are at least thinking of lockdown for yoour own good(I do not mean the situation has gone wild). Let me take it slow, currently there have been fishy...
Muhimu: Makala hii ndani yake ina maelezo na picha zenye kuogofya na ukatili. Soma kwa tahadhari binafsi. (reader’s discretion is strongly advised)
LA ULTIMA LETRA.
Sasa, unaweza kupata...
Majasusi ambao wanakuwa ni double agent wanakuwa changamoto sana kwa idara nyingi za usalama duniani ingawaje wanatumiwa sana mpaka sasa. Wengi wao hujifanya kuifanyia kazi kitengo Cha nchi yake...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Wadau naamini kuna watu wenye uelewa na na michezo ya mazingaombwe au viini macho, naomba kujua hatua gani na taratibu zinatakiwa kufuatwa? Na wapi naweza jifunza?, je kunausiano wa mambo ya...
Habari Wanabodi
Nimeona quotes mbalimbali kuhusu complex person, je hawa ni watu wenye traits zipi?
Je umeshawahi washuhudia? Inasemekana ni watu wenye kuvutia at the same time ni dangerous...
Je wajua kuwa Sikio ndio kiungo cha kwanza kuumbwa kwa mwanadamu?
وَهُوَ الَّذِي أَنشَأَ لَكُمُ السَّمْعَ وَالْأَبْصَارَ وَالْأَفْئِدَةَ ۚ قَلِيلًا مَّا تَشْكُرُونَ
[ AL - MUUMINUN - 78 ]
Na...
Na:A.M KITOTA
ASWHAABUL KAHF: A SCIENTIFIC APPROACH
Ni takribani karne 14 sasa tangu hali za watu wa pangoni zilipofunuliwa ndani ya Qur’an.
Na ni hivi punde tu katika kizazi hiki (mwaka 1923...
Huenda watu wengi hufikiri kwamba wanapoliona jua angani, ndivyo hivyo, na wengine hata hufikiri kwamba ndege hupita inaporuka.
Lakini sivyo ilivyo, jua linazama na kuzama huku likiwa na habari za...
Nimekua najiuliza ni kwa nini mala nyingi hasa mwisho wa mwaka utasikia watu wengi wanakimbia majumbani mwao hasa vijijini na lengo ni kwenda kuwaomba ndugu walioishatangulia kwa maana ya kufa...
Habari wakuu!
Nafikiri kila mmoja hapa anachangamoto yake, poleni katika hayo, maisha ni lazima yaendelee tu
Ila leo nataka nijue niwangapi walishawahi kujiuliza haya maswali:
(1) Mungu ni nini...
Biblia ni kitabu kinachojumuisha vitabu mbalimbali vilivyoandikwa na watu mbalimbali katika nyakati tofauti na sehemu tofauti.
Biblia ni mkusanyiko wa hivi vitabu ambavyo viliandikwa na waandishi...
Ule msemo wa kwamba kila nafsi itakufa ni uzushi tu. Ni uzushi ambao umekubalika sana kiasi ambacho umeshakuwa kipande-cha-ukweli. Mbadala wa kipande-hicho-cha ukweli hata kama ni kweli kabisa...
Moja kati ya mambo ambayo yatakuchanganya sana akili yako ni kudhani kwamba unaweza kumbadilisha mtu fulani tabia ili awe kama unavotaka wewe.
Nikupe taarifa tu rafiki kwamba jambo hilo...
According to sauti ninayopigaga nayo story kichwani, Mtu yani mimi na wewe tunakamilishwa na sehemu kuu mbili sehemu, sehemu ya kwanza ni UZIMA (UMUNGU/KUSUDI) na sehemu ya pili ni UHAI...
Kuanzia 1999 mpaka sasa zaidi ya miaka 16 nimekuwa nikifanya utafiti wapi yalipo makazi ya Mwenyezi Mungu Kisayansi na Kutumia Vitabu vitakatifu hasahasa Biblia Takatifu nimepata majibu pasina...
Dunia yetu inapitia mageuzo mbalimbali yenye maendeleo. Kuanzia mifumo ya kijamii, uchumi na maendeleo mpaka teknolojia.
Kwa hakika, tangu kuanza kwa dunia takribani miaka bilioni nne hivi...