Wakati fulani nikiwa Dodoma mwaka 2022, siku moja msafara wa Rais Samia (presidential motorcade) ulikuwa ukitokea Airport Dodoma kuelekea ikulu chamwino. Nadhani na yeye alikuwa anarejea kutokea...
MODE
Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma...
Kutokana na rangi ya ngozi zao waweza fikilia ni moja wapo wa askari wetu wa JWTZ, lakini sivyo hivyo bali ni askari wa kimarekani wakiwa katika uwanja wa vita huko Vietnam.
Leo ikiwa ni siku...
Salute bosses!
Sina takwimu zozote (kama alivyosisitiza Anko), lkn binafsi nahisi nimekumbwa na ugonjwa wa micropsia, yani naona kama mwaka 2017 umekua mfupi kuliko miaka mingine yote, juzi tu...
Kafara ni aina ya sadaka ya damu inayotolewa ili kufunika uovu au shukrani Kwa Mungu/miungu. Na uovu ni udhaifu fulani unaotokana na jamii husika kwenda kinyume au kumsahau Mungu wao Kwa mda...
4. Mpinga Kristo
Matukio yote ambayo yametajwa katika Ufunuo 6-9 yatatokea katika muda wa miaka saba. Muda huu wote ambao ni sawa na siku saba katika wiki moja ni wakati unaoitwa muda wa dhiki...
Habari za wakati huu jamiiforums.
Unamjua "Media Tycoon" Vladimir Gusinsky? Rais Putin alimwambia "niuzie vyombo vyako vya habari, laa sivyo nitakuweka ndani mpaka ukoo wako ukusahau"
Mnamo...
Wanabodi,
Nimekutana na hii kitu, nimeisoma, sio tuu nimeshangaa, bali nimechoka, imeniacha hoi, ukisoma ukaona jinsi tunavyoibiwa rasilimali zetu, na wanaofanya tuibiwe, ni wenzetu tuliowapa...
Wakuu jamii ya Mbilikimo wengi wamekuwa wakipatikana katika misitu ya Jamhuri ya Congo, ingawaje hata hapa Tanzania kuna wachache mfano kuna Dada mmoja ktk kundi la VITUKO SHOW.
Sasa mwenye kujua...
Imekuwa Ikifahamika kwa watu wa chache sana wenye maarifa na ujuzi katika miaka ya hivi karibuni (20th century), kwamba biblia ni masimulizi ya ‘Vibao vya mawe vya Sumeria’ vilivyo ‘ghoshiwa’ na...
Wanabodi,
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。
Huu ni muendelezo makala zangu kuhusu "works of powers", nguvu za...
Wadau kuna vikosi vingi hapa nchini vya usalama wa wananchi,viongozi na Taifa ambavyo havijulikani kabisa kwa wananchi,sasa nimeamua kwa mtiririko kama wa series nitakua nakuja na kikosi kimoja...
Habari za sikunyingi ndugu Zangu jukwaani?
Mtu akifuga mbuzi Faida yake ni nyama na maziwa
Kadhalika ng'ombe ninyama na maziwa kuku kondoo na vinginevyo navyo vina faida juu ya mfugaji wake.
Je...
Kwa binadamu kuishi, na nini hutokea baada ya mtu kufa ni mambo yasiowazi bado. Kuna mengi yamethibitika kuhusu maisha na machache yanayojulikana kuhusu kifo.
Kwa kweli tangu wazo la kutugwa...
Having Master Number 11 is not an easy deal. Most of the time it is like dealing with a complicated machinery. I have listed the general points and tips hope it helps you.
Key points:
#It is...
Habari za Ijumaa wana JF.
Mimi leo nimeona nije na hii mada tajwa nahitaji kujifunza mambo ya asili hasa matambiko faida zake pamoja hasara zake kama zikiwepo.
Na vitu gani vinatakiwa katika...
Salute..
kuna msemo sijui tulifundishwa au tulisoma wenyewe kwenye vitabu vyetu vya dini (Bibble & Qu'ran) msemo huo unasema kua Miaka elfu moja duniani ni sawa na siku moja mbingu, kiukweli kwa...
Jifunze Kusoma Alama za Nyakati..
Siku Zote Ukiona Ulinzi ni Mkubwa Basi Jua Kuwa Usalama ni Mdogo..
Na Laana Yako Inaweza Kuwa Mwanzo wa Njia za Baraka Yako Pia...
Fikiria usiku wa leo anakuja kiumbe na kukuambia hivi: "Kuanzia sasa, utalazimika kuishi maisha haya haya uliyoyaishi tangu unazaliwa hadi unakufa. Utayaishi sekunde hadi sekunde, tukio kwa tukio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.