Salute..
Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu...
Utangulizi na Angalizo: Kuna mengi hatujayafahamu bado na kama tukiyafahamu bila maandalizi yanaweza kutuyumbisha kiimani kama tusipokuwa werevu lakini pia yanaweza kutupa maarifa mapya ambayo...
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike
Baada ya Uchaguzi...
Ikumbukwe mimi si mwana ndoa ila natalajia kuingia huko, natamani pia kufahamu uelewa wenu.
Kwa mtazamo wa uchambuzi, mambo yanayosaidia ndoa kudumu yanaweza kuwa:
1. Uelewa wa maana ya ndoa...
Wataalam wa lugha na historia ya Afrika Mashariki naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na lugha za jamii nyingine ambazo...
UNGEPENDA KUWA ZAIDI YA BINADAMU WA KAWAIDA? WATOTO WA MUNGU NI MIUNGU!
"A KINGDOM WHERE MANKIND BECOME gODS: A RENAISSANCE"
Amani na Salama 🙏🙏🙏
Ninao ujasiri mkubwa, na furaha ya ajabu...
Konstantin ni vlogger mzuri sana mrusi anayetoa habari za ndani ya nchi ya urusi lakini yeye anaishi ughaibuni. Jana kapigwa polonium! Aombewe apone, lakini nchi anayoishi haina huduma nzuri za...
Mwanafalsafa Friedrich Nietzsche aliwahi kuandika: "Yeyote anayepambana na monsters anapaswa kuangalia asije akawa monster mwenyewe."
Kwenye ulimwengu wa leo, kila mtu anatafuta mbinu za...
Imani haina tofauti na itikadi. Imani inakupa mwelekeo wa kusimamia masuala yanayohusu utawala usioonekana kwamba ndiyo unaotawala fikra na hisia kuhusu uwepo, uumbaji na yanayodhanika kujiri...
If you want to walk 10 feet you have to walk 5 feet first. Before you can walk 5 feet you have to walk 2.5 feet first. Before you can walk 2.5 feet you have to walk 1.25 feet first.
and so on...
Kama ni safari, ya Leo inahitaji vitu vikuu vitatu vilivyo balansiana kwa watu Hao. Kama kusikia nimesikia inanipasa kusubiri na kuona muda huo ukifika,
Kwa Sasa bado naendelea...
Sitaki kuamini kwamba siasa za ndani ndio zimetufikisha hatua hii...
Ila inawezekana Taifa linapokea vitisho vya kiusalama vinayopelekea kua na hari hii tuliyonayo na watawala hawana namna bali...
UMAHIRI SI TUKIO—NI TABIA YA KILA SIKU
Viongozi mahiri hawasubiri kuambiwa cha kufanya. Hutambua yanayopaswa kufanyika mapema, huendelea kujiboresha, hukubali maoni kwa unyenyekevu, huwajibika...
Je ni kweli kutakuwa na mwisho wa dunia?
Je utimilifu wa dahari ni upi? Ninini?
Je kuna kikomo cha wakati...
Kitabu cha ufunuo kina mambo mengi ambayo bado wengi hatujaweza kuyang'amua... Ni...
Wakati fulani nikiwa Dodoma mwaka 2022, siku moja msafara wa Rais Samia (presidential motorcade) ulikuwa ukitokea Airport Dodoma kuelekea ikulu chamwino. Nadhani na yeye alikuwa anarejea kutokea...
MODE
Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma...
Kutokana na rangi ya ngozi zao waweza fikilia ni moja wapo wa askari wetu wa JWTZ, lakini sivyo hivyo bali ni askari wa kimarekani wakiwa katika uwanja wa vita huko Vietnam.
Leo ikiwa ni siku...
Salute bosses!
Sina takwimu zozote (kama alivyosisitiza Anko), lkn binafsi nahisi nimekumbwa na ugonjwa wa micropsia, yani naona kama mwaka 2017 umekua mfupi kuliko miaka mingine yote, juzi tu...
Kafara ni aina ya sadaka ya damu inayotolewa ili kufunika uovu au shukrani Kwa Mungu/miungu. Na uovu ni udhaifu fulani unaotokana na jamii husika kwenda kinyume au kumsahau Mungu wao Kwa mda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.