Watu wengi huamini kuwa mafanikio yanategemea akili za darasani (IQ), elimu au vipaji pekee. Ingawa mambo hayo ni muhimu, tafiti nyingi zinaonyesha kuwa uwezo wa kuelewana na watu, kujenga...
Viumbe wanne wa kiroho wa asili (spiritual elementals) ni viumbe wa njozi wenye utambuzi na nishati thabiti ambao wanawakilisha na kulinda misingi minne mikuu ya asili ya dunia.
Walipata...
Binadamu kama walivyo viumbe wengine kila akifanyacho ni kwa ajili ya kujiweka huru.
Huru dhidi ya magonjwa, njaa, huru dhidi ya mipaka yake ya kiasili, kama kuwasiliana bila kujali umbali...
Ugonile,
Mimi ni mzaliwa wa miaka ya 90's, nimekulia kote kijijini na mjini kwa nyakati tofauti. kwa kijijini mtu ulikua na uwezo wa kufanya sensa ya raia ukiwa kibarazani kwako umekaa huku...
Ukivuliwa tabaka zote za kumbukumbu ulizozikusanya kwa miaka mingi, ni kitu gani hasa kitabaki kukufanya uwe wewe?
Embu tafakari kwa kina hapa…
Huenda unachokiita akili si chochote zaidi ya...
Uwingi wa nyota na sayari zisizo na idadi zapelekea watu wa kalumu kuhisi uwezekano juu ya uwepo wa Uhai katika sayari hizo mbali na hii sayari yetu EARTH. Kumekuwepo matukio mengi...
Hii ni tofauti na iliopita, walioshinda kwa sasa hawana cha kupoteza, usisimame kama unatambua miguu haina stamina, na hauna uwezo wa kukinga ukiwa hewani.
Uzuri wa sayansi ya kufikiria ilio na...
Habari za jioni wana-JF,
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mijadala na utani mwingi mtandaoni unaoonyesha kuwepo kwa mivutano kati ya kizazi cha Millennials (waliozaliwa miaka ya 1980 hadi...
Habari wadau wa jukwaa hili
Bila shaka mko salama
Miaka 20 iliopita pale Tanga wilaya ya mkinga zamani
Muheza
Kata ya Maramba kijiji Cha Maramba kitongoji Cha msumbiji
Ilikua muda wa saa Saba...
nimesikia hauwezi kugundua kitu chochote duniani kama hujasoma kaballah.wanasayansi wote ukianzia Newton hadi Einstein wamesoma kaballah.kama unataka kuunganishwa na nuru lazima usome...
Naskia wakimtaja sana huyu malkia wa sheba kama mwanamke flani amaizingi sana na mtaalamu sana wa mapenzi.
Pia aliwahi kumtembelea mfalme Solomoni baada ya malkia kusikia habari za hekima za...
Mfumo wowote wa utawala huwa unawekwa na watu walioshika uchumi. Upo kuwaserve walioshika uchumi.
Kabla ya ubepari kulikuwa na ukabaila. Kwenye ukabaila kunakuwa na mabwana(feudal...
Umewahi kujiuliza hii kitu?
Basi tujifunze kwa pamoja, kwa wale wajuvi karibuni tusemezane.
Viumbe wengi hupata usingizi, kama sio wote. Na katika ile hatua ya Macho Mwendokasi (Rapid Eye...
UTANGULIZI:
Kuna uzi uliwahi kuanzishwa na Ndugu Mwanahabari Huru
Ambapo aliwasilisha mambo ambayo Bwana Evarist Chahali aliwahi kuyazungumza kuhusu hali ya Usalama hapa nchini. Japo dhumuni la...
Tunaposoma kwenye biblia, kafara inatafsiriwa kama ishara ya utakaso na msamaha wa dhambi au kufanya mambo ambayo kwa hali ya kawaida haiwezekani isipokua kwa kumwaga damu .
Yesu alitolewa...
👉Wahubili wengi wanashindwa kueleza kwa uhakika kwanini watu waovu wengine wanaishi maisha mazuri huku waadilifu wakiteseka kila siku.
👉Swali la kwanini maombi ya baadhi ya waumini...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la faraja kwa wafiwa waliowapoteza Wapendwa wao, wakidhani kifo ndio mwisho wa maisha, kumbe sio. Kifo ni mwisho tuu wa mwili na uhai, lakini roho ipo, haifi na inaishi...
Andre Charles Stander alizaliwa November 1946 na kufariki Februari 1984 nichini Afrika Kusini ambapo alikuwa Polisi kuanzia mwaka 1963 hadi 1980 miaka ambayo alifanikiwa kuziibia benki zaidi ya 30...
Habari zenu .....
Wanajamvi naomba kujua sababu ya kuona vitu au siku zinajirudia yani naweza kukaa siku nikaona kama matukio yanajirudia Yan nikaona kama hiyo siku nilishawahi kuiona na kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.