Una nini cha kusimulia on spy ana espionage wakati wa cold war na weapons race

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,147
33,296
Wakuu wa JI habari zenu.
Natambua jukwaa hili limesheheni wajuzi wa mambo mbalimbali ya duniani,yaliyopita na yaliyopo.
Kwa ajili ya kujikumbusha na kujifurahisha na kujifunza,napenda utujuze wewe unakumbuka tukio gani kubwa na lililokufurahisha ama kukusisimua la kijasusi,kijeshi au kuibiana taarifa kati ya upande wa magharibi na mashariki zikiongozwa na USA Magharibi na USSR Mashariki.
Mimi naanza unaweza kunirekebisha,kunisahihisha na hata kuboresha ama nawe kuja na tukio jipya.
Ncihi kadha za Ulaya bila Marekani ziliamua kuunda ndegevita moja ambayo USSR asingeweza kuidhibiti kwa namna yeyote ile.Ndege amabyo kama ingetokea vita kati ya West na East basi ingewatoa jasho East,ndege bora ambayo USSR hawakua na kombora la kuipiga.
Wakati wakiendelea na ujenzi wa ndege hiyo kumbe kulikua kuna Engineer ambae ni jasusi wa USSR,Huyu alijulikana kama Mnorway kumbe ni Mrusi.
Sasa kila hatua ya ufundi ikifika anapenyeza taarifa za namna ndege hiyo ilivyo sayasi na teknolojia,uwezo na namna isivyoweza kupigika na ant aircraft za USSR.
Basi wakati akivujisha siri za uwezo wa ndege hiyo wao USSR wakawa wanatengeneza kombora lakuipiga kwa sababu walikua wanapewa siri na jasusi wao.
Wale West walitamba sana kuwa itawapa tabu sana USSR.Sasa siku ya kuijaribu wakawambia itaruka kuelekea Ussr.USSR akawaambia ataipiga wakamcheka sana.Siku iliporuka tu kuelekea East USSR wakaitungua na majigambao yakaishia hapo.
WEST hawakuamini wakaamua ku trace back. wakagundua mwenzao mmoja Msweden hayupo kisha toroka,walipofatilia zaidi wakagundua alikua akipeleka taarifa nyingi kwa USSR juu ya ngege hiyo.
 
duu 😧yani huu uzi ni wazamani hivyo 😂😂😂

anyway us +Russian federation wanajuana iko ivii us anatumia pesa pia Russia wanatumia pesa
mfn b2 stealth bomber Russia walinunua kwa pesa ndefu
pia us walitumia zaidi ya dola 10mln kununua taarifa za alie vujisha taarifa zake

kwa kifupi ni kwamba hamna kinachoendelea us af Russia asijue same as us kwa Russia ila currently kama us anazidiwa hivii!!!

bora uwe mpigaji /rusha ngumi kuliko kua mpanguaji
 
Mkuu umetunyima uhondo kwa kutokututajia jina la huyo spy na stori yake tunaipata kwenye kitabu gani?

mi simkubali Tolkachev (kitabu the billion dollar spy) engineer ambaye alikuwa akiwa akiwapa siri CIA kwa mpunga mdogo.

Namkubali Edward lee howard aliyeamua kulipa kisasi kwasababu CIA walimfukuza na kuomba mpunga ili awauzie info KGB na baadae akakimbilia Urusi.
Nalog off
 
Wakuu wa JI habari zenu.
Natambua jukwaa hili limesheheni wajuzi wa mambo mbalimbali ya duniani,yaliyopita na yaliyopo.
Kwa ajili ya kujikumbusha na kujifurahisha na kujifunza,napenda utujuze wewe unakumbuka tukio gani kubwa na lililokufurahisha ama kukusisimua la kijasusi,kijeshi au kuibiana taarifa kati ya upande wa magharibi na mashariki zikiongozwa na USA Magharibi na USSR Mashariki.
Mimi naanza unaweza kunirekebisha,kunisahihisha na hata kuboresha ama nawe kuja na tukio jipya.
Ncihi kadha za Ulaya bila Marekani ziliamua kuunda ndegevita moja ambayo USSR asingeweza kuidhibiti kwa namna yeyote ile.Ndege amabyo kama ingetokea vita kati ya West na East basi ingewatoa jasho East,ndege bora ambayo USSR hawakua na kombora la kuipiga.
Wakati wakiendelea na ujenzi wa ndege hiyo kumbe kulikua kuna Engineer ambae ni jasusi wa USSR,Huyu alijulikana kama Mnorway kumbe ni Mrusi.
Sasa kila hatua ya ufundi ikifika anapenyeza taarifa za namna ndege hiyo ilivyo sayasi na teknolojia,uwezo na namna isivyoweza kupigika na ant aircraft za USSR.
Basi wakati akivujisha siri za uwezo wa ndege hiyo wao USSR wakawa wanatengeneza kombora lakuipiga kwa sababu walikua wanapewa siri na jasusi wao.
Wale West walitamba sana kuwa itawapa tabu sana USSR.Sasa siku ya kuijaribu wakawambia itaruka kuelekea Ussr.USSR akawaambia ataipiga wakamcheka sana.Siku iliporuka tu kuelekea East USSR wakaitungua na majigambao yakaishia hapo.
WEST hawakuamini wakaamua ku trace back. wakagundua mwenzao mmoja Msweden hayupo kisha toroka,walipofatilia zaidi wakagundua alikua akipeleka taarifa nyingi kwa USSR juu ya ngege hiyo.
very interested.
Ntarudi soon
 
Back
Top Bottom