Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,513
- 1,490
Jamani kuna jambo kidogo huwa linasumbua sana kichwa changu! Na sijapata majibu.Hivyo nimeona bora nililete humu labda nitapata msaada.
Jambo lenyewe ni hili; ikiwa Adam na Hawa(Eva) ndo chanzo cha binadamu wote sisi ulimwenguni.sasa inakuwaje kuna waafrika wenye ngozi nyeusi na wazungu? Lakini pia kuna waarabu,wachina,wajapan,wakorea,wahindi.kama sisi sote tulitokea kwa Adam na Eva,sasa kwa nini tunatofautiana?