Mungu katengenezwa na nani?

Travis Walker

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
323
333
Habari, nilikuwa nalisikia sana suali hili lakini leo nimeamuwa kulijibu kwa kunukuu maneno yake mungu
Kiukweli ni suali moja gumu ambalo haliwezi kujibiwa na yoyote katika dunia ama kwengine kokote kule isipokuwa yeye mwenyewe mungu ndio ana jawabu ya hili suala.
Masuali kama haya yanakuja kwasababu watu hawafahamu maana ya mungu.

Mungu ni nani?
Neno mungu ina maana nyingi lakini moja wapo ni yule ambaye ana sifa ya kuumba ama kutengeneza chochote kile pasi na kufundishwa wakati yeye hakutengenezwa.
Ina maana yoyote alietengenezwa au kuumbwa basi hana nafasi ya kuwa mungu.Ndio sisi waislamu ikawa tunaamini mungu mmoja tu ambae ni muumbaji wa kila kitu na tunakataa kuwa mtu au chochote kilichoundwa kuwa ni mungu.

Kuna msemo usemao kila kitu kilichotengenezwa kina mtengenezaji wake.Ni kweli

Lakini pia nina suali hili, jee fomula ya kutengeneza ama kuumba kaanzisha nani?
Nina Imani tukijua aliyeanzisha kuumba ama kutengeneza basi itakuwa ni wa mwanzo kabisa kutengeneza ama kuumba, kwa maana hiyo hakutakuwa na mwengine aliyekuwa akijua kufanya hivyo kabla.

Jawabu linakuwa kama ifuatavyo mungu ndio muanzilishi wa uumbaji ama utengenezaji kwa hiyo kama yeye ndiye mwanzilishi wa fani hiyo sasa inakujaje awe yeye kaumbwa wakati ndiye aliyeanzisha huko kuumba na ushahidi sahihi wa hili upo katika kitabu cha Mungu ambacho mimi nakiamini ni kuran. Kuran sura ya 112 katika aya 3 (112:3) inasema hivi "yeye hakuzaliwa wala hakuzaa."

Kwa hiyo ili itikadi ya mmoja ikimalike lazima aamini kuwa mungu hakuumbwa wala hana familia.wakati yeye ndiye wa mwanzo kuanzisha kuumba , pasi na hapo imani ya mmoja huyo haitakuwa sahihi.

Ili mungu awe mungu lazima awe hajaumbwa na yeye ndiye aliyetufundisha ujuzi huu sisi wanadamu kwa idhini yake.Na akatuekea limit ya huko kutengeneza

Hivyo kama utajiuliza suali nani katengeneza gari jawabu itakuwa mtu ndio mtengenezaji wa gari na wala gari haikuja wenyewe, na kama ukijiuliza jee mtu katengenezwa na nani basi huyo mungu ndio aliyemtengeneza mtu na kama ukijiuliza mungu katengenezwa na nani basi hutopata jibu kwasababu yeye ndiye mwanzilishi wa uumbaji wote.

Hivyo mungu hajatengenezwa ama kuzaliwa . Na kama ikiwa kuna mungu aliyetengenezwa ama kuumbwa basi huyo atakuwa siye mungu wa kweli.

Ushahidi nimetowa kutoka kwenye quran tu na kwasababu nimeona vitabu vingi vina mgongano wa huyo mungu kwa mfano bible utakuta wengine wanasema mungu ni jesus wengine wanasema hapana, jesus sio mungu ila ni mtoto wa mungu ila kuran peke yake haina mgongano katika suala la mungu ni nani.

Ametukuka mola wangu ambae hakujifanyia mtoto wala mke

Jitahit ucje kufuru kwa kutak kujua yaliyofichwa ktk upeo wa wanadam
Sikuwa na maana ya kukufuru ila nafamu wazi ya kwamba bwana wangu Mungu ambae ni Allah hakuumbwa ila tu natoa naukuu jawabu yake mungu na kutoa chalenji kwa wale wenye kutaka kujua suali kama hili.

Yeye ndiye wa mwanzo hakuna kitu kilitangulia kwake na yeye ndiye wa mwisho hakuna kitu kitakuja baada yake na yeye ndiye wa dhahiri na yeye ndiye aliyefichikana na yeye ni muweza juu ya kila kitu
Quran
 
Mbona hujui ata kuwaza, ungeanza na vitu vidogo kwanza..!

Mungu ni nani??

Anafananaje?

Anaishi wapi?

Yupo au hayupo?

Ukisha pata hayo majibu ndipo ujiulize hilo swali lako.

Masuali yako yote hayo yapo katika katika quran ambacho ni kitabu , mimi nakiamini, hivyo mimi sikuwa na haja ya kujiuliza suali kama hili, ila najua kuna watu ambao wanajiuliza suali kama hili na nimepata kuwasikia mara kibao.So Waondowe hasa fikra kama hizo
 
Mimi hapa ndiyo niliyomtengenza!
 
Sikuwa na maana ya kukufuru ila nafamu wazi ya kwamba bwana wangu Mungu ambae ni Allah hakuumbwa ila tu natoa naukuu jawabu yake mungu na kutoa chalenji kwa wale wenye kutaka kujua suali kama hili.

Yeye ndiye wa mwanzo hakuna kitu kilitangulia kwake na yeye ndiye wa mwisho hakuna kitu kitakuja baada yake na yeye ndiye wa dhahiri na yeye ndiye aliyefichikana na yeye ni muweza juu ya kila kitu
Quran
allah si ndo anawafundisha chuki na kufanya mauaji? Mfuate Mungu wa kweli Yehova uokolewe
 
Imeandikwa wap km Allah ndo hufundsh wat chuki na mauaj na imeandkikwa wap kuwa yehova ndo muokoaj?????
 
Masuali yako yote hayo yapo katika katika quran ambacho ni kitabu , mimi nakiamini, hivyo mimi sikuwa na haja ya kujiuliza suali kama hili, ila najua kuna watu ambao wanajiuliza suali kama hili na nimepata kuwasikia mara kibao.So Waondowe hasa fikra kama hizo
Biblia ZABURI YA 14:1-... inakujibu swali lako!

"Mpumbavu hujisemea moyoni hakuna Mungu....."

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
wenye dini zao wameshashiba ubwabwa maharage sasa wapo hapa kupoteza muda huku wakisubiri gas iwaishe matumboni mwao waende kulala.
 
allah si ndo anawafundisha chuki na kufanya mauaji? Mfuate Mungu wa kweli Yehova uokolewe
Sisi tunajua Yehova ndiye huyo Allah sema katika kitabu cha zaburi ambacho ameshushiwa nabii daudi alikuwa akitambulika
kama Yehova kwa lugha yao .
Na Allah anajua zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom