Safe House

Mkwanzania

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,132
4,303
Nini matumizi ya safe house? Na ni vipi 'mtu wa kawaida' anaweza kuijua safe house?
 
Kwa mtanzania wa kawaida ni kama usiku wa giza. Safe house ni nyumba maalumu katika mji ambapo taasisi ya kijasusi ya marekani imeweka kambi. Kambi hizi zipo kila nchi duniani. Kwa hapa tanzania kambi ipo dar es salaam,
 
Nini matumizi ya safe house? Na ni vipi 'mtu wa kawaida' anaweza kuijua safe house?
Kwa mujibu wa cia. Kila ubalozi wa marekani popote pale ulimwenguni una ma-agent wa cia wasiopungua wawili.
 
Safe house ni nyumba yeyote ya kijasusi/kigaidi ambayo sio ofisi inayotumika kama ni hiding place ya na majasusi/magaidi

Kwa mujibu wa cia. Kila ubalozi wa marekani popote pale ulimwenguni una ma-agent wa cia wasiopungua wawili.

Aisee mimi nahisi wapo zaidi ya hamsini kila ilipo ubalozi wao.
 
Zipo nyingi tu lakini kwa kuwa hili ni very sensitive halina tija kulijadili na siwezi kukwambia safe house ziko vipi na ziko wapi mada nyingine si nzuri kubandikwa hapa. Kifupi ukisikia mtu katiwa kizuizini maana yake ndiyo hiyo.

Intelijensia nayo ni taaluma kama taaluma zingine, ni kwamba tu ni taaluma nyeti kuliko taaluma zingine. Lakini hili halizuii kujua baadhi ya vitu vya 'kawaida' kuhusu taaluma hiyo. Sio usiri kwenye jambo kama hili kwenye zama kama hizi, kama wezentu wanatengeneza hadi filamu kuonesha baadhi ya sehemu nyeti ya ikulu zao, au unyeti wa vyombo vya usafiri wa viongozi wao wewe hapa kujadili safe house tu unaona shida?
 
Majibu yamekuwa mengi lakini swali lako halijitoshelezi, Funguka kwa undani ili upate jibu sahihi na kwaundani.

Swali langu liko hivyo hivyo mkuu, nahitaji kujua hayo niliyo orodhesha hapo, na nashukuru kwa wote walionijibu.
 
Intelijensia nayo ni taaluma kama taaluma zingine, ni kwamba tu ni taaluma nyeti kuliko taaluma zingine. Lakini hili halizuii kujua baadhi ya vitu vya 'kawaida' kuhusu taaluma hiyo. Sio usiri kwenye jambo kama hili kwenye zama kama hizi, kama wezentu wanatengeneza hadi filamu kuonesha baadhi ya sehemu nyeti ya ikulu zao, au unyeti wa vyombo vya usafiri wa viongozi wao wewe hapa kujadili safe house tu unaona shida?

Wewe subiri muda wako ufike macho yako hayajakomaa kuchungilia chumbani wanakolala wazee.
 
safe house,ni nyumba salama ambazo vyombo vyote vya ulinzi na usalama kwa karibu dunia nzima wanazo.Mfano taasisi za usalama wa taifa,majeshi ya ulinzi,majeshi ya polisi nk.Hutumika kama sehemu za kuhifadhia watu kwa siri,kwa sababu maalum.Wakati mwingine,watu maalum,huamia huko kama maficho,ili kufanya shughuli maalum
 
mimi nata niwe na safe house yangu na isiwe kwenye mipango mji yaani iwe kama hai exist.

iwe na milango ya siri vyumba vya siri na lift moja ya kunishusha chini ambayo ni ngumu kujua kama ipo kwenye jengo hilo kama kuna injinia anaweza hii kitu ani PM
 
Pesa yako tu mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom