AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 677
Kutokana na kushamiri vitendo vya kiuchawi kuongezeka imekuwa vigumu kutofautisha ugonjwa wa kawaida na ule wa kiuchawi, sasa dalili zake ni kipimo kikubwa cha kujua uchawi na malaria tofauti yake kubwa ni ipi? au Typhoid na Uchawi, au kifua kubana kwa kawaida na ile ya kubanwa na majini ya kiuchawi au majini maaovu yanayokuingilia yenyewe.
Mfano dalili hizi ni za kuwa na jinn au kulogwa je zina weza kua sio kwajili ya uchawi au majini ikawa kawaida je ina ingia hakilini kuwa kawaida??????
Mfano dalili hizi ni za kuwa na jinn au kulogwa je zina weza kua sio kwajili ya uchawi au majini ikawa kawaida je ina ingia hakilini kuwa kawaida??????
Kuota unafanya mapenzi na watu au wanyama mara kwa mara
Kuhisi vitu vinatembea mwilini na tumboni
Kuhisi ni mwoga kila mara na kustuka ghafla unapokaribia kusinzia unatingishika mguu au mwili mzima
Kutingishika ghafla au viongo vya mwili kutingishika vyenyewe bila kuvitingisha
Kuota nyoka mara kwa mara
Kuota unalishwa vyakula au vitu usivyoelewa
Kutaka kuachana na mumu na mke bila tatizo kubwa au la kuamua kufanya hivyo
Kuota unakojoa mara kwa mara au uko chooni unajisaidia
Kuota unazaa watoto mara kwa mara
Kukosa choo na hata ukimaliza kura njaa inaongezeka muda si mrefu na choo kinakuwa shida hata kama unakula mboga za majani, matunda an unakunywa maji
Matiti kuwa madogo ghafla
Uume kurudi ndani na kuwa kama wa mtoto ghafla na kuhisi nguvu za kufanya tendo la ndoa hafifu na uume kuwa dhaifu
Mwanamke kuhisi maumivu wakatika wa tendo la ndoo na hapendi kwani anachubika kila akifanya na kutoka damu hata kama si bikira na huko nyuma alikuwa sawa
Kuingia kwenye hedhi bila kutoka au hedhi kuwa shida na kubadilika mara kwa mara
Kuchanjwa usiku na kuona chale unapokuwa unaoga au mikwaruzo kwenye mwili wako
Milango kufunguliwa usiku na kuhisi watu wanagonga milango na ukitizama huoni mtu
Kuitwa usiku jina lako na anayekuita humuoni
Kukata tamaa na kuona kila kitu hakiwezekani na kujiwa na mawazo ya kujiua
Kuchukiwa na kila mtu bila sababu na hata watu wako kwenye familia
Kuandamwa na ajali kila mara na unaponea chupu chupu
Kubadilika afya ghafla na kuwa na kiu sana na kunywa maji sana hasa usiku na ukipima huna sukari wala malaria wala hakuna joto sana
Kuota unaongea na watu waliokufa na wakati mwingine unaota uko makaburini
Kuwa una ujuzi wa kutosha lakini hupati lakufanya na hakuna mtu anayethamini ujuzi wako au elimu yako
Kuhama ghafla na kuishi ughaibuni na kutoatamani kurudi nyumbani hata kama kuna watoto na mke wako
Kupenda kufanya maasi kama zinaa, wizi wa kila kitu, uzembe wa kusinzia mpaka watu wanakushangaa, ulevi wa masaa yote.