Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

IJUE NYOTA YAKO Nyota ni Elimu ya Sayansi ya kiroho ambayo inatumika Dunia nzima. Kila mtu katika Dunia akitaka asitake, aamini au asiamini atakuwa amezaliwa katika moja wapo ya nyota hizi 12...
33 Reactions
1K Replies
976K Views
Kuna masuala ambayo kila mara lazima ujiulize maswali mengi, Kwa upande wangu nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya dini sana , mpaka nikawa mkristo mahili sana , lakin kadri muda ulivyokuwa...
21 Reactions
273 Replies
38K Views
Viongozi waliopo katika mfumo walimuuwa Yesu, kisha wakaanzisha dini ili watu waendelee kumzungumzia tu badala ya kuishi kama alivyofundisha. Yesu hakuja ili aabudiwe, alikuja kufunua kitu—njia...
19 Reactions
61 Replies
1K Views
Ilikuwa ni siku ya jumatatu ya mwezi wa 9 mwaka 1983. Siku ambayo anga lilikuwa angavu na bluu ikimaanisha hali ya joto kiasi ndani ya makao makuu ya nchi ya marekani Washington d.c. Hakika...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kila mara tunaposikia kuhusu Mashariki ya Kati, jina la Hamas huibuka haraka na mara nyingi hufuatwa na neno ugaidi. Lakini historia ina ukurasa ambao watu wengi hawaujui au hawapendi...
6 Reactions
11 Replies
441 Views
"Who is thinking you thought" Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa...
7 Reactions
33 Replies
585 Views
SALUTE COMRADES Miaka mingi kumekua na nadharia inayosema kua binaadamu tunatumia asilimia 10% tu ya ubongo wetu katika mambo yote tunayofanya, gunduzi zote za kiteknolojia na kisayansi, kufikiria...
36 Reactions
172 Replies
34K Views
My mind is in a mess right now, I think it's because there's a certain kind of clarity that I've been searching for but I just can't seem to find it. 1. Nimejaribu kuitafuta through achievements...
7 Reactions
68 Replies
723 Views
Chimbuko/historia ya tahajudi: Neno tahajudi limetokana na neno la kiingereza linaloitwa 'meditation' likiwa na maana ya kufikiri kwa uzingativu au kwa kujali. Neno meditation, nalo...
72 Reactions
411 Replies
174K Views
Game theory; Ni mkakati maalumu wa kupata matokeo uyatakayo kwa kutumia, kufanya au kushawishi maamuzi kabambe. Mfano. mchakato wa kuwapata viongozi nani anapendekeza kuwa fulani akagombee na kwa...
2 Reactions
0 Replies
166 Views
Wanabodi Japo uchawi upo na wachawi wapo na wanaloga!, anayeruhusu hicho kilogo kikufikie, au uchawi ukufikie, na kulogeka ni wewe mwenyewe bila kujijua, wewe unao uwezo wa kuzuia kulogeka bila...
14 Reactions
37 Replies
1K Views
Je unapoimagine kitu fulani je huwa unakitimiza au huwezi? Je Mafanikio yako unayoimagine yanautofauti gani na uhalisia au utendaji wako? Je unapoimagine mpango na kuutimiza in.reality Je ni...
5 Reactions
14 Replies
271 Views
ASTRAL PROJECTION/Mental Projection. Ni ule uwezo wa mtu kutengana na mwili wake kwa fikra katika imani Husemwa Kiroho. Pale ambapo roho yako inakuwa imetengana na mwili wako wa nyama. Utokaji...
113 Reactions
2K Replies
508K Views
Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako...
16 Reactions
50 Replies
4K Views
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi...
132 Reactions
2K Replies
93K Views
AJALI YA MV BUKOBA ILIUA WATU NA MTU. Mungu awarehemu wote waliopoteza maisha katika ajali ya meli ya MV BUKOBA, tarehe kama ya leo, miaka 22 iliyopita. Umbali wa maili kama 30, sawa na kilometa...
44 Reactions
100 Replies
26K Views
What a fantastic question! I won’t (and can’t) get into as much detail as I’d like, but I will tell the basics. Everything in the universe is a form of energy. Energy of some kind, and vibrates...
6 Reactions
87 Replies
5K Views
Ni rahisi sana kulinda mzigo ama mfu wakati mkifanya michakato mingine ili kuweka mambo sawa! Ni ngumu mno kulinda mtu aliye hai hasa akiwa mateka ama mfungwa....kwa muktadha wa mada hii...
61 Reactions
126 Replies
24K Views
Wakristo na waislamu hupatwa na kigugumizi kikubwa pindi waulizwapo swali hili na watu wasio amini kuhusu uwepo wa Mungu. Kuanzia leo, haupaswi tena kuwa na kigugumizi pindi uulizwapo swali hili...
2 Reactions
1K Replies
99K Views
Nimejaribu kujiulizaa, hivi akili ya mtu huwa inapimwa na nini? Mpaka inafikia mtu anakuambia hauna akili wewe. Maana ukifeli mtihani unaambiwa huna akili je mtihani ndio kipimo cha akili...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Back
Top Bottom