Kati ya jua na dunia kipi kikubwa?

Godfrey Festo

New Member
Feb 4, 2023
3
6
Habar wanazengo

Mm huwa najiuliza sisi wanadamu tunaamini katika uwepo wa Mungu na malaika zake.

Sasa Mungu aliumba kila kitu vinavyoonekana na visivyoonekana Tuurudi kwenye mada jua na dunia kipi kikubwa na kipi kinazunguka chenzake kwa upande wangu m naamini n jua ndo linazunguka dunia cuz kwenye maandiko matakatifu biblia kuna sehem yoshua alismamisha jua pamoja na mwezi (yoshua 10:13) sasa je? Kipi ni kikubwa na kipi kinazunguka mwenzie?

Nasubir wenye hoja tu….
 
Maake hapo kwanza nicheke
 
Kusimamisha jua inafanyika kwa kuisimamisha Dunia, hivyo wewe utaona kama jua limesimama, kumbe yeye aliyefanya ndiye anajua ni dunia aliyoosimamisha
 
Jua ni kubwa mara milioni moja na laki tatu kwa dunia,yani uchukue dunia ziwe 1.3mil zinaingia kwenye jua moja.sayari ya jupita ni kubwa mara laki moja ukilingamisha na dunia.
Kuhusu kuzunguka, mwezi ndio unaizunguka dunia,na dunia inazunguka kulizunguka jua,na jua pia linazunguka kuizunguka center of milkyway galaxy.
 
Hili ni suala zuri sana lakini uwaulize watu wenye akili zao wenyewe na sio watu wenye akili za kupandikizwa za watu wengine.
Kama tusingejazwa akili za watu wengine kwenye ubongo wetu tusingeamini hata siku moja kuwa jua ndio kubwa na liko mbali kama wanavyosema, na tusingeamini kuwa dunia ndio inazunguka jua,lakini kwa sababu tumefundishwa na tumefaulu kwenye mafundisha hayo ndio maana hapa kuna watu wanacheka kwa dharau juu ya suala hili.

Na mie natoa mtazamo wangu, jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa kwa ukubwa na umbali kutoka ardhini, nyota na sayari zipo mbali zaidi kidogo. Na vyote havipo mbali kama wanavyosema.
Jua na mwezi na nyota zote zinafanya mzunguko wa masaa 24 kila siku, na ardhi ya dunia haizunguki wala haina motion ya aina yeyote imetulia
Dunia ndio kubwa na inawezekana haina mwanzo wala mwisho wa ukubwa au age kwa sisi binadamu kuweza kufahamu.
Wala hakuna outer space,hakuna nje ya dunia, kwa ufupi kilichopo ni hii dunia tu, na kila kitu kimo ndani ya dunia jua mwezi,nyota,sayari kila kitu kimo ndani ya dunia.
Kwa vile tumefundishwa ukubwa na Masafa ya kila kitu itakuwa si rahisi kunielewa nlichoandika hapa

Sisi binadamu tunaishi katika mfumo wa uongo, kuanzia sisi wenyewe ni nani, tupo wapi na tupo lini yaani tupo wakati gani vyote ni uongo, hivi vitu hawajawahi kuambiwa binadamu, kawaida tunataarishiwa uongo wa kuelezea hali halisi ya kila kitu,
Dini,mfumo wa elimu,science,historia n.k vyote ni nyenzo za mifumo ya kujengo mitazamo ya uongo
 
Na mie natoa mtazamo wangu, jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa kwa ukubwa na umbali kutoka ardhini, nyota na sayari zipo mbali zaidi kidogo. Na vyote hakipo mbali kama wanavyosema.

Dunia ndio kubwa na inawezekana haina mwanzo wala mwisho wa wa ukubwa au age kwa sisi binadamu kuwa a kufahamu.
Wala hakuna outer space,hakuna nje ya dunia, kwa ufupi kilichopo ni hii dunia tu, na kila kitu kimo ndani upya dunia jua mwezi,nyota,sayari kila kitu kimo ndani ya dunia.
Kwa vile tumefundishwa ukubwa na Masada ya kila kitu itakuwa si rahisi kunielewa nlichoandika hapa

Mkuu naheshimu sana maoni yako.

Kwenye maisha kila mtu ana imani zake. Na kila mtu akiishi kwa Imani zake, sidhani kama hapa duniani pangekuwa sehemu salama ya kuishi.

Sayansi hutoa majawabu halisi na uthibitisho kwa kile watu waaminicho..

Kwa ufupi
Kuna ulimwengu, ndani yake kuna mkusanyiko wa nyota ziliojipanga katika makundi(Galaxies) na haya makundi yanakadiriwa kuwa zaidi ya billioni mia moja.
Mojawapo ya kundi hilo la nyota, ndimo sisi na vinginevyo uvijuavyo vinapatikana. Huitwa Milkyway galaxy.

Hakuna umbo lolote lililoka angani ambali limesimama, kila umbo lipo kwenye mwendo ili kuweza kubaki kwenye eneo lake la asili. Hii inachagizwa na nguvu ya uvutano ili hili umbo lizidi kubaki. Hii nguvu inaposhindwa, basi umbo hutoka kwenye eneo lake.

Dunia huzunguka jua.
Mwezi huzunguka Dunia.

Hii mizunguko hutegemeana na muda.
Kila baada ya dakika 4 dunia huzunguka jua kwa nyuzi 1. Kwahivyo, Dunia hutumia dakika 1440 kukamilisha mzunguko wake wote.

Hivi ndivyo Mungu alivyoumba ulimwengu. Na ipo hivi.. Na Imani yako yakupasa kuwa ya hivi. Sasa kama unawaza tofauti na hivi, basi, Walimwengu watakushangaa.

"To understand the secret of Universe, think interms of Energy, Frequency n Vibration" Nikola Tesla

Satan
 
Hili ni suala zuri sana lakini uwaulize watu wenye akili zao wenyewe na sio watu wenye akili za kupandikizwa za watu wengine.
Kama tusingejazwa akili za watu wengine kwenye ubongo wetu tusingeamini hata siku moja kuwa jua ndio kubwa na liko mbali kama wanavyosema, na tusingeamini kuwa dunia ndio inazunguka jua,lakini kwa sababu tumefundishwa na tumefaulu kwenye mafundisha hayo ndio maana hapa kuna watu wanacheka kwa dharau juu ya suala hili.

Na mie natoa mtazamo wangu, jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa kwa ukubwa na umbali kutoka ardhini, nyota na sayari zipo mbali zaidi kidogo. Na vyote hakipo mbali kama wanavyosema.
Jua na mwezi na nyota zote zinafanya mzunguko wa masaa 24 kila siku, na ardhi ya dunia haizunguki wala haina motion ya aina yeyote imetulia
Dunia ndio kubwa na inawezekana haina mwanzo wala mwisho wa wa ukubwa au age kwa sisi binadamu kuwa a kufahamu.
Wala hakuna outer space,hakuna nje ya dunia, kwa ufupi kilichopo ni hii dunia tu, na kila kitu kimo ndani upya dunia jua mwezi,nyota,sayari kila kitu kimo ndani ya dunia.
Kwa vile tumefundishwa ukubwa na Masada ya kila kitu itakuwa si rahisi kunielewa nlichoandika hapa

Sisi binadamu tunaishi katika mfumo wa uongo, kuanzia sisi wenyewe ni nani, tupo wapi na tupo lini yaani tupo wakati gani vyote ni uongo, hivi vitu hawajawahi kuambiwa binadamu, kawaida tunataarishiwa uongo wa kuelezea hali halisi ya kila kitu,
Dini,mfumo wa elimu,science,historia n.k vyote ni nyenzo za mifumo ya kujengo mitazamo ya uongo
This man is so dangerous he spews ignorances
 
Ukweli ni upi chief
 
Hili ni suala zuri sana lakini uwaulize watu wenye akili zao wenyewe na sio watu wenye akili za kupandikizwa za watu wengine.
Kama tusingejazwa akili za watu wengine kwenye ubongo wetu tusingeamini hata siku moja kuwa jua ndio kubwa na liko mbali kama wanavyosema, na tusingeamini kuwa dunia ndio inazunguka jua,lakini kwa sababu tumefundishwa na tumefaulu kwenye mafundisha hayo ndio maana hapa kuna watu wanacheka kwa dharau juu ya suala hili.

Na mie natoa mtazamo wangu, jua na mwezi ni vitu vipo sawa sawa kwa ukubwa na umbali kutoka ardhini, nyota na sayari zipo mbali zaidi kidogo. Na vyote havipo mbali kama wanavyosema.
Jua na mwezi na nyota zote zinafanya mzunguko wa masaa 24 kila siku, na ardhi ya dunia haizunguki wala haina motion ya aina yeyote imetulia
Dunia ndio kubwa na inawezekana haina mwanzo wala mwisho wa ukubwa au age kwa sisi binadamu kuweza kufahamu.
Wala hakuna outer space,hakuna nje ya dunia, kwa ufupi kilichopo ni hii dunia tu, na kila kitu kimo ndani ya dunia jua mwezi,nyota,sayari kila kitu kimo ndani ya dunia.
Kwa vile tumefundishwa ukubwa na Masafa ya kila kitu itakuwa si rahisi kunielewa nlichoandika hapa

Sisi binadamu tunaishi katika mfumo wa uongo, kuanzia sisi wenyewe ni nani, tupo wapi na tupo lini yaani tupo wakati gani vyote ni uongo, hivi vitu hawajawahi kuambiwa binadamu, kawaida tunataarishiwa uongo wa kuelezea hali halisi ya kila kitu,
Dini,mfumo wa elimu,science,historia n.k vyote ni nyenzo za mifumo ya kujengo mitazamo ya uongo

Aiseeeee

Hii concept yako umeitoa wapi mkuu?
 
Kama wangedanganya hapa ndege na meli zisingefika maeneo tarajiwa maana wanaoziendesha wanatumia elimu iliyo ya uongo. Kutoka hapa tz kwenda brazil waweza elekea mashariki ukafika ila pia waweza elekea magharibi na ukafika brazil. Tofauti ni gharama ya mafuta na muda wa chombo ndo maana wanatumia njia ya magharibi pekee. Sikusoma sana ila kwa elimu yangu tu ya darasa la saba inatosha kuniaminisha kuwa dunia huzunguka jua. Kama unasema jua na mwezi ndo zinazunguka dunia kwa nini mwezi hupungua na kuongezeka kwa muonekano wa kiumbo. Wafuatiliaji tumeshapewa mifano na tukaelewa.
 
Back
Top Bottom