ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,280
- 4,236
Namaanisha yaani serikali ya Palestina yenyewe haimiliki jeshi wala polisi ama ni ile nchi inaendeshwaje yaani nchi nzima ya Palestina ni kweli haina jeshi wala polisi ama kikosi maalumu cha makomandoo?
Na kama lipo je kazi ya ilo jeshi ni nini mbona polisi ama jeshi la Palestina lenyewe halijitokezi kuwatetea wananchi ama raia wake hasa kipindi hiki wanaposhambuliwa na Israel?
Mwenye majibu sahihi karibu.