Can a president defect from his/her country?

wakuu nawasalimu wote na kheri ya mwaka mpya...

@farAaaaàtffffdwpSlz naomba kujua kama je inawezekana kwa rais kuitoroka nchi yake kama vile wafanyavo baadhi ya watumishi wa idara za ujasusi?

Ninawasilisha....
Inawezekana lakini ni mpaka hali iwe katika Def Cont 04,

Kwa Tanzania kipindi cha kilele cha uchaguzi mpaka siku 14 za mwanzo baada ya uchaguzi hali ilifika Def Cont 02, lakini kwa sasa hata def cont 01 haipo... Kwa Gambia mpaka jana ilikuwa Def Cont 02.8... Labda huko ndiko Jameh anaweza kuitoroka nchi.

Swali ni nani anapima kiwango cha hali hii ya hatar (Def cont)? Jibu lipo kwa Mtikila
 
Inawezekana peru kulikuwa na rais mperu mwenye asili ya japanbwana Albeto Fujimori aliharibu mambo peru akajifanya anaenda ziara nchi za Asia alipofika Japan kwa babu yale ziara ilipoisha naye akaishia hukohuko halurudi peru na wajapan walimbeba ndugu yao Albeto Fujimori alikua anafurahisha mperu kuitwa fujimori na pia mjapani kuitwa Albeto
 
Inawezekana lakini ni mpaka hali iwe katika Def Cont 04,

Kwa Tanzania kipindi cha kilele cha uchaguzi mpaka siku 14 za mwanzo baada ya uchaguzi hali ilifika Def Cont 02, lakini kwa sasa hata def cont 01 haipo... Kwa Gambia mpaka jana ilikuwa Def Cont 02.8... Labda huko ndiko Jameh anaweza kuitoroka nchi.

Swali ni nani anapima kiwango cha hali hii ya hatar (Def cont)? Jibu lipo kwa Mtikila
Inawezekana lakini ni mpaka hali iwe katika Def Cont 04,

Kwa Tanzania kipindi cha kilele cha uchaguzi mpaka siku 14 za mwanzo baada ya uchaguzi hali ilifika Def Cont 02, lakini kwa sasa hata def cont 01 haipo... Kwa Gambia mpaka jana ilikuwa Def Cont 02.8... Labda huko ndiko Jameh anaweza kuitoroka nchi.

Swali ni nani anapima kiwango cha hali hii ya hatar (Def cont)? Jibu lipo kwa Mtikila
Mkuu umefumba Sana, hebu jaribu kuingia Kwa undani kidogo kuhusu Def cont... na mtikila.
 
wakuu nawasalimu wote na kheri ya mwaka mpya...

Leo naomba kujua kama je inawezekana kwa rais kuitoroka nchi yake kama vile wafanyavo baadhi ya watumishi wa idara za ujasusi?

Ninawasilisha....

Rais wa ukrein alikimbilia nchini russia baada ya kutokea mapinduzi, hiyo haiwezi kuwa sawa na unachouliza?
 
Inawezekana lakini ni mpaka hali iwe katika Def Cont 04,

Kwa Tanzania kipindi cha kilele cha uchaguzi mpaka siku 14 za mwanzo baada ya uchaguzi hali ilifika Def Cont 02, lakini kwa sasa hata def cont 01 haipo... Kwa Gambia mpaka jana ilikuwa Def Cont 02.8... Labda huko ndiko Jameh anaweza kuitoroka nchi.

Swali ni nani anapima kiwango cha hali hii ya hatar (Def cont)? Jibu lipo kwa Mtikila
Def cont. Ni kitu gan mkuu??
 
Hili swali ni vigumu kulielewa lina mlengo gani hasa! Katika hali ya kawaida haiwezekani rais kuikimbia nchi pasipo na sababu yoyote ile.Labda kuwe na vita au mapinduzi ya kijeshi.Lakini kama hali ni shwari tu kitu kama hicho hakiwezi tokea.
 
Back
Top Bottom