Fahamu zaidi kuhusu ndoto na ufahamu

Fahamu zaidi kuhusu ndoto na ufahamu

dosho12

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
4,948
Reaction score
13,535
Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako unaenda pale tunapo lala, kama usingizi ni kupumzika mbona akili yako hutengeneza sehemu,mazungumzo na matukio ambayo wakati mwingine huwa dhahiri kama maisha ya kweli.

Wanasayansi wanasema usingizi ni pale ubongo unapo ji restore ila kama ni hivyo kwa nini watu wengine husema wanaota vitu ambavyo hawajawahi kuviona, na wengine hupitia hali kama wapo nje ya miili yao wakati wakiwa wamelala, na kama ubongo unapumzika kwa nini unakua active zaidi tukiwa tumelala kuliko tukiwa macho, ukweli kuhusu ufahamu tukiwa tumelala ni mkubwa zaidi ya tunavyoambiwa, nini hasa hutokea kwenye ufahamu pale tunapokuwa tumelala na hivi ni kweli ufahamu upo ndani ya ubongo au kuna kitu kingine kinaendelea tusichokijua. Baadhi ya taarifa zaidi kuhusu ndoto

1. Ubongo hauzimi kabisa unapolala ila una kuwa active, watu hudhani unapolala hii ndio hatua ubongo unapumzika ila ukiangalia matukio ya ubongo kuna kitu cha ajabu kinatokea, ndani ya usingizi mzito ubongo unapunguza kufanya kazi ila unapo anza kuota baadhi ya maeneo kwenye ubongo yanakuwa active kama vile unapokuwa macho, Prefrontal cortex inayohusika ku control logic na maamuzi inapunguza kazi na ndio maana ndoto zinaonekana zipo tofauti na hazitabiriki ila sehemu inayousika na picha na hisia inakuwa active zaidi ili kutengeneza picha zilizo dhahiri na hisia kali, hivyo swali linakuja kama ubongo unakuwa active zaidi tunapolala sasa kwa nini usingizi uwe ni kupumzika kwa ubongo, ki ukweli ubongo huwa haupumziki kama tunavyo dhani bali unahama kweye hali nyingine hali ambayo haizingatii sana dunia ya nje bali kwenye mchakato wa ndani

2. Ubongo hutoa kemikail ya sychedilici inayoitwa DMT { Dimethyltryptamine } inafaamika kwa kutengeneza mauza uza, maono makali, na inaweza kupatikana pia hata kwenye mimea, wanasayansi wanaseme ubongo hutoa DMT kila siku pale tunapoingia kwenye [ REM SLEEP ] hatua ya usingizi ndoto zinapoanza kutokea, hii ndio maana ndito zinaonekana za ajabu ila zikiwa na maana kubwa ndani yake, watu wengi husema wanapo tumia DMT ya mimea au madawa wanapitia hali inayofanana kama wapo kwenye ndoto vitu kama kuona majengo ya ajabu na viumbe vya ajabu au kuhisi kama wanaonyeswa ukweli uliojificha, kama ufahamu unaweza kubadilishwa na kemikali ya ubongo, inakuza swali zito je ni kweli tuna experience uhalisia tunapo kuwa macho au ni sehemu ya uhalisia uliochujwa kutoka kwenye vitu vikubwa zaidi.

3. Baadhi ya ndoto huweza kutabiri matukio yajayo baadhi yakiwa kimafumbo na mengine yakiwa wazi, watu wengi kwenye historia waliwahi kusema waliota ndoto ya matukio yajayo na yakawa kama walivyo ota, mfano ni Abraham LIncoln aliwahi kusema aliota kuhusu kifo chake siku chache kabla ya kutokea, watu wengi wanapitia hali hii pia mfano kuota mtu ambaye unasiku hujamuona na kisha baada ya siku unakutana na mtu huyo au kuona tukio kwenye ndoto kisha baadae likatokea vile vile, hivyo kama ndoto ni hali tu ya ubongo kuchanganua matukio vipi ndoto zinaweza kutupa vionjo vya matukio yajayo, je inawezekana tukiwa usingizini akili/ufahamu hutoka nje ya muda na ku access tarifa zilizo nje ya mtazamo wetu.

4. Ndoto za ufahamu au uelewa { lucid dreaming } ndoto nyingi hutokea nje ya uwezo wetu kumaanisha hatuwezi kuzi control ila kuna baadhi ya watu wanauwezo wa kuamka ndani ya ndoto zao kujitambua wanaota na kuanza kuendesha ndoto zao, hii inathibitishwa kuwa tunapolala akili huenda ikawa active sehemu ya kutoa maamuzi kwamba lucid dreaming inaamsha sehemmu ya ubongo { prefontal cortex } na ndio maana tunaweza kufanya maamuzi tukiwa kwenye ndoto, kuna wengine wanaamini ndoto za ufahamu sio janja janja zinazo fanywa na ubongo bali ni ushahidi kuwa ufahamu huenda haujafungamana sana na dunia asilia tunayoina na kushika

5. Muda huwa tofauti sana kwenye ndoto, unaweza uka experince ndoto ambayo ukahisi umetumia masaa ila kumbe ni baadhi ya dakika ndo zimepita kwenye uhalisia, uchunguzi unasema kipindi cha Rem sleep ubongo hufanya kazi tofauti na saa za kawaida hii inamaanisha ufahamu ndani ya ndoto haufungamani na kanuni za asili za maisha ya dunia, swali linakuja kama akili inaweza ku experience muda tofauti tukiwa tunaota hii ina maanisha ufahamu haufungamani sana na uhalisia wa maisha, je ndoto inaweza kuwa ushahidi wa muda ni kitu cha kubuni tu kwenye akili zetu na wala sio kanuni/sheria isiyobadilika

6. Wazo la mulitiverse na uhalisia wa ndoto, kitu cha ajabu kuhusu ndoto ni jinsi udhahiri wa baadhi ya ndoto zinaweza kuwa, baadhi ya watu wanaweza kuota sehemu ambazo hawajawahi kufika wala kuziona ila hizo sehemu zina mazingira ya uhalisia wengine wakipitia ndoto inayojirudia wakiwa mazingira wasiyoyajua kama vile uhalisia mwingine wa maisha yake hii inaendana na wazo la Quantum Physics wazo la Multiverse, ambalo linasema kuwa kuna aina isiyo na idadi ya uhalisia ikiwa sambamba na uhalisia tunaufahamu, kwamba kuna dunia nyingi kama hii ikiwa na watu kama sisi au sisi na wakati mwingine ikiwa na kanuni za maisha kama za dunia hii, kama ni kweli je huenda ndoto ikiwa ni njia ya kwa muda kubadilishana au kwenda kwenye uhalisia mwingine ingawa Main stream sayansi hawajathibisha hili ila ni wazo linalojulikana kwenye tamaduni nyingi toka karne zilizopita, kwamba baadhi ya ndoto inafanya roho ya mtu kusafiri na kwenda kwenye ulimwengu mwingine kama kukutana na mababu zake walitangulia au mizimu na miungu ya jamii na tamaduni husika

7. Kwa nini tunasahau baadhi ya ndoto, unaamka kwenye ndoto ukiwa na matumaini utaikumbuka ndoto hiyo ila kadri dakika zinavyoenda ndoto ile inapotea kichwani , kwa nini hali hii hutokea kama kweli ndoto hazina maana kwa nini ubongo ufanye kazi kubwa kufuta kumbu kumbu hizo kichwani, moja ya maelezo inasema kwamba hippocampus sehemu ya ubongo inayohusika na kumbu kumbu inafanya kazi tofauti ndani ya usingizi haitunzi matukio ya ndoto kama vile ifanyavyo ukiwa macho, baadhi ya wachunguzi wana amini hii ni kwa sababu ndoto hutumika kwenye kazi tofauti hazikutengezwa kutunzwa kama matukio ukiwa macho bali zinatakiwa ziprocessiwe kisha kufutwa, ila mtazamo mwingine unasema huenda ndoto zinazofutika ni aina fulani ya kutulinda huenda kama tungekumbuka matukio yote kwenye ndoto kwa uwazi hali yetu ya uhalisia itapotea hivyo ubongo hufuta ndoto hizo ili baada muda tusije kuchanganya maisha ya ndoto na maisha ya kuwa macho

8. Unaweza kufa kwenye ndoto, kuna msemo baadhi ya tamaduni husema kama ukifa kwenye ndoto unakufa kwenye maisha ya uhalisia ila watu wengi wamepitia hali ya kufa kwenye ndoto na wakaamka salama, baadhi ya wachunguzi wanasema kufa kwenye ndoto ni aina ya akili kuelezea mabadiliko, kifo kwenye ndoto inaashiria kubadilika kwa mtazamo wa mtu au mwisho wa kitu flani muhimu, wengi waliopitia kifo kwenye ndoto husema wakiamka maisha yao hubadilika. , Kwenye ubongo ndoto na hali ya mtu akiwa ana kufa zinataka kufanana, katika hali zote ufahamu unatengana na uhalisia hali zote kazi za mwili hupungua na vichochezi vya nje vinakuwa havina maana, baadhi wakiwa kwenye hatua ya kufa wanaelezea kuwa hisia ni sawa na kwenye ndoto kama vile kupaa, kukutana na viumbe wa ajabu au kuona matukio yaliyopita. Kama ni hivyo huenda ndoto zinatupa majaribio ya utengano wa mwisho wa mzaima wa mwili na ufahamu

Kama haya ni kweli au uongo ila ni wazi kuwa ndoto au usingizi ni zaidi ya kupumzika kwa akili na mwili kwa kuwa huonesha vitu vilivyojificha kuhusu ufahamu, hupotoshwa au kubadili space na time na hata kuunganisha hali nje ya maisha yetu jinsi ndoto zilivyo bado ni fumbo ila kinachojulikana usingizi sio tu usingizi bali ni mlango kwenye kitu kikubwa zaidi na tulivyozoea kuambiwa
 
Hili andiko ni kubwa sana mkuu.
 
Aisee umeandika mambo mazito kwelikweli big up sana.

Mimi nahisi ubongo unakuwa active wakati tumelala kuliko hata tunapokuwa macho.

Kuhusu ndoto hiki kitu ni mystery ambayo hakuna anaejua chanzo na maana ya ndoto hasa ni nini na kwanini ndoto hutokea wakati tumelala. Watu walishajaribu kuelezea habari za ndoto akina Sigmund lakini mwenye maelezo ya uhakika sidhani kama yupo.

Pia Niliwahi kusoma kitabu kimoja mwandishi anasema ubongo sio chanzo cha consciousness bali wenyewe ni kama receiver tu inayopokea na kuchakata taarifa kutoka kwenye chanzo nje ya mfumo wa mwili.
Hapo uliposema ubongo huwa unafuta taarifa za ndoto umenikumbusha nilisoma kitabu cha The master key system kuna sehemu anasema thought/mind ndio chanzo cha kila kitu (kuanzi atomic to universe level) ambapo huwa inajimanifest ktk form tofautitofauti. Kwamba Thought/mind ni creative wakati huohuo huwa inafuta baadhi ya kumbukumbu ndio maana tunashindwa kujua chanzo cha ulimwengu ni nini.
 
Pia Niliwahi kusoma kitabu kimoja mwandishi anasema ubongo sio chanzo cha consciousness bali wenyewe ni kama receiver tu inayopokea na kuchakata taarifa kutoka kwenye chanzo nje ya mfumo wa mwili.
Huenda consciousness ipo hewani ina flow kama hewa au energy na movement ya elemental particles kwenye miili yetu inatengeneza electromagnetic fields ambayo ndiyo ina attract consciousness kwenye mwili wetu na kwa kuwa ubongo unatengeneza electromagnetic field una attract consciousness, kwa kawaida moyo ndio unatengeneza electromagnetic field kubwa ila kisayansi unaonekana haupo conscious ila kwa upande spiritual mafunzo kama ya hinduism na buddhism wanasema moyo pia una consciousness
 
Na chakufurahisha japo tulalapo tunafunba macho Bado huko ndotoni tunaendelea kuona Kila kitu.Kumbe mtu ni zaidi ya kiumbe Cha kawaida.
Kuna ile hali ya sleep paralysis, watanzania tunaita mtu kukabwa na jinamizi pia hali ya ajabu sababu watu wengi duniani kote wanasema kuwa huwa wanaona kitu fulani kama kivuli kikiwa juu yao, hii ina maanisha tukilala huenda tukawa tunaenda ulimwengu wa vitu visivyoonekana kwa macho ya kawaida
 
Hilo ni wazi kabisa walio na karama kubwa huviona vitu hivi wazi wazi.
 
Huenda consciousness ipo hewani ina flow kama hewa au energy na movement ya elemental particles kwenye miili yetu inatengeneza electromagnetic fields ambayo ndiyo ina attract consciousness kwenye mwili wetu na kwa kuwa ubongo unatengeneza electromagnetic field una attract consciousness, kwa kawaida moyo ndio unatengeneza electromagnetic field kubwa ila kisayansi unaonekana haupo conscious ila kwa upande spiritual mafunzo kama ya hinduism na buddhism wanasema moyo pia una consciousness

Yawezekana kabisa.

Niliona umegusia kidogo nadharia ya multiverse, vipi hii nadharia ina make any little sense in your mind?
 
sio sana, ila huenda dunia kama yetu zipo nyingi, kwanza ile dark energy huenda ikawa ni regular energy ya universe nyingine, pia kwenye theory ya inflation inaonyesha kuna uwezekano wa kuwa na big bang zaidi ya moja hivyo kutengeneza universe nyingine, kwenye string theory zile strings hazipo compatible na universe yetu hivyo huenda kuna universe zinaendana nazo.
Sio valid evidence ila zinaacha posibilty huenda ikawa hivyo
 
Yawezekana aisee! Ukute hata hizi ndoto tunazoota huwa tunaenda alternate world/universe. Huu ulimwengu una siri kubwa sana.
 
sio sana, ila huenda dunia kama yetu zipo nyingi, kwanza ile dark energy huenda ikawa ni regular energy ya universe nyingine, pia kwenye theory ya inflation inaonyesha kuna uwezekano wa kuwa na big bang zaidi ya moja hivyo kutengeneza universe nyingine, kwenye string theory zile strings hazipo compatible na universe yetu hivyo huenda kuna universe zinaendana nazo.
Sio valid evidence ila zinaacha posibilty huenda ikawa hivyo
Hizi kitu huendana sio na universe ila Kuna viumbe wasioonekana ambao Kwa namna ya kawaida hupigwa vita Sana.Hawa ndio hutawala na kuongoza matukio mengi makuu kwenye miili ya binaadamu.
 
Wanaishi kwenye parallel dimension, wana dunia yao huenda ni sawa na sisi, wana maumbo yao, sisi tunaishi kwenye 3 dimension na 1 dimension ya time hivyo tupo kwenye 4 dimension ila wao wapo kwenye dunia ya 4 spatial dimension na 1 dimension ya time hivyo wanaishi kwenye 5 dimension,
wanaweza kuona kila kitu ndani ya miili yetu ila hawawezi kuonekana sababu miili yao haisapoti dimension yetu hivyo wanachoweza kufanya ku interact na sisi ni kwa kupitia energy ndio inaweza ku interact throug dimension au kitu kingine ni gravity.
 
Unafumba macho yako na kila kitu kinapotea mwili wako unabaki kwenye kitanda ila akili yako inaenda sehemu ambazo zinaonekana kuwa na uhalisia kama vile uwapo macho, ila ni wapi hasa ufahamu wako unaenda pale tunapo lala, kama usingizi ni kupumzika mbona akili yako hutengeneza sehemu,mazungumzo na matukio ambayo wakati mwingine huwa dhahiri kama maisha ya kweli.

Wanasayansi wanasema usingizi ni pale ubongo unapo ji restore ila kama ni hivyo kwa nini watu wengine husema wanaota vitu ambavyo hawajawahi kuviona, na wengine hupitia hali kama wapo nje ya miili yao wakati wakiwa wamelala, na kama ubongo unapumzika kwa nini unakua active zaidi tukiwa tumelala kuliko tukiwa macho, ukweli kuhusu ufahamu tukiwa tumelala ni mkubwa zaidi ya tunavyoambiwa, nini hasa hutokea kwenye ufahamu pale tunapokuwa tumelala na hivi ni kweli ufahamu upo ndani ya ubongo au kuna kitu kingine kinaendelea tusichokijua. Baadhi ya taarifa zaidi kuhusu ndoto

1. Ubongo hauzimi kabisa unapolala ila una kuwa active, watu hudhani unapolala hii ndio hatua ubongo unapumzika ila ukiangalia matukio ya ubongo kuna kitu cha ajabu kinatokea, ndani ya usingizi mzito ubongo unapunguza kufanya kazi ila unapo anza kuota baadhi ya maeneo kwenye ubongo yanakuwa active kama vile unapokuwa macho, Prefrontal cortex inayohusika ku control logic na maamuzi inapunguza kazi na ndio maana ndoto zinaonekana zipo tofauti na hazitabiriki ila sehemu inayousika na picha na hisia inakuwa active zaidi ili kutengeneza picha zilizo dhahiri na hisia kali, hivyo swali linakuja kama ubongo unakuwa active zaidi tunapolala sasa kwa nini usingizi uwe ni kupumzika kwa ubongo, ki ukweli ubongo huwa haupumziki kama tunavyo dhani bali unahama kweye hali nyingine hali ambayo haizingatii sana dunia ya nje bali kwenye mchakato wa ndani

2. Ubongo hutoa kemikail ya sychedilici inayoitwa DMT { Dimethyltryptamine } inafaamika kwa kutengeneza mauza uza, maono makali, na inaweza kupatikana pia hata kwenye mimea, wanasayansi wanaseme ubongo hutoa DMT kila siku pale tunapoingia kwenye [ REM SLEEP ] hatua ya usingizi ndoto zinapoanza kutokea, hii ndio maana ndito zinaonekana za ajabu ila zikiwa na maana kubwa ndani yake, watu wengi husema wanapo tumia DMT ya mimea au madawa wanapitia hali inayofanana kama wapo kwenye ndoto vitu kama kuona majengo ya ajabu na viumbe vya ajabu au kuhisi kama wanaonyeswa ukweli uliojificha, kama ufahamu unaweza kubadilishwa na kemikali ya ubongo, inakuza swali zito je ni kweli tuna experience uhalisia tunapo kuwa macho au ni sehemu ya uhalisia uliochujwa kutoka kwenye vitu vikubwa zaidi.

3. Baadhi ya ndoto huweza kutabiri matukio yajayo baadhi yakiwa kimafumbo na mengine yakiwa wazi, watu wengi kwenye historia waliwahi kusema waliota ndoto ya matukio yajayo na yakawa kama walivyo ota, mfano ni Abraham LIncoln aliwahi kusema aliota kuhusu kifo chake siku chache kabla ya kutokea, watu wengi wanapitia hali hii pia mfano kuota mtu ambaye unasiku hujamuona na kisha baada ya siku unakutana na mtu huyo au kuona tukio kwenye ndoto kisha baadae likatokea vile vile, hivyo kama ndoto ni hali tu ya ubongo kuchanganua matukio vipi ndoto zinaweza kutupa vionjo vya matukio yajayo, je inawezekana tukiwa usingizini akili/ufahamu hutoka nje ya muda na ku access tarifa zilizo nje ya mtazamo wetu.

4. Ndoto za ufahamu au uelewa { lucid dreaming } ndoto nyingi hutokea nje ya uwezo wetu kumaanisha hatuwezi kuzi control ila kuna baadhi ya watu wanauwezo wa kuamka ndani ya ndoto zao kujitambua wanaota na kuanza kuendesha ndoto zao, hii inathibitishwa kuwa tunapolala akili huenda ikawa active sehemu ya kutoa maamuzi kwamba lucid dreaming inaamsha sehemmu ya ubongo { prefontal cortex } na ndio maana tunaweza kufanya maamuzi tukiwa kwenye ndoto, kuna wengine wanaamini ndoto za ufahamu sio janja janja zinazo fanywa na ubongo bali ni ushahidi kuwa ufahamu huenda haujafungamana sana na dunia asilia tunayoina na kushika

5. Muda huwa tofauti sana kwenye ndoto, unaweza uka experince ndoto ambayo ukahisi umetumia masaa ila kumbe ni baadhi ya dakika ndo zimepita kwenye uhalisia, uchunguzi unasema kipindi cha Rem sleep ubongo hufanya kazi tofauti na saa za kawaida hii inamaanisha ufahamu ndani ya ndoto haufungamani na kanuni za asili za maisha ya dunia, swali linakuja kama akili inaweza ku experience muda tofauti tukiwa tunaota hii ina maanisha ufahamu haufungamani sana na uhalisia wa maisha, je ndoto inaweza kuwa ushahidi wa muda ni kitu cha kubuni tu kwenye akili zetu na wala sio kanuni/sheria isiyobadilika

6. Wazo la mulitiverse na uhalisia wa ndoto, kitu cha ajabu kuhusu ndoto ni jinsi udhahiri wa baadhi ya ndoto zinaweza kuwa, baadhi ya watu wanaweza kuota sehemu ambazo hawajawahi kufika wala kuziona ila hizo sehemu zina mazingira ya uhalisia wengine wakipitia ndoto inayojirudia wakiwa mazingira wasiyoyajua kama vile uhalisia mwingine wa maisha yake hii inaendana na wazo la Quantum Physics wazo la Multiverse, ambalo linasema kuwa kuna aina isiyo na idadi ya uhalisia ikiwa sambamba na uhalisia tunaufahamu, kwamba kuna dunia nyingi kama hii ikiwa na watu kama sisi au sisi na wakati mwingine ikiwa na kanuni za maisha kama za dunia hii, kama ni kweli je huenda ndoto ikiwa ni njia ya kwa muda kubadilishana au kwenda kwenye uhalisia mwingine ingawa Main stream sayansi hawajathibisha hili ila ni wazo linalojulikana kwenye tamaduni nyingi toka karne zilizopita, kwamba baadhi ya ndoto inafanya roho ya mtu kusafiri na kwenda kwenye ulimwengu mwingine kama kukutana na mababu zake walitangulia au mizimu na miungu ya jamii na tamaduni husika

7. Kwa nini tunasahau baadhi ya ndoto, unaamka kwenye ndoto ukiwa na matumaini utaikumbuka ndoto hiyo ila kadri dakika zinavyoenda ndoto ile inapotea kichwani , kwa nini hali hii hutokea kama kweli ndoto hazina maana kwa nini ubongo ufanye kazi kubwa kufuta kumbu kumbu hizo kichwani, moja ya maelezo inasema kwamba hippocampus sehemu ya ubongo inayohusika na kumbu kumbu inafanya kazi tofauti ndani ya usingizi haitunzi matukio ya ndoto kama vile ifanyavyo ukiwa macho, baadhi ya wachunguzi wana amini hii ni kwa sababu ndoto hutumika kwenye kazi tofauti hazikutengezwa kutunzwa kama matukio ukiwa macho bali zinatakiwa ziprocessiwe kisha kufutwa, ila mtazamo mwingine unasema huenda ndoto zinazofutika ni aina fulani ya kutulinda huenda kama tungekumbuka matukio yote kwenye ndoto kwa uwazi hali yetu ya uhalisia itapotea hivyo ubongo hufuta ndoto hizo ili baada muda tusije kuchanganya maisha ya ndoto na maisha ya kuwa macho

8. Unaweza kufa kwenye ndoto, kuna msemo baadhi ya tamaduni husema kama ukifa kwenye ndoto unakufa kwenye maisha ya uhalisia ila watu wengi wamepitia hali ya kufa kwenye ndoto na wakaamka salama, baadhi ya wachunguzi wanasema kufa kwenye ndoto ni aina ya akili kuelezea mabadiliko, kifo kwenye ndoto inaashiria kubadilika kwa mtazamo wa mtu au mwisho wa kitu flani muhimu, wengi waliopitia kifo kwenye ndoto husema wakiamka maisha yao hubadilika. , Kwenye ubongo ndoto na hali ya mtu akiwa ana kufa zinataka kufanana, katika hali zote ufahamu unatengana na uhalisia hali zote kazi za mwili hupungua na vichochezi vya nje vinakuwa havina maana, baadhi wakiwa kwenye hatua ya kufa wanaelezea kuwa hisia ni sawa na kwenye ndoto kama vile kupaa, kukutana na viumbe wa ajabu au kuona matukio yaliyopita. Kama ni hivyo huenda ndoto zinatupa majaribio ya utengano wa mwisho wa mzaima wa mwili na ufahamu

Kama haya ni kweli au uongo ila ni wazi kuwa ndoto au usingizi ni zaidi ya kupumzika kwa akili na mwili kwa kuwa huonesha vitu vilivyojificha kuhusu ufahamu, hupotoshwa au kubadili space na time na hata kuunganisha hali nje ya maisha yetu jinsi ndoto zilivyo bado ni fumbo ila kinachojulikana usingizi sio tu usingizi bali ni mlango kwenye kitu kikubwa zaidi na tulivyozoea kuambiwa
Mbona kama picha fulai horror
 
😂😂😂
Nasubiri mada za kina Marry ndiyo zinanifaa zaidi, mada za namna hii Hapana.
Mtafute jamaa mmoja anaitwa Billy carson ndio anahusika kunijaza ujinga huu kichwani mwangu, ila kama unataka kutafuta ukweli, ssbabu vitabu vya dini havina majibu mengi ya ulimwengu, ila kama upo devotion na dini asilimia mia nakushauri umsifatilia atakufanya upuguze imani kwenye dini yako
 
Ah kuamini dini katika kizazi hiki inatakiwa ukaze shingo kwa kiasi kikubwa, kuna story/visa vingi ambavyo ukiachana na sayansi akili tu haikubali.
Hao wenye dini wenyewe bado wanapingana kupitia nukuu za maneno ambayo kila upande unasema ni ya mungu. Kuendelea kuamini dini ni kipengele japo mtaani mimi ni muislam.
 
Back
Top Bottom