Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Rafiki yangu mpendwa, Mara nyingi tunaposikia miujiza, huwa tunaona ni watu wachache wanaoweza kuifanya. Mara nyingi wale ambao ni viongozi wa dini au wenye imani kali za kidini au hata za...
40 Reactions
57 Replies
22K Views
We were born into a mystery. We awakened on this world like an abandoned baby left on a door-step without a note to explain who we are, where we come from and where we are going. Death is the...
19 Reactions
135 Replies
12K Views
Chance of Impact in 2027 is Now 96% Based on new tracking observations taken this week, IAWN has confirmed that asteroid 2017 PDC is on a course that almost certainly will impact the Earth on...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari Great thinkers Naomba kuuliza hili maswali kuhusu Dunia. Tunaambiwa Dunia ina umbo la Tufe, Pia ni kawaida maji kukaa Square hajalishi yapo kwenye kitu chenye umbo gani. >Nini kinafanya...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Aman iwe nanyi wapendwa Husika na kichwa cha habar hapo juu Nimekuja mbele yenu ili magwiji watueleze maswali yafuatayo A akili ni nini? B ni kweli kuna kitu kinaitwa akili au tu ni moja ya...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wana JF, Kama nilivyouliza hapo juu, ili tupeane mawazo.kama tukisoma kwenye kitabu cha Agano la kale, baada ya Mungu kuwaonya binadamu na wakawa shingo ngumu, na kuamua kuachia...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Angalia link hii kisha toa maoni yako nani hasa alimuua Kabila
6 Reactions
95 Replies
31K Views
Nimetafakari sana baada ya uwepo wa taarifa za Kagame kuhimiza wanywarwanda kuwekeza kanda ya ziwa (Mwanza). Baada ya taarifa kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Tayari Kagame ndio...
2 Reactions
57 Replies
9K Views
Huyu aliyepo hii leo ndiye asiye kuwepo badae na asiye kuwepo ndiye aliyepo. Hiki unachokiona leo siyo hicho walichokiona waliokuwepo, lakini ndiyo hicho kilichopo, ambacho kila aliyekuwepo...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Nimekaa na kutafakari sana hasa nikitazama sisi waafrika na kulinganisja na watu wa mabara mengine kimaendeleo katika nyanja mbalimbali kama vile kiuchumi, kijamii na kiasia. Sikuishia hapo tu...
5 Reactions
37 Replies
5K Views
Wanefili ni nani? wanefili maana yake ni majitu makubwa, hawa majitu kama Goliathi, Ahimani, sheshai, Talmai, Safu, Lahmi nk walijulikana katika agano la kale. Hawa walikuwa ni wanadamu...
19 Reactions
671 Replies
135K Views
La petit Mort, tamka (la petii mwa) neno la kifaransa hili lililopata umaarufu zaidi karne ya 19th century.. Likiwa na maana "little death" kwa kiingereza na "kifo kidogo" kwa kiswahili. Ukisikia...
51 Reactions
159 Replies
24K Views
Inasemekana ni mtaalam wa mafunzo ya kulenga shabaha na uokozi.Jamaa huyo alijizolea sifa/pongezi toka kwa wananchi wa Kenya kwa namna alivyojitahidi kuwaokoa wahanga wa tukio baya kabisa lililo...
22 Reactions
215 Replies
26K Views
*JE, UNAMFAHAMU MTU ALIYEGUNDUA MITIHANI YA DARASANI?* Kuna utata katika swala hili. Wapo watu wanatajwa kuwa mmojawapo ndiye aliyegundua mitihani ya darasani. Fatilia ufafanuzi wangu...
8 Reactions
32 Replies
16K Views
ukimsikiliza kwa makini huyo jamaa hapo mwishoni anasema kuna nchi za afrika kuna waafrika walishatoweka kabisa kwa mfano misri nk. kwa misingi hiyo inamaana waafrika tusipo kaa sawa tutakuja...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
katika maisha uwezi kujua dunia mengine tufanye ni ulimwengu uliopo tusio jua.!? kwa nini ! Marais wawili wakuu wa Merika waliuawa kwa sababu ya haki Novemba 22, 2003 ni alama ya kumbukumbu ya...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Habarini za uzima wakuu, naomba kuleta kwenu uzi huu unaohusu mambo kidogo juu ya mchezo wa Jumanji ambao umepelekea mpaka kutolewa kwa movie mbili zenye matukio ya kufanana. Karibuni. Kwa wale...
4 Reactions
116 Replies
15K Views
Kila Taifa duniani ili lisimame imara lazima idara hii iwepo, mfano US utawakuta CIA AU NASSA, Urusi wapo KGB na kadhalika. Tunasema Malaika hasa kulingana na ugumu na upekee wa kazi yenyewe, Wao...
5 Reactions
45 Replies
15K Views
Tarehe 8, mwezi wa 8 mwaka 2005, saa tatu asubuhi ikiwa ni siku ya Jumatatu, moja ya tawi la Bank Kuu ya Brazil lililopo katika mji wa Fortaleza katika jimbo la Ceara, lilifunguliwa kama kawaida...
74 Reactions
122 Replies
28K Views
Intelijensia: Pandikizi Chochezi Source: Agent provocateur - Wikipedia Suala la Intelijensia, ujasusi na ushushushu ni kitu adhimu sana kukifahamu si tu kwa manufaa ya usalama wa nchi bali pia...
40 Reactions
60 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…