Nikola Tesla vs Albert Einstein: The Ether & the Birth of the New Physics

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
612
1,000
Nikola Tesla and Albert Einstein were two of the greatest scientists of all time, but they often worked in opposition to each other rather than together in cooperation.

Einstein’s theory of relativity required the belief that there are no speeds faster than the speed of light, which is 186,300 miles per second, but Tesla’s scientific work disagreed with Einstein’s hypothesis. Theories have been challenged and refuted over the years, and that has certainly been the case with Einstein’s theory of relativity, but, thus far, that theory still stands among mainstream scientists. An example of a theory that was supposedly “proven” was the belief that it was impossible to fly a heavier-than -air machine, but that belief is proven wrong thousands of times every day.

Scalar waves are another interesting phenomenon. Such waves sometimes called Tesla Waves or Longitudinal Waves are capable of penetrating any solid object, and are believed to travel faster than light. This faster than light disagreement is but one of the many disagreements between Tesla and Einstein. Tesla also differed with Einstein and the quantum physicists in his view of the structure of the elementary particles and the possible consequences caused by the smashing of atoms. To Tesla, the Theory of Relativity was just “a mass of error and deceptive ideas violently opposed to the teachings of great men of science of the past and even to common sense”.

Tesla and Einstein both contributed much to society, but if they had worked together in a more cooperative manner one can only imagine what they would have accomplished. Tesla understood ether theory a lot better than Einstein did, but Tesla also did not truly understand the ramifications of Einstein’s famous equation E=mc2.

Undoubtedly, the most intriguing disagreement between Tesla and Einstein was whether or not anything can travel faster than light.


Faster Than Light! from the Tesla Universe Article Collection

Nickola Tesla’s Scalar Waves - what are Scalar Waves? | Life Energy

Martin_Hill_Ortiz
 

wamba

Senior Member
Aug 19, 2009
173
250
for me...Einstein was the best over the best...most of the theory are really true on natural basis...wenzetu walikua na nyenzo za kufanyia kazi pamoja na uwezo wao mkubwa...a lot of theory are truly and work very well....for me Einstein still is the best overall
 

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,892
2,000
Hakuna kama Tesla,usisahau pia alikuwa na knowledge isiyo ya kibinadamu baada ya kuona kwamba alikuwa close kufanikisha wireless eletricity kina Jp Morgan wakaamua kumpoteza ila inasemekana alikuwa na uwezo wa ki alliens beyond ubinadamu kabisa
 

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
9,115
2,000
for me...Einstein was the best over the best...most of the theory are really true on natural basis...wenzetu walikua na nyenzo za kufanyia kazi pamoja na uwezo wao mkubwa...a lot of theory are truly and work very well....for me Einstein still is the best overall
U are totally wrong....fanya research vizuri....Einstein mwenyewe alimkubali tesla kama ni ...mtu wa hatari ...genius kuwahi kutokea duniani
 

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
612
1,000
U are totally wrong....fanya research vizuri....Einstein mwenyewe alimkubali tesla kama ni ...mtu wa hatari ...genius kuwahi kutokea duniani
naweza nikasema hujui ulichokiandika mkuu na haujafanya research yoyote Einstein hakuwahi kumkubali Tesla kiasi hicho cha kuwa genius hatari kuwahi kutokea duniani
 

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
612
1,000
Nikola Tesla was more than Einstein!

Nakubaliana na ZE NDINDINDI hapo juu.Alikufa akiwa katika harakati za kuunganisha Mwanga wa angani ili uangaze kote duniani.

Pia nadhani yeye ndiye father wa Hydro Electric Power (H.E.P).

I salute him.
wakuu hatushindanishi kitu hapa ila tunaangalia kwanini Tesla alikataa ugunduzi wa Einstein
 

Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,716
2,000
Light is the fastest stuff because its speed is already measured and known but there are other unmeasured stuffs in our universe zinamove na speed mara 1000 ya mwanga hivi vinaitwaTachyons...There re speed are theoretically known and practically difficult to measure. If these stuff once there speed will be practically known Einstein relativity will become a waste gabbage.
 

Nfumu

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
612
1,000
Tesla alikubaliana na nadharia ya Newton kwa mvutano wa vitu angani ni sababu ya Gravity force na sio 2D gravitational waves kama Einstein's relativity inavo elezea.
nafikili nilikuwa nahitaji point za hivi na sio kusema kuwa Tesla ni zaidi ya Einstein
 

izzo

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,817
2,000
Hapo unamzungumzia intelligent (brilliant) na Genius Albert Einstein alikuwa ni Genius huku Nikola Tesla alikuwa ni Intelligent (brilliant) leo huwezi kulinganisha hawa watu wawili kwani katika kushindanisha vitu kuna utaratibu ni lazima ufatwe ikiwamo vitu vinavyoshindanishwa ni lazima vilingane au kufanana ktk utendaji kazi au uwezo wa vitu hvyo lazima huwe ktk level sawa au moja Albert Einstein alikuwa ni mwana fizikia ( physicist) huku Nikola Tesla alikuwa ni mhandisi wa umeme (electrical engineer) so ni vitu tofauti sana kumfananisha mhandishi wa umeme na Genius utakuwa hutendi haki kwani mtu yeyote anaweza kuwa mhandishi wa umeme lakini si kila mtu anaweza kuwa Genius pia hawa wote walikuwa wanafanya kazi na shuguli tofauti kabisa Albert Einstein alikuwa anadeal na (Matter, Energy, Time, Space, Motion, Gravity na Photons) huku Nikola Tesla alikuwa anadeal na (Technology na Science)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom