Chanzo cha vifo vya usingizini

vitangaye

Member
Jul 28, 2015
45
95
CHANZO CHA VIFO VYA USINGIZINI.
Waslaam wanajf kisima cha maarifa.

Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Watu Wengi Sana tumekuwa tukijiuliza kwanini mtu analala usiku halafu asubuhi watu wanashudia amefariki?. Au alilala mchana halafu akafia usingizini? Kwanini mtu anafia usingizini? Kwanza napenda kutambua uwepo wa mungu Kwani mungu ndie anayeruhusu kila kitu.

Hata kifo ni mungu anaruhusu iwe usingizini, Katika ajali nk. Dini zote zinathibitisha hili. Haya, twende katika elimu hii ya dunia, Mara nyingi sana tumewasikia madaktari wakitoa sababu ya kifo cha mtu aliyefia usingizini kwamba ni BP, kisukari, mshituko wa moyo nk.

Nitachambua maada hii kwa nadharia Mbili. Ya kwanza ni kumalizika kwa ndoto na ya pili ni kuwa mshindi katika kila ndoto unayoota.
Nadharia ya kumalizika kwa ndoto. Kwanza haiwezekani ukalala bila kuota ndoto. Ndoto yoyote ile unayoota haiwezi malizika yaani huwezi ukaimaliza. Hebu jiulize tangu umeanza kuota ndoto umewahi kuzimaliza? Mara nyingi sana utashangaa tayari kumekucha au umeshitushwa na mama, baba, Mjomba na shangazi(kwa mnaokaa ubalozini). Sasa ukiota ndoto ukaimalizia hadi mwisho hapo ndipo kifo cha usingizini hutokea. Huwezi ukaimalizia ndoto halafu ukaamka tena hai labda Kwa miujiza ya mungu.

Pili, kuwa mshindi katika ndoto. Ndoto yoyote ile unayoota nilazima uwe mshindi.Kwanza jiulize umewahi kushindwa Katika ndoto yoyote ile? Kwa mfano labda umeota unakimbizwa na simba halafu simba akukukamata na kukuua ndotoni basi hata kimwili utakuwa umefariki.

Hapo ilitakiwa wewe ndo uwe mshindi umuue simba au uokolewe na mtu hapo utaamka lakini vinginevyo jina litabadilika. Mfano wa pili umeota unakimbizwa na majambazi wakakukamata na wakakuua basi ujue huo ndo mwisho wako hata kimwili.
Kwa haya machache nakalibisha mjadala #
 

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
8,047
2,000
CHANZO CHA VIFO VYA USINGIZINI.
Waslaam wanajf kisima cha maarifa.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Watu Wengi Sana tumekuwa tukijiuliza kwanini mtu analala usiku halafu asubuhi watu wanashudia amefariki?. Au alilala mchana halafu akafia usingizini? Kwanini mtu anafia usingizini? Kwanza napenda kutambua uwepo wa mungu Kwani mungu ndie anayeruhusu kila kitu. Hata kifo ni mungu anaruhusu iwe usingizini, Katika ajali nk. Dini zote zinathibitisha hili. Haya, twende katika elimu hii ya dunia, Mara nyingi sana tumewasikia madaktari wakitoa sababu ya kifo cha mtu aliyefia usingizini kwamba ni BP, kisukari, mshituko wa moyo nk.
Nitachambua maada hii kwa nadharia Mbili. Ya kwanza ni kumalizika kwa ndoto na ya pili ni kuwa mshindi katika kila ndoto unayoota.
Nadharia ya kumleo alizika kwa ndoto. Kwanza haiwezekani ukalala bila kuota ndoto. Ndoto yoyote ile unayoota haiwezi malizika yaani huwezi ukaimaliza. Hebu jiulize tangu umeanza kuota ndoto umewahi kuzimaliza? Mara nyingi sana utashangaa tayari kumekucha au umeshitushwa na mama, baba, Mjomba na shangazi(kwa mnaokaa ubalozini). Sasa ukiota ndoto ukaimalizia hadi mwisho hapo ndipo kifo cha usingizini hutokea. Huwezi ukaimalizia ndoto halafu ukaamka tena hai labda Kwa miujiza ya mungu.
Pili, kuwa mshindi katika ndoto. Ndoto yoyote ile unayoota nilazima uwe mshindi.Kwanza jiulize umewahi kushindwa Katika ndoto yoyote ile? Kwa mfano labda umeota unakimbizwa na simba halafu simba akukukamata na kukuua ndotoni basi hata kimwili utakuwa umefariki. Hapo ilitakiwa wewe ndo uwe mshindi umuue simba au uokolewe na mtu hapo utaamka lakini vinginevyo jina litabadilika. Mfano wa pili umeota unakimbizwa na majambazi wakakukamata na wakakuua basi ujue huo ndo mwisho wako hata kimwili.
Kwa haya machache nakalibisha mjadala #
Dah! leo kuna mshikaji mmoja kafia ndotoni huko Kigamboni.R.I.P
 

Mfagio

JF-Expert Member
May 13, 2014
397
250
ukiota ndoto ukaimalizia hadi mwisho hapo ndipo kifo cha usingizini hutokea. Huwezi ukaimalizia ndoto halafu ukaamka tena hai labda Kwa miujiza ya mungu.
Hapa nina mashaka inakuwaje ukaota labda unajenga nyumba alaf ukaimaliza iyo nyumba kujenga ndo utakuwa mwisho wa maisha yako?
 

FbUser

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
328
250
Kwa uongo huu nawe unatakiwa ufe usingizini usirudie ili kutudanganya. Unamgunduaje aliyekufa kwa kumalizia ndoto au anakusimulia kisha ndio anakufa? We kanikia subiri ripoti ya pili
 

kagulilo1

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
295
500
Point of correction Mungu Na sio mungu. Na ukiota ndoto umefariki halafu ukashituka unashindwa kuinuka mwili unakuwa kama umekufa ganzi hiyo nayo vipi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom