Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Dunia yetu inapitia mageuzo mbalimbali yenye maendeleo. Kuanzia mifumo ya kijamii, uchumi na maendeleo mpaka teknolojia. Kwa hakika, tangu kuanza kwa dunia takribani miaka bilioni nne hivi...
1 Reactions
2 Replies
469 Views
Mi najiuliza maswali mengi. Mungu Ni Nini, anataka Nini na Yuko wapi. Ukifuatilia historia ya binadamu tokea tukiwa wawindaji maporini miungu ilikuwepo. Wazee walikuwa wanaongoza vijana kwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Mwaka 1973 Israeli ilishambuliwa na Misri na Syria kwa kushtukizwa wakati wa majira ya sikukuu ya Yom Kippur. Misri walivuka mfereji wa Suez na kuingia Israel(Sinai). Wasyria nao wakaingia huko...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Utata umeibuka kuhusiana na kifo cha Ofisa Usalama wa Taifa, Peter Tyenyi, ambaye mwili wake umekutwa ndani ya kisima cha maji kilichopo eneo la ofisi za idara zilizopo Kijitonyama, jijini Dar...
9 Reactions
313 Replies
99K Views
Fikiria kidogo na namna dunia ilivyo na namna unavyoiishi. Ni kama (VIDEOGAME) isiyo na maana wala uhalisia wowote katika maisha halisi. Hauwezi nielewa kama wewe ni mtu usiyependa ishughulisha...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
#MASTORISTORIYAMWALIMUNAMZEEABDALLAH Mwanangu tambua maisha yako ya leo yaweza yasiwe kama ya kesho! Ishikilie leo, ifurahie leo maana nani aijuaye kesho itakuja na nini? Juzi tu nilikuwa...
2 Reactions
0 Replies
462 Views
Naomba kufahamu kwa nini zinaa inakuwa dhambi? Vitabu vyote vya dini vinapiga maarufu zinaa. Hata mila karibu zote zinakataza zinaa. Naamini hakuna kinachotokea bila sababu, lazima kuna sababu ya...
5 Reactions
46 Replies
8K Views
Habari za jioni wakuu, niende moja kwa moja kwenye mada.... Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza nimekuwa nikijiuliza sana kwa muda mrefu hili swali je wayahudi halisi wamekwenda wapi na je hawa...
5 Reactions
34 Replies
9K Views
HISTORIA YA FREEMASONS Kwa kuanzia tujifunze kidogo historia ya kikundi hicho: Freemasons tafsiri yake kwa lugha ya kiswahili ni “wajenzi huru” ingawa hawatambuliki kwa jina hilo, lakini kwa...
5 Reactions
50 Replies
6K Views
  • Redirect
12 Reactions
Replies
Views
ANGALIZO: Yote yaliyoandikwa humu yatabaki kuwa ni maoni binafsi ya mwandishi wa makala ambayo baada ya kukamilika hii habari references na citations zitawekwa. Kutokana na maada hii kuwa...
12 Reactions
56 Replies
10K Views
Miaka ya 1960 Shirikia la Ujasusi la Marekani lilikuww linapambana na Urusi katika vita baridi. Katika kipindi hiko Marekani ilianzisha program na miradi mbalimbali dhidi ya kupambana na Ujamaa...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Lilith anayesemekana ni mke wa kwanza wa Adam. Hatajwi popote kwenye Biblia takatifu zaidi ya kwenye kitabu cha Isaya 34 : 14, na ambapo hata hivyo kutajwa kwake hakuna mahusiano kabisa na Adam...
68 Reactions
1K Replies
195K Views
Habari wana GT. Natumaini sote ni wazima wa afya. Leo naileta mada hii jukwaani mara baada ya kufanya utafiti wa kina kuhusu Uwepo wa Mungu lakini pia kuhusu imani na dini.Nilichogundua Mungu...
13 Reactions
84 Replies
19K Views
Nimeandaa uzi huu mahususi kwa ajili ya yale maswali magumu yanayotatiza ili kupata majibu bayana kwa wabobezi na wajuvi wa mambo kutoka kwenu wanajamii. Maswali. 1) Kweli (Truth) ni nini ama ni...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
Afya ya akili ni neno ambalo tunalisikia sana siku hizi, kila mtu anaweza kuwa na wazo lake kuhusu hili neno. Tukisema afya ina maana ni kuwa sawa katika asili yake. Na akili ni utendaji kazi...
10 Reactions
9 Replies
2K Views
Jambo la 11:11 na maana yake Je, mara nyingi unaona nambari 11:11 kwenye saa za kielektroniki, anwani au sehemu zingine na kujisikia furaha? Wakati mwingine tunaona nambari zinazorudiwa au...
6 Reactions
8 Replies
26K Views
Kama malaika Gabriel alimtokea Mariam na kumwambia utapata mtoto Kwa uwezo wa roho mtakatifu na jina lake utamuita yesu na atakuja Kwa ajili ya kuikombia Dunia.... Tusome hapa kidogo Wazazi...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Mashirika mengi ya kijasusi yanakaulimbiu zao "nzito nzito" Shirika letu kaulimbiu yao inasemaje? Kaulimbiu inaweza athiri utendaji kazi wa watu? 1. Kaulimbiu ya TISS... 2. Kaulimbiu ya CIA...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom