Salute mate;
Wanasemaga kwamba many of our battles we fight don’t exist, we make them exist because we create our own Demons. Kwamba mambo mengi yasiyo kawaida tunayoyaona hua sio halisi ila ni...
Mates,
Wakati wengi tukiwa tunajua kwaba ubongo wa mwanadamu umegawanyika sehemu tatu ambazo ni ubongo wa mbele,katikati na nyuma tu, kuna wataalamu wa masuala ya akili (Neuorologist) na wataalamu...
Salute
Mnamo mwaka wa 4BC jijini Galilaya katika kitongoji kiitwacho Nazareth kulikuwa na familia ya Bw. Joseph na mkewe Maria; walipata mtoto wa kiume wakamwita Jina Yeheshua au Yesu.
Ilikua ni...
Uzi huu ni Kwa ajili ya kupata maekezo ya kina kutoka Kwa wajuzi wa mambo haya na kupata elimu na kuacha kuwatuhumu usalama wa Taifa Kwa kila ovu linalotokea,
Ndiyo mwanausalama wa Taifa ( watu...
Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za Ujamaa kwa wanafunzi kutoka nchi masikini za Dunia ya Tatu.
UTANGULIZI
Wakati wa kipindi cha vita...
Hii message na isomeke ulimwenguni wote na ni Ushuhuda binafsi ila miaka ijayo utakuwa wazi.
ANGALIZO SOMA MPAKA MWISHO.
Hii
SEHEM YA 1 Imebeba full picture Generalization.
Muunganiko ila sehem...
Wakuu poleni kwa upambanaji.
Binafsi mimi kuna mda huwa nikitulizaga kichwa changu huwa naanza kujiuliza maswali mengi sana kuhusu mimi (binadamu) na ulimwengu kiujumla (Universe).
Maswali kama...
SALUTE
Maisha ni safari ndefu yenye mabonde na mashimo tu Yenye matumaini tu huku raha zikiwa chache mateso na taabu yamejaa! Kuna mambo yanaweza au yanatokea kwenye maisha yako hadi ukabaki...
Salute
Kipindi cha nyuma kabla sijawa na ufahamu wa masuala ya teknolojia nilikua nikiangalia muvi kama vile KingKong, Jurasic Park,Godzila,RoboCop, Cyborg , Terminator nk nilikua najua kwamba...
Tuanze na HALI YA KWELI na HALI YS UONGO. Kuijua hali ya kweli lazima tupime na hali ya uwongo. Uongo ni hali isiyo na msimamo hubarika badirika kutokana mahali na muda unavyopita. Mfano; Rangi ya...
Katika enzi ya Vita Baridi, dunia ilitazama Chess kama mchezo wa kawaida tu. Lakini kwa Umoja wa Kisovieti, michezo ya Chess haikuwa michezo tu. Ilikuwa sayansi ya akili, silaha ya kisiasa, na...
Tuzungumzie Occultism na Goetia.
Tunaingia kwenye ulimwengu wa "elimu ya siri" (hidden knowledge) ambayo kihistoria imekuwa ikitafuta kuelewa na kudhibiti nguvu zisizoonekana za ulimwengu.
Hapa...
SECRET OF HANDS SPIRITUALLY
Hands are used to represent , action , spiritual energy and connection.
Connection in spirituality palms of the hand can receive and give energy.
In giving energy it...
Psychology inaonyesha kwamba watu wengi hufichua ukweli wao kupitia reactions, patterns, na emotions kuliko maneno yao.
Watu hupenda kuhisi:
• Wameeleweka
• Wamesikilizwa
• Na wana control...
Kila nikitafakari changamoto ambazo baadhi ya watu wanapitia huwa naishia kusema ningekuwa Mungu nisingeiumba dunia hii jinsi ilivyo sasa.
Hapa ninamaanisha ningeiumba bila uwezekano wa kuishia...
Palmoni, The Wonderful Numberer, ni Bwana Yesu Kristo. Pia Bwana Yesu Kristo (ndani ya Utatu Mtakatifu wa Mungu) ni The Wonderful Counsellor, The Wonderful Teacher, The Revealer of Secrets...
MwanaJF,
Je, umeshawahi kusikia visa na mikasa ya watu wanaotafuta rupia maarufu kama pesa au hazina ya Mjerumani?
Binafsi nimekuwa nikisikia kuna watu huwa wanakwenda mahala ambapo wamepewa...
Kwa shirika la kijasusi la KGB kulikuwa na idara iliyojulikana kama directorate K. Hii idara ilikuwa na kazi maalumu ya kufanya bugging , kile kitendo Cha kupandikiza vinasa sauti na video camera...
Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe.
1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani,
Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana...
Kila tokeo la kimwili bila kujali kama ni chanya ama hasi asili yake ni roho ama rohoni... Hakuna kitu kisicho asili na roho ama nguvu isiyoonekana.... Hata huyu Mungu mkuu anayebishaniwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.