Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,080
KUWENI MAKINI NA MCHANGA WA KABURINI:

Kuna watu wamepata nuksi, mikosi na mabalaa makubwa katika maisha yao kwa sababu ya matumizi ya mchanga wa makaburini bila kuzingatia au kufuata maelekezo.

Unapokuwa unafanya kitu chochote kile kinacho husiana ama kuyahusisha makaburi kwa namna moja au nyingine iwe ni kutumia mchanga , kuzika vitu, kuoga, kuchoma ama kutambika, unatakiwa kuwa makini sana na kufuata na kuzingatia kanuni na taratibu zake kwa sababu usipo zingatia hayo yatakupata makubwa.

Kwa bahati mbaya sana watu wengi wamekuwa wakitumia mchanga wa makaburini bila kufuata taratibu na matokeo yake wamevaa nuksi,mikosi na mabalaa makubwa ya maisha.

Sio makaburini tu, bali hata katika maeneo mengine ambako mchanga umekuwa ukitumika katika shughuli za uganga na utabibu watu wamekuwa wakitumia ndivyo sivyo na matokeo yake wamekuwa wahanga na nuksi, mikosi na mabalaa.

Mfano mzuri na rahisi wa sehemu hizo ni NJIA PANDA. Watu wengi huwa wana enda kutupa, kuzika, kufukia, kuchoma vitu au kuoga njia panda bila kuzingatia taratibu sahihi.

Huwa nasikitika sana ninapokutana na vitu vimetupwa au kuchomwa NJIA PANDA DUME wakati vilitakiwa vifanyike NJIA PANDA JIKE.

Kwa wasio fahamu , njia panda huwa zipo za aina kuu mbili ; Njia panda inayo unganisha njia tatu na nyingine ni njia panda inayo unganisha njia nne. Kati ya aina hizo mbili za njia panda, moja huwa ni njia panda dume na nyingine ni njia panda jike. Kwa sababu za msingi sitaweka wazi ipi ni njia panda jike na ipi ni njia dume. Aina hizi kuu mbili za njia panda nazo zimegawanyika katika aina mbalimbali.

Njia panda hizo kila moja ina matumizi yake ambayo yapo tofauti na aina nyingine. Kufanya kitu ulicho takiwa kukifanya kwenye njia panda dume wewe ukaenda kukifanya kwenye njia panda jike ni makosa makubwa sana na madhara yake yaweza kuwa nuksi, mikosi,mabalaa na hata kifo cha ghafla.

Nirudi kwenye mchanga wa kaburini. Toka enzi za mabibi na mababu vitu vinavyo tokana na kuhusiana na maeneo ya kaburini vimekuwa vikitumika katika uganga na uchawi yaani wachawi wamekuwa wakivitumia kwa ajili ya kuwatengenezea watu matatizo ilihali waganga wamekuwa wakivitumia kuwakinga na kuwaondolea watu matatizo.

Moja kati ya vitu vinavyo tumika sana katika uganga na uchawi ni mchanga wa kaburini.

Watu wengi wamekuwa wakitumia mchanga wa kaburini ndivyo sivyo na badala yake wameishia kupata nuksi, mikosi na mabalaa makubwa katika maisha yao.

Mchanga wa kaburini una matumizi mengine sana kuanzia kuwatia watu nuksi, mikosi na mabalaa hadi kuwafungua watu kutoka kwenye vifungo vibaya na kuwaletea bahati.

Mchanga wa kaburini una matumizi mengi mazuri kwa mabaya lakini mazuri ni mengi kuliko mabaya.

Wachawi wanau tumia kuwafisadi watu na waganga wanautumia kuwakinga watu dhidi ya shari za wachawi na majini wabaya.

Kama nilivyo dokeza hapo juu mchanga wa kaburini unatofautiana matumizi. Aina ya matumizi ya mchanga wa kaburini hutegemeana na mchanga huo umechukuliwa kutoka kwenye kaburi la aina gani na lenye asili gani.

Katika ulimwengu usio onekana zipo aina za makaburi zaidi ya sabini na kila aina ina matumizi yake. Sitazitaja aina hizo za makaburi na matumizi ya kila aina kwa sababu najua wapo wachawi watatumia maarifa hayo kuwafanyia ubaya watu wengine.

Matumizi ya mchanga wa kwenye kaburi la kale ambalo limeshasahaulika hayawezi kuwa sawa sawa na matumizi ya mchanga wa kaburi la mtoto alie zaliwa akiwa amekufa.

Matumizi ya mchanga wa kaburi lililozama na kutitia hayawezi kuwa sawa sawa na matumizi ya mchanga ulio chukuliwa kutoka kwenye kichuguu kilicho mea kwenye kaburi. Hivi ni vichuguu vidogo ambavyo humea kwenye makaburi na husababishwa na wadudu fulani wa porini wanao fanana sana na panya.

Mchanga kutoka kwenye kaburi la aina fulani unaweza kuwa na matumizi zaidi ya kumi, yote yanaweza kuwa mabaya au mazuri au mchanganyiko wa mabaya kwa mazuri. Kinacho takiwa kuzingatiwa hapo ni elimu na maarifa aliyo nayo muhusika kuhusu mchanga wa kaburini. Kwa sababu sio rahisi kwa mtu asie na maarifa haya kujua ni mchanga upi wa kaburi unatumika katika mambo yepi.

Mchanga ulio patikana kwa kufagia makaburi hauwezi kuwa na matumizi sawa na mchanga ulio chukuliwa kutoka kwenye kaburi lililo lala wazi, au kaburi ambalo lilichimbwa tu halafu hakuzikwamo mtu au kaburi ambalo mchanga ulichukuliwa wakati maiti inazikwa au kabla maiti haijshushwa kaburini.

Wakati mwingine mchanga wa kaburini unaweza kuwa umechukuliwa kwenye kaburi moja na ukawa na matumizi tofauti kabisa tena yanayo kinzana.

Kwa mfano kuna aina fulani ya kaburi, ukichukua mchanga kwenye sehemu ya moyo ya kaburi hilo matumizi yake huwa tofauti na kinyume kabisa na mchanga ulio chukuliwa kwenye sehemu ya kichwa cha kaburi hilo.

Wakati mchanga ulio chukuliwa kutoka kwenye sehemu ya moyo ya aina ya kaburi nililo litaja hapo juu ukitumiwa na baadhi ya watu kuoshea vyombo kwa ajili ya kuvuta wateja kwenye biashara ya chakula au kuwatuliza wafanyakazi wasiondoke , wachawi wanatumia mchanga ulio chotwa kutoka kwenye miguu ya kwenye kaburi hilo hilo kupima nguvu ya kinga kwenye nyumba ambayo wanataka kwenda kuiwangia.

Wachawi wanapoenda kuroga kwenye nyumba wasio ifahamu vizuri ili kujua nguvu ya kinga iliyopo katika nyumba hiyo huwa wanatumia mchanga huo wa kaburini . Wanacho kifanya husubiri hadi giza lizame majira ya saa moja za usiku, mchanga utarushwa kwenye paa la nyumba. Ukisikia paa lenu la nyumba limetupiwa mchanga mida ya saa moja za usiku basi jua wanga walikuwa wanapima nguvu ya kinga ya nyumba yenu na kama wakijiridhisha ninyi ni wepesi basi usiku wa siku hiyo watakuja kuwanga na kuroga .

Katika kupima nguvu ya kinga ya mji, kuna vitu huwa wanavitazama baada ya kutupa mchanga huo. Wakitupa mchanga halafu zikatokea cheche za moto juu ya bati basi siku hiyo hawatokuja, watarudi kujipanga na kuja na nguvu zaidi, na zisipo tokea cheche za moto basi wanajua mji huo ni mwepesi, usiku wa siku hiyo watakuja kuwanga.

Katika uganga na uchawi, mchanga wa kaburini huangaliwa na kutazamwa katika uwanja wake mpana. Haungaliwi tu mchanga ambao umechotwa, umechukuliwa, au umeombwa kutoka kaburini, bali hata mchanga uliokuja ( ulio lazimisha ) wenyewe nyumbani kutoka kaburini

Ngoja nifafanue kidogo hapo, ninaposema mchanga uliokuja wenyewe nyumbani kutoka kaburini ninamaanisha mchanga ulio fika kwenye mji wako kutoka kaburini bila wewe mwenyewe kujua wala kupenda.Hapa ni pale unapokuwa umeenda kaburini eidha kushiriki katika uchimbaji wa kaburi au kusafisha kaburi halafu mchanga ukabaki kwenye viatu vyako na wewe bila kujua ukarejea nao nyumbani kwako na hatimaye mchanga ukabaki kwenye viatu vyako. Katika uganga na uchawi hicho ni kizimba cha hatari sana. Mtu akichukua mchanga huo anaweza kufanya kitu kibaya sana dhidi yako. Ndio maana mnashauriwa unapoenda makaburini nenda na ndala na ukitoka unawe vizuri. Kikubwa usitengeneze mazingira yatakayo kufanya uingia nyumbani kwenu/kwako na mchanga wa kaburini.

Vile vile ipo aina moja ya mchanga wa kaburini ambayo nayo ina matumizi mengi sana makubwa kwa madogo mazuri kwa mabaya . Huu ni mchanga uliopo katika eneo linalo tumiwa na wafu na watu walio hai kwa wakati mmoja. Kama hujaelewa nazungumzia kitu gani, nazungumzia Mchanga uliopo kwenye daraja linalo tumika kuwavusha wafu na walio hai kwa pamoja. Hapa nazungumzia madaraja yaliyo karibu na makaburi ambayo watu wakiwa wanawapeleka marehemu wao kuwazika lazima wayavuke. Huu ndio aina ya mchanga ninao uzungumzia. Katika kuonyesha kuwa mchanga wa aina hii una nguvu sana, hata yale maji yanayo patikana chini ya daraja hili, nayo huwa na nguvu ileile ya mchanga na huwa na matumizi mengi mabaya kwa mazuri.

Kwa ufupi mchanga wa kaburini una matumizi mengi sana kuanzia kuvuta heri na bahati, kuongeza mvuto wa mapenzi, kufungua vifungo vibaya hadi kuwatia watu nuksi, mikosi na mabalaa.

MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUTUMIA MCHANGA WA KABURI AU KUFANYA TAMBIKO LOLOTE KABURINI.

1. Kwanza lazima ujue aina ya kaburi ambalo mchanga wake unaendana na tatizo lako au jambo unalo litaka.

2. Pili lazima ulijue lango kuu la kiroho la kuingia kwenye eneo la makaburi husika. Lango kuu la kiroho la kuingia kwenye makaburi husika huwa lipo katikati ya makaburi. ( Usichanganye na mlango unao onekana kwa macho hususani kwenye makaburi yaliyo jengewa uzio na kuwekewa mageti )

3. Pili unapoingia kaburini lazima uanze kwa kumlipa mlinzi wa lango kuu la kaburi. Ninaposema mlinzi wa lango kuu la kaburi simaanishi mtu anaelinda geti kwenye eneo la makaburi hususani yale makaburi yaliyo jengwa kisasa .HAPANA simaaninishi hivyo. Nina maanisha “mlinzi wa kiroho “ wa makaburi. Kwa wasio fahamu ni kwamba katika kila eneo la makaburi huwa kuna jinni /malaika mwenye dhamana ya kulinda makaburi hayo. Ili uweze kuchukua au kufanya chochote chenye manufaa kutoka ndani ya eneo hilo la makaburi ni lazima kwanza upate ridhaa yake. Unapata ridhaa yake kwa kumlipa. Walinzi wa makaburi huwa wanalipwa kwa sadaka maalumu ambayo hulingana na siku na muda ulioenda lakini katika vitu vyote hivyo lazima kuwepo na mvinyo.

4. Unapoenda kuchota mchanga wa kaburi husika kwenye eneo husika hakikisha kwanza unamuomba alie lala kwenye hilo kaburi na KUMLIPA! Hawa huwa wanalipwa kama wanavyo lipwa walinzi wa makaburi. KAMWE USICHUKUE MCHANGA BILA KUWEKA SADAKA KWENYE KABURI HILO KWA SABABU HUO MZIMU UNAO ENDA KUUTUMIA KWENYE MAMBO YAKO HAU UTEKI NA KUULAZIMISHA KUFANYA UNACHOKITAKA WEWE BALI UNAUOMBA NA KUUPA ZAWADI MAALUMU. MIZIMU NI TOFAUTI SANA NA MAJINI.USIPOWEKA SADAKA MZIMU HUO UTAKURUDIA WEWE NA KUKUDHURU AU UTAFANYA KINYUME CHA KILE ULICHO KUSUDIA UKUFANYIE.

5. Hakikisha unachota mchanga wako katika eneo husika unalo takiwa kuchota. Kamwe usichote katika eneo ambalo halihusiani.

6. Kitu kingine lazima uzingatie muda wa kwenda kuchukua mchanga wa kaburi. Kila aina ya mchanga wa kaburi una muda na wakati wake maalumu wa kwenda kuuchukua. Hivyo unatakiwa kuzingatia hilo pia kabla ya kwenda kuchukua mchanga wa kaburi.

KITU CHA MSINGI UNATAKIWA KUWA NA HESHIMA YA HALI YA JUU MNO, KUWA MSAFI WA MWILI NA KULIPA SADAKA STAHIKI PINDI UNAPOENDA KUCHUKUA MCHANGA WA KABURI
KUWENI MAKINI NA MCHANGA WA KABURINI
IMESIMULIWA NA WANAZUONI

MAKABURI.jpg
 
Kuna watu walienda kuhiji Uganda wakaleta udongo wa kaburi la bibi mmoja huko. Watu wanadai wakiogea maji na huo udongo basi hupona magonjwa na manuksi yote. Nikapatiwa na mimi udongo nikauacha nje hivi kama mwezi

Mwezi ule vitu vilikuwa havienda. Mdogo wangu alikuja kulala home kwangu asubuhi ananiambia yani haelewi elewi mambo hayaendi. Nikawaza kitu gani cha tofauti nikahisi ni ule udongo tu. Lilivyopita gari la taka tu nikatupa nikaona mambo yanaend. .
 
Pole sana mchanga wa kaburi ulikuletea nuksi na kukufungia mambo yako .
 
Mkuu jaribu kuweka mchanga wa kaburi chumbani kwako kisha utaona amtokeo yake fanaya kama unajaribu usipinge kitu huna elimu nacho .
Mchanga wa kaburi la binadamu au la mnyama au ndege. Sababu Toka dunia iwepo kumekuwa na ongezeko la makaburi ya viumbe mbali mbali na yaliyo rasmi au yanayoonekana na kutambulika au yasiyo rasmi Kwa kutoonekana na kutambulika. Nyumba nyingi zimejengwa kwenye makaburi yasiyotambulika na watu wanaishi kwenye nyumba zenye mchanga wa kaburi. Je hiyo Imani Yako Iko wapi hapo.
 
Nyumba iliyojengwa na sehemu iliyoko na makaburi basi nyumba hiyo haikosi mikosi na vitu usiku kutembea tembea vituko vya nyumba haviishi katika hiyo nyumba inakuwa haina amani kabisa maradhi mikosi na mabalaa hayamaliziki katika hiyo nyumba.
 
wale wenye makaburi nje ya nyumba zao, na ni makaburi ya wapendwa wao nao ikoje?
 
Akiweka atakuaje mkuu halafu vipi nyumba iliyojengwa juu ya kaburi/makaburi
afanye majaribio kwa muda wa mwezi mmoja kisha aje hapa kuleta mrejesho wake. nyumba iliyo jengewa makaburi haikosi mabalaa vituko vya mashetani wa makaburini na mikosi haikosi watu wanaoishi ndani ya hiyo nyumba hawakosi kuwa wanaumw aumwa maradhi ya ajabu kila wakati wakati watoto usiku huwa wanaweseka na kupiga kulai ovyo ovyo. Yaani nyumba kama hiyo haifai kuishi .
 
KUWENI MAKINI NA MCHANGA WA KABURINI:

Kuna watu wamepata nuksi, mikosi na mabalaa makubwa katika maisha yao kwa sababu ya matumizi ya mchanga wa makurini bila kuzingatia au kufuata maelekezo.

Unapokuwa unafanya kitu chochote kile kinacho husiana ama kuyahusisha makaburi kwa namna moja au nyingine iwe ni kutumia mchanga , kuzika vitu, kuoga, kuchoma ama kutambika, unatakiwa kuwa makini sana na kufuata na kuzingatia kanuni na taratibu zake kwa sababu usipo zingatia hayo yatakupata makubwa.

Kwa bahati mbaya sana watu wengi wamekuwa wakitumia mchanga wa makaburini bila kufuata taratibu na matokeo yake wamevaa nuksi,mikosi na mabalaa makubwa ya maisha.

Sio makaburini tu, bali hata katika maeneo mengine ambako mchanga umekuwa ukitumika katika shughuli za uganga na utabibu watu wamekuwa wakitumia ndivyo sivyo na matokeo yake wamekuwa wahanga na nuksi, mikosi na mabalaa.

Mfano mzuri na rahisi wa sehemu hizo ni NJIA PANDA. Watu wengi huwa wana enda kutupa, kuzika, kufukia, kuchoma vitu au kuoga njia panda bila kuzingatia taratibu sahihi.

Huwa nasikitika sana ninapokutana na vitu vimetupwa au kuchomwa NJIA PANDA DUME wakati vilitakiwa vifanyike NJIA PANDA JIKE.

Kwa wasio fahamu , njia panda huwa zipo za aina kuu mbili ; Njia panda inayo unganisha njia tatu na nyingine ni njia panda inayo unganisha njia nne. Kati ya aina hizo mbili za njia panda, moja huwa ni njia panda dume na nyingine ni njia panda jike. Kwa sababu za msingi sitaweka wazi ipi ni njia panda jike na ipi ni njia dume. Aina hizi kuu mbili zap njia panda nazo zimegawanyika katika aina mbalimbali.

KITU CHA MSINGI UNATAKIWA KUWA NA HESHIMA YA HALI YA JUU MNO, KUWA MSAFI WA MWILI NA KULIPA SADAKA STAHIKI PINDI UNAPOENDA KUCHUKUA MCHANGA WA KABURI.

View attachment 2541290
......imani kali ya Mungu iko more effective, U need the Spirit of God ,who is the strongest in the Universe ........
 
afanye majaribio kwa muda wa mwezi mmoja kisha aje hapa kuleta mrejesho wake. nyumba iliyo jengewa makaburi haikosi mabalaa vituko vya mashetani wa makaburini na mikosi haikosi watu wanaoishi ndani ya hiyo nyumba hawakosi kuwa wanaumw aumwa maradhi ya ajabu kila wakati wakati watoto usiku huwa wanaweseka na kupiga kulai ovyo ovyo. Yaani nyumba kama hiyo haifai kuishi .
Ona huyu. Kwani magonjwa hajajulikani chanzo chake na kuweweseka hujui inatokana na nini. Acha upotoshaji. Hakuna shida yeyote na mchanga wa kaburi.
 
hawa washirikina wajinga sana yani wao ukiumwa na ukimwi umelogwa. ukiumwa kuhara ni balaa. ukipoteza pesa mkosi. paka akilia pepo. mbuzi akilia pepo pundi akilia mkosi.
leo mchanga wa makaburi mara njia panda dume jike sijui njia panda shoga ....dash tabu tupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom