Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 769
- 1,292
Naamini wote ni wazima wa afya, ila kama kuna mtu yeyote mwenye changamoto basi Mwenyezi Mungu/Allah amfanyie wepesi.
Nimekuwa mdau wa Jamii Intelligence kwa muda sasa, Na hakika ukiwa serious na hili jukwaa utatoka na elimu (madini) sana, kuanzia maarifa ya kiroho hadi yale ya kimwili.
Lakini katika nyuzi ninazozipenda, basi ni zile zenye lengo la question physical world than spiritual world. Sipingi mawazo yao(Kutopinga haimaanishi nakubaliana nao) mfano ile battle ya Mungu yupo vs hayupo na uumbaji wa dunia..Mnao sadiki Big bang theory na hizo theories nyingine, Mnaweza kuwa sawa lakini vipi kama ndio njia ambayo Mungu aliitumia kuumba Ulimwengu? Binafsi, nikiiangalia hii dunia jinsi vitu vinavyopangiliwa, vinavyotegemeana , mfano mdogo tu angalia mchakato mzima reproduction from Penis to vagina, Sperm to egg hadi mtoto anazaliwa unaweza kubaliana na mimi huu mfumo haujatokea tu bali umeumbwa na kitu chenye akili kubwa sana (Superintelligence Being) kama utaita Mungu au Jina lolote utakalotaka. Ila mimi naamini hiki kitu kipo. Tuachana na hayo hii sio mada ya leo.
Basi, katika kuendelea kuperuzi nikakutana na thread inayotusikitikia Waafrika (blacks) kwanini sisi tu ndio tupo nyuma katika maendeleo hasa yale ya kiteknolojia, kila uvumbuzi basi ni wao kuanzia Steam Engines, Umeme, Computers hadi leo tupo kwenye Artifial Intelligence (Akili bandia) yote ni wao tu. Ila sisi hata leo wakisema watuachie au hawataki baadhi ya madini yetu inawezekana tukashindwa kujua tuyafanyie nini, tukabaki tunaangaliana tu.(Usicheke ndio ukweli huo). Tulicheka kwenye zile story za kuwa walikua wanatumia kuchezea bao...lakini hata sisi bado tuna safari ndefu japo thamani yake tunaijua.
Basi majibu yalikua ni mengi, mengine ni ya kuchekesha, wengine walitoa majibu mepesi sana katika hili swali gumu. Confidently, wakasema, upande wa teknolojia wenzetu(whites) inatengenezwa viumbe vya ajabu kutoka sayari nyingine, wakitaja Aliens, Reptiles e.t.c. Hivyo basi hao wanaamini matumizi yetu ya akili ni sawa, ila tu wenzetu wametuzidi sababu wanamiliki hivi viumbe vinavyo wasaidia kuvumbua na kuendeleza teknolojia kwako. ? Theories kama hizi hazina mchango wowote kwetu. Kwanini hivyo viumbe na sisi tumeshindwa kuvikamata kuendeleza teknolojia huku Africa? Umeona? Bado kuna sehemu tumezidiwa na hawa jamaa.
Wengine wakafika mbali wakasema Utumwa, Ukoloni, ukoloni mambo leo. Ni kweli unaweza kukubaliana nao, lakini ni mataifa mengi sana yametawaliwa( Siungi mkono huu upuuzi) ila lakini kitendo cha kuendelea kutawaliwa hadi sasa ni wazi kuna sehemu ambapo tayari tumezidiwa.
Lakini, ukiangalia kwa umakini unaona hayo mengi yaliyofanyika kwa wenzetu hayajatokea tu? bali ni zao la matumizi sahihi ya akili zao. Tukubali tukatae hawa jamaa linapokua swala la matumizi ya akili wapo mbali sana. Tunaweza changua kupingana na ukweli huu, lakini matokeo ya matumizi ya akili tunayaona upande wao, tofauti na sisi. Sipo hapa kukufuru, au kutusi sisi Waafrika(Blacks) kuwa sisi ni wajinga, Hapana. Kuna sababu nyingi zinaweza kuwa zimechangia kuwa na uwezo huu tulio nao, kuanzia kipindi cha evolution au mazingira yetu, lakini kuutambua ukweli ndiyo njia pekee inaweza kutusaidia kujua wapi tunaweza kuanzia.
Unaweza chukulia poa, nguvu ya akili, lakini kitendo cha (Homo Sapiens-Wise man)-Binadamu kuwa kiumbe chenye akili kimefanya tuweze kuitawala dunia. , Viumbe kama Simba, Tembo, Papa n.k pamoja kuwa ni viumbe hatari na vyenye nguvu lakini bado vinaishi chini ya matakwa yetu, tukiamua kuviangamiza vyote basi ni suala la muda tu.
Hii kusema jinsi unavyokuwa na akili basi ndio unazidi kuwa mwenye nguvu ya ku-control dunia. (Suala la pesa hapa ni product ya matumizi sahihi ya akili). Ndio maana waliweza kuanzisha biashara ya utumwa, walianzisha ukoloni hadi leo tumefunikwa kwenye ukoloni mamboleo.
KWANINI KUNA TOFAUTI KIAKILI WAO NA SISI.
Tafiti nyingi zimefanyika na kuhitimisha kuwa Intelligence (akili) ni zao la kimaumbile (ki-jinetiki(genetics) na mazingira (environment). Hapa namaanisha, sababu za kijinetiki na zile za ki-mazingira zina mchango mkubwa katika ustawi wa akili ya binadamu.
Angalizo, hiki ninachoenda kugusia katika hii part, kimeandikwa lengo kujifunza tu, haina lengo lolote la ubaguzi wala kushusha au kukuza thamani ya jamii yeyote ile. Maana majadiliano kama haya mara nyingi ni rahisi kuangukia kwenye ugomvi, kuliko kupata njia saa hii ya kupunguza hili gape. Na expert wengi (Racist scientist) wamejikuta sehemu mbaya baada ya kutoa tafiti zao katika hili jambo.
Basi tuanze kwenye ngazi ya chini kabisa, hujawahi ona au kusikia familia fulani watu wake wanaakili sana(Vice versa)? Hujawahi kutana na jamii fulani, ya kanda fulani katika nchi yetu wana akili sana?
Kama ubongo na mind zetu zipo sawa, kwanini akili zetu ziwe tofauti? Basi sababu za kimazingira na zile za kijinetiki zinachangia kuleta utofauti huo.
I. Sasa turudi kwenye mada yetu, tafiti nyingi zimefanyika kuonesha kuwa kijinetiki , Africans(Blacks) and whites tupo tofauti, hii kusema issue ya race sio social difference pekee ila inahusha genetics pia. (Lakini hizi tafiti zinazuiwa au kupingwa sababu zinatafsirika ni zenye element za ubaguzi, ndio maana race mara nyingi inatafsiriwa kama ni tofauti ya kijamii(Social difference), lakini tafiti nyingi zimethibitisha ni zaidi ya hapo.
Kupata majibu ya mada hii, majiribio mengi yamefanyika kujua kwanini kuna tofauti hii katika race? Walijaribu kwenda mbali kwa kuwapa mazingira ya pamoja kati ya hizi race mbili lakini bado performance ya Whites ilikua juu zaidi ya blacks.
Kufipisha thread, mengi yalifanyika mwisho wakagundua kuwa sio sababu za mazingira pekee zinachangia tofauti hizi bali issue ya genetics, inheritence zinachangia pia.
II. Mazingira: Katika mazingira basi hapa nazungumzia physical environment and social environment; kuanzia chakula, matatizo katika jamii, malezi, elimu, magonjwa, watu wanaotuzunguka na kadhirika. Hii pia ina mchango mkubwa sana katika akili zetu. Na hapa ukiangalia tu kwa jicho la kawaida unaona mazingira yetu na yao ni tofauti. Sina haja ya kuzungumza sana, maana naamini hili jambo lipo katika utashi wa kila mtu.
Mazingira ni kitu cha msingi sana katika ustawi wa akili zetu, ukizungukwa na watu wenye uwezo fulani(Mentality) usitegemee sana utakua tofauti sana, "We are social being, adaptable by nature, tend to go with flow". Hivyo basi mazingira yanaweza kukujenda au kukubomoa kabisa.
Habari njema, kuonesha tofauti ya ki-akili kwa sababu tajwa hapo juu haimanishi sisi ndio basi tena. Hapana kuna namna nyingi ya ku-improve uwezo wetu wa akili, kuna mengi yanaweza fanyika na sisi tukawa bora sio lazima iwe zaidi yao, ila tukapiga hatua kutoka hapa tulipo. (Nitazieleza katika uzi ujao).
Lakini pia, Kuna baadhi ya mambo mengi yanaweza fanyika bila kuhitaji upeo mkubwa wa akili (Cognitive abilities) bali ni tabia zinazoendana na akili tu(Intelligence-related traits) kama vile Curiosity(Udadisi), Motivation(Hamu/motisha), discipline(nidhamu), Courage e.t.c . ambazo zimechangia sana kutengeneza gap tunaloliona sasa.
Curiosity(huitaji kuwa Elon Musk kuwa na njaa ya kutaka kujifunza au ku-question vitu fulani), baadhi ya vitu vinahitaji tu motivation kufanya. Mengine ni discipline (nidhamu) katika kufanya kazi au malengo fulani haihitaji uwe na ngozi nyeupe au genius . Mambo mengine yanahitaji kujifunza kawaida tu e.t.c(Nitakuja na uzi kuhusu hii part pia).
N.B. Mambo ambayo hayana mchango kwetu.

- Denial(Kukataa), njia rahisi kuondoa tatizo ni kulikataa au kulikimbia, lakini kukataa kama kuna utofauti kati yetu na wao kwa maneno lakini matokeo yanaonesha tofauti, haitakuwa mchango wowote katika kutambua matatizo yetu.
- Blaming game: kutupiana mizigo: Kulaumu wazazi au kutupia mzigo kwenye mfumo wa elimu, kisha unalala. Ni kweli mfumo wa elimu una mapungufu sana, lakini hakuna nchi duniani isiyolalamikia mfumo wa elimu hata nchi inayoaminika kuwa na mfumo bora wa elimu kama Finland bado kuna vilio. In short, formal education pekee haiwezi kumaliza changamoto hii . Japo assumption ni " one size fits all.”“education provided tends to be “one size fits none".
Ombi langu, unaweza kutusi, kukashifu huu uzi sababu ya kuhisi upo ku-attack jamii fulani, lakini mambo kama hayo hayawezi kutusaidia chochote. Ni bora kama kuna mahali utahisi kuna haja ya kutoa ufafanuzi au maelezo zaidi, utaweka wazi, Nitakua kwenye comment kuelezea kwa kina.