hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Baada ya kusoma michango ya wanaintelligence mbalimbali na nikagundua umuhimu wa mtu kuishi kiintelligence na kilichonifanya nifikirie zaidi ni namna gani niweze badilisha maisha na kuishi maisha ya kintelligence.
Hata ukiachana na hivyo siku hizi uhalifu umeongezeka sana na kwa kupitia hilo inamaana inafaa kila mtu awe mwanaintelligence.
ni uzi wa mwanaintelligence mmoja baada ya kusema kwamba zaidi 50% ya watu duniani wanaroho mbaya.
Haya ni machache ambayo nimeanza nayo.
1. Ninapotoka nyumbani sina njia maaulum ya kupita wala sina muda maalumu wa kurudi nyumbani.
2. Ninapokuwa njiani sitembei mwendo wa taratibu naogopa watu wanaweza kuniona ni mdhaifu.
3. Kama nilikuwa nakula chakula ikitokea dharura yoyote na nikirudi tena hicho chakula sili.
4. Sitaki kufuatilia mambo ambayo hayanihusu.
5.sitaki kila afahamu nyumbani ninapo ishi.
Pamoja na yote hayo lakini naona bado sijakamilika na ninaomba mniupdate.