Je, Shetani & Ibilisi anahusikaje kwenye vitendo vya Magicians (Wanamazingaombwe)?

Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
669
Points
1,000
Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
669 1,000
Habari za jumapili wakuu natumaini siku yenu imekwenda vizuri sana. Naomba kushare nanyi makalaa hii nitakayokwenda kueleza kuhusu uhusiano Wa karibu kabsa katika ya Shetani au Ibilisi na vitendo vya Magicians au Wanamazingaombwe wadogo na wakubwa, mfano; Chris Angels, Smoothing pamoja na David Blane na wengine wengi.
Naomba kusema kuwa Uzi huu hakuna mahusiano na watu wenye imani ya Uchawi. Pamoja na wale walio na fikra tofauti na mimi. Maneno na fikra zote hunu ni kutokana na mawazo yangu tu.
Karibu sana.
Hakika dunia inabadilika kwa kasi ya ajabu angalabu ni kawaida kuamka na kusikia au kupokea taarifa kutipitia mitandao yetu ya kijamii hasa hasa YouTube kuwa kuna video mpya za Wanamazingaombwe. Na hakika wengine tunafurahi sana tukiona David Blane akitembea kwenye Swimming Pool bila kuzama au smoothing akibadilisha maji na kuwa divai. Ni mambo tuliyaweka yawe ya kawaida ndani ya maisha yetu.
Michezo ya karata (Card tricks), kubadilisha pesa za noti na sarafu imeshika macho na masikio ya wengi wetu. Imefikia mpaka baadhi ya matendo kukiuka sheria za asili (laws of nature) na hata sheria za kisayansi moja kwa moja. Vitendo vinatuacha na maswali mengi sana, "ametoa samaki Hawa sehemu gani ndani ya mfuko wake Wa suruali?" "Je amebadilisha vipi chupa kuwa kikombe?" Haya ni baadhi ya maswali ambayo tunajiuliza na tukikosa majibu tunabaki kufurahi na kucheka tu.
Lakini kaa ukijua kuwa misingi ya uchawi ndo misingi ya Hawa Jamaa hakuna kinachobadilika zaidi ya hadhira tu.
*Twende pamoja:*
Nguvu na utaalamu Wa kina David Blane au Chris Angels hauna tofauti na kile ambacho mganga tambi tambi anafanya. Kwa sababu chanzo cha maarifa haya ni kutoka kwa Shetani mwenyewe. Huyu ndo mwenye kufanya mipango yote na Hawa Wanamazingaombwe wote ni sehemu ya timu au kikosi Kazi cha Ibilisi. Na lengo kuu la Jamaa huyu ni kuwabadilisha mlengo binadamu kutoka katika imani ya kumuamini Mungu au Matendo ya mitume kama vile Issah Bin Mariamu (Yesu Kristo), Mussa, Ibrahim na wengine. Kwani Ibilisi anataka kuendeleza ile hali ya kuwafanyia brainwashing binadamu kuwa sio Mungu tu mwenye kuweza kufanya matendo haya, Bali hata wao wanaweza.

*Je ni nini haswa hufanyika kati ya Ibilisi na Wanamazingaombwe Hawa?*
Unapokuwa upo katika eneo la tukio unashuhudia namna ambavyo David Blane anafanya vitendo mfano kubadilisha maji na kuwa jiwe utatekwa akili yako na kubaki kutaka kufuatili zaidi je ni kwa namna gani watu Hawa hufanya vitendo hivi. Mfano mzuri ni pale ambapo Dynamo the magician aliotembea kwenye mto na kupelekea mpaka polisi kumshikilia kwa muda kwani walidhani angehatarisha maisha yake, lakini wiki moja tu ilitosha kwa mwenzake anayeitwa Chris Angels kufanya hivyo hivyo tena zaidi ya Mara mbili bila hata kulowanisha nguo yake. Lakini linapofanyika tukio hili Mara ya kwanza ubongo na akili zetu hufikiria kuwa David Blane anafanya kitendo cha ajabu tu kumbe anakuwa amevikwa roho za majini na wote mnaokuwa mmezunguka au kuangalia kitendo kile mnakuwa mpo kwenye ndumba ya kichawi ambapo majini na mapepo haya yatakuonesha yanachotaka uone pale mbele. Unaposogea mbele tu kwa ajili ya kuanza kuangalia kitendo kile unakuwa tayari unetekwa kisaikolojia na mapepo.
Ingawa sio kila kitu kinachofanywa na Wanamazingaombwe Hawa basi wao ndo wahusika! Hapana mfano vitendo vya kupotea ghafla ndani ya jengo au chumba na kutoka upande mwingine, kupaa juu pamoja na kuvuta au kutoa vitu mbalimbali hewani. Vitendo hivi hufanywa na majini moja kwa moja. Ishu ni kuwa Ibilisi anapenda sana kuonesha ubora wake hasa kwa binadamu.

2. Namna wanavyokuunganisha na kuwa sehemu ya Wanamazingaombwe:
Wanamazingaombwe wote wenye kufanya kazi pamoja ushirika na majini na mapepo hupitia mambo kadha Wa kadha mpaka kufikia kupata tiketi ya kupata misaada ya kutenda vitendo vya kuogofya sana.
Je anapitia mambo au hatua gani mpaka kufikia kuwa mtaalamu katika fani hii.
1. Kwanza kabsa ni lazma ujue fani ya mazingaombwe hata kwa juu juu mfano kubadilisha karata kwa kuibia tu au kubahatisha karata ya mtu. Na lazma uwe umepata angalau kikundi cha watu ambao wapo tayari kuchoma muda wao kuangalia vitendo vyako.
2. Lazma ujiunge na vyama vya kishetani ili kuweza kufundisha namna na kuitwa uwepo na majini na mapepo bila kudhuruka laah si hivyo ukiwaitwa kichwa kichwa unaweza kudhurika vibaya na hata kifo. Hivyo ni lazma ujiunge na chama chenye ujuzi na elimu ya kishetani ili kuweza kuelewa namna ya summoning of the supernatural beings (kuwaita viumbe Hawa).
3. Jambo la tatu na mwisho ni kumkubali Jamaa huyu Ibilisi, kwani huwezi kupewa kibali cha kuwaongoza mapepo wala majini bila kibali cha huyu jembe. Hapa una chaguo moja katika mawili aidha uitoe roho yako au roho ya mtu Wa karibu yako (blood related). Endapo utakubaliana na sharti hili la mwisho hapo ndo jina lako linatambulika kila mahala ambapo Ibilisi anafanya Kazi na vitendo vyako vinapewa msaada Wa asilimia 100% kutoka kwa vibaraka Wa Ibilisi lakini kumbuka kuwa Kuna roho inapaswa kuwa ndo chambo.
3. Je unawezaje kumtambua mwanamazingambwe anayetumia majini na mapepo?
Kwanza kabsa usidanganyike na wale kina Chris Angels kufanya matendo yao mtaano tu eti anapita Mara watu waamuomba afanye vitendo viwili vitatu. Hapo kuna (connection) kubwa sana katika eneo la tukio na vibaraka vya Shetani. Unapomuona David Blane anainuka juu bila kushikiliwa na kitu chochote, na hata ukijaribu kupitisha mkono chini, kushoto na hata kulia utaona hakuna kitu. Hapo ndo wakati ambao mhusika anakuwa hayupo hapo anaweza kuwa pembeni wakati huo kitendo kikifanywa na pepo au jini Fulani, hapo mtakuwa mnashuhudia Kazi ya vibaraka Wa Ibilisi moja kwa moja.
Kitu kingine ni pale ambapo vibaraka hivi vinapomuingia mhusika, pale ambapo roho ya mhusika inaingiwa na kimoja wapo kati ya hivi! Je utagunduaje?
Vitendo vyote hivi vya kishetani hufanyika bila ya mtu kuwa na utayari Wa kushtukia kitu haswa. Mfano: Misuli ya shingo kuanza kuonekana kana kwamba kuna kitu kinamkaba vile m mwanamazingaombwe huyu. Lakini pia kiini cha macho kuonekana kama kinapotea Fulani au kupungua ukubwa na baadaye kurudi kwenye Hali ya kawaida, miguu kuwa inatetemeka ghafla pamoja na kuhisi ugeni usio Wa kawaida. Lakini cha ajabu ni kwamba katika umati huu unaofurahia vitendo hivi ni wangapi wanaoweza kuacha kuangalia jinsi sarafu ilivyoingia kwenye chupa cha soda na kuangalia alama na ishara hizi?
Hapo swali la kujiuliza ni hili:
Je ni nini dhamira au lengo haswa la Mashindano ya American Got Talent (AGT), Asian Got Talent pamoja na Britain Got Talent, kama Hawa ndo waungaji mkono wakubwa Wa masuala haya ya illusion au magic???
Asanteni sana
I stand to be corrected anywhere!!
2112414_fcmqckpaf0o8dg3eivbx.jpeg
Dynamo the incredible magician
2112416_5ae1e6b8422e4.image.jpeg
Chris Angels.
2112417_skynews-david-blaine-blaine_4626458.jpeg
David Blaine
2112423_13257765_f520.jpeg
Magicians and Demons in one form.
Cc. #Mshanajr #Lifecoded na wengine karibu kuchangia..
2112419_153062-feab089087944f08b3cc1f9ccd7bca85-2.jpeg
2112420_142981-1aa8992965924770ae0fbf6eafdd5591-2.jpeg
2112421_156601-9848892392534ea28d891c92c5f37269-1.jpeg
 
N

nyanda madirisha

Member
Joined
Apr 1, 2019
Messages
5
Points
45
N

nyanda madirisha

Member
Joined Apr 1, 2019
5 45
Jaman Uzi mzur hawa Jamaa nimeaaanglia kupitia AGT nikaona maajabu has yule anayepotega anakuwGa amrjivhoralama ya jicho masihdjar uson
 
Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
669
Points
1,000
Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
669 1,000
Jaman Uzi mzur hawa Jamaa nimeaaanglia kupitia AGT nikaona maajabu has yule anayepotega anakuwGa amrjivhoralama ya jicho masihdjar uson
Kuna mdau mmoja anadai kuwa hizi international competition kama AGT, BGT na nyingine ni stage au majukwaa ya kishetani maana zinaleta msukumo mkubwa sana katika masuala haya.....
 
mohammed khatibu

mohammed khatibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Messages
283
Points
250
mohammed khatibu

mohammed khatibu

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2018
283 250
kuna yule anajiita sacred riana, afu na Mr x.
Hawa wawili mi nawakubali sana.

Nakumbuka huyu sacred Riana aliwahi kutumia ouija board kufanya mazingaombwe.

ni nouma sana hawa magicians
 
mohammed khatibu

mohammed khatibu

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2018
Messages
283
Points
250
mohammed khatibu

mohammed khatibu

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2018
283 250
we acha tu mkuu.
yan ouija board alipanda nayo jukwaan na akaitumia palepale live huku watu wanaiona inavyo fanya kaz.
Lakini still kuna mtu anadai ni magic za kawaida tu
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
35,444
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
35,444 2,000
Hakuna cha maana...

Wanachofanya is to trick your mind in such a way that akili yako siyo rahisi kung'amua haraka haraka kwa urahisi...

Ndiyo maana wanaongea sana, kule kote ni to distract your mind and take away your concentration...Cc: mahondaw
 
Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
669
Points
1,000
Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
669 1,000
Ni nani haswa ambaye huwa anaongea sana kuzidi vitendo????
Kaangalie anachokifanya David Blaine au Chris Angels
Hakuna cha maana...

Wanachofanya is to trick your mind in such a way that akili yako siyo rahisi kung'amua haraka haraka kwa urahisi...

Ndiyo maana wanaongea sana, kule kote ni to distract your mind and take away your concentration...Cc: mahondaw
 
Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Messages
669
Points
1,000
Damaso

Damaso

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2018
669 1,000
Hapa sizungumzii zile tricks za wale Jamaa Wa minadani eti karata tatu Bali ni wale wenye sophisticated tricks kama kufanya levitation au kuacha kuvuta pumzi!!!! Hizi zote sio za kawaida kwamba tuziweke kwenye normal tricks.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
121,023
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

Platinum Member
Joined Aug 19, 2012
121,023 2,000
Ningeumia sana kimya kimya kama usingenialika kwenye huu mjadala lakini kama ingetokea nikauona bila mualiko bado nisingeacha kuchangia
Shetani na ibilisi ni kitu kimoja kwenye muktadha tofauti... Moja ni kiambishi na nyingine ni kivumishi
Ishu za AGT n so on ni mwendelezo wa vipaji asilia na vipaji vya kutengenezwa.... Kinachofanyika pale ni mwendelezo wa hivyo vipaji ambavyo along the way kuna mazingaombwe, supernatural powers na tech ya hali ya juu

Nitaendelea baada ya kusoma vizuri mada yote...
Nipo....!
Habari za jumapili wakuu natumaini siku yenu imekwenda vizuri sana. Naomba kushare nanyi makalaa hii nitakayokwenda kueleza kuhusu uhusiano Wa karibu kabsa katika ya Shetani au Ibilisi na vitendo vya Magicians au Wanamazingaombwe wadogo na wakubwa, mfano; Chris Angels, Smoothing pamoja na David Blane na wengine wengi.
Naomba kusema kuwa Uzi huu hakuna mahusiano na watu wenye imani ya Uchawi. Pamoja na wale walio na fikra tofauti na mimi. Maneno na fikra zote hunu ni kutokana na mawazo yangu tu.
Karibu sana.
Hakika dunia inabadilika kwa kasi ya ajabu angalabu ni kawaida kuamka na kusikia au kupokea taarifa kutipitia mitandao yetu ya kijamii hasa hasa YouTube kuwa kuna video mpya za Wanamazingaombwe. Na hakika wengine tunafurahi sana tukiona David Blane akitembea kwenye Swimming Pool bila kuzama au smoothing akibadilisha maji na kuwa divai. Ni mambo tuliyaweka yawe ya kawaida ndani ya maisha yetu.
Michezo ya karata (Card tricks), kubadilisha pesa za noti na sarafu imeshika macho na masikio ya wengi wetu. Imefikia mpaka baadhi ya matendo kukiuka sheria za asili (laws of nature) na hata sheria za kisayansi moja kwa moja. Vitendo vinatuacha na maswali mengi sana, "ametoa samaki Hawa sehemu gani ndani ya mfuko wake Wa suruali?" "Je amebadilisha vipi chupa kuwa kikombe?" Haya ni baadhi ya maswali ambayo tunajiuliza na tukikosa majibu tunabaki kufurahi na kucheka tu.
Lakini kaa ukijua kuwa misingi ya uchawi ndo misingi ya Hawa Jamaa hakuna kinachobadilika zaidi ya hadhira tu.
*Twende pamoja:*
Nguvu na utaalamu Wa kina David Blane au Chris Angels hauna tofauti na kile ambacho mganga tambi tambi anafanya. Kwa sababu chanzo cha maarifa haya ni kutoka kwa Shetani mwenyewe. Huyu ndo mwenye kufanya mipango yote na Hawa Wanamazingaombwe wote ni sehemu ya timu au kikosi Kazi cha Ibilisi. Na lengo kuu la Jamaa huyu ni kuwabadilisha mlengo binadamu kutoka katika imani ya kumuamini Mungu au Matendo ya mitume kama vile Issah Bin Mariamu (Yesu Kristo), Mussa, Ibrahim na wengine. Kwani Ibilisi anataka kuendeleza ile hali ya kuwafanyia brainwashing binadamu kuwa sio Mungu tu mwenye kuweza kufanya matendo haya, Bali hata wao wanaweza.

*Je ni nini haswa hufanyika kati ya Ibilisi na Wanamazingaombwe Hawa?*
Unapokuwa upo katika eneo la tukio unashuhudia namna ambavyo David Blane anafanya vitendo mfano kubadilisha maji na kuwa jiwe utatekwa akili yako na kubaki kutaka kufuatili zaidi je ni kwa namna gani watu Hawa hufanya vitendo hivi. Mfano mzuri ni pale ambapo Dynamo the magician aliotembea kwenye mto na kupelekea mpaka polisi kumshikilia kwa muda kwani walidhani angehatarisha maisha yake, lakini wiki moja tu ilitosha kwa mwenzake anayeitwa Chris Angels kufanya hivyo hivyo tena zaidi ya Mara mbili bila hata kulowanisha nguo yake. Lakini linapofanyika tukio hili Mara ya kwanza ubongo na akili zetu hufikiria kuwa David Blane anafanya kitendo cha ajabu tu kumbe anakuwa amevikwa roho za majini na wote mnaokuwa mmezunguka au kuangalia kitendo kile mnakuwa mpo kwenye ndumba ya kichawi ambapo majini na mapepo haya yatakuonesha yanachotaka uone pale mbele. Unaposogea mbele tu kwa ajili ya kuanza kuangalia kitendo kile unakuwa tayari unetekwa kisaikolojia na mapepo.
Ingawa sio kila kitu kinachofanywa na Wanamazingaombwe Hawa basi wao ndo wahusika! Hapana mfano vitendo vya kupotea ghafla ndani ya jengo au chumba na kutoka upande mwingine, kupaa juu pamoja na kuvuta au kutoa vitu mbalimbali hewani. Vitendo hivi hufanywa na majini moja kwa moja. Ishu ni kuwa Ibilisi anapenda sana kuonesha ubora wake hasa kwa binadamu.

2. Namna wanavyokuunganisha na kuwa sehemu ya Wanamazingaombwe:
Wanamazingaombwe wote wenye kufanya kazi pamoja ushirika na majini na mapepo hupitia mambo kadha Wa kadha mpaka kufikia kupata tiketi ya kupata misaada ya kutenda vitendo vya kuogofya sana.
Je anapitia mambo au hatua gani mpaka kufikia kuwa mtaalamu katika fani hii.
1. Kwanza kabsa ni lazma ujue fani ya mazingaombwe hata kwa juu juu mfano kubadilisha karata kwa kuibia tu au kubahatisha karata ya mtu. Na lazma uwe umepata angalau kikundi cha watu ambao wapo tayari kuchoma muda wao kuangalia vitendo vyako.
2. Lazma ujiunge na vyama vya kishetani ili kuweza kufundisha namna na kuitwa uwepo na majini na mapepo bila kudhuruka laah si hivyo ukiwaitwa kichwa kichwa unaweza kudhurika vibaya na hata kifo. Hivyo ni lazma ujiunge na chama chenye ujuzi na elimu ya kishetani ili kuweza kuelewa namna ya summoning of the supernatural beings (kuwaita viumbe Hawa).
3. Jambo la tatu na mwisho ni kumkubali Jamaa huyu Ibilisi, kwani huwezi kupewa kibali cha kuwaongoza mapepo wala majini bila kibali cha huyu jembe. Hapa una chaguo moja katika mawili aidha uitoe roho yako au roho ya mtu Wa karibu yako (blood related). Endapo utakubaliana na sharti hili la mwisho hapo ndo jina lako linatambulika kila mahala ambapo Ibilisi anafanya Kazi na vitendo vyako vinapewa msaada Wa asilimia 100% kutoka kwa vibaraka Wa Ibilisi lakini kumbuka kuwa Kuna roho inapaswa kuwa ndo chambo.
3. Je unawezaje kumtambua mwanamazingambwe anayetumia majini na mapepo?
Kwanza kabsa usidanganyike na wale kina Chris Angels kufanya matendo yao mtaano tu eti anapita Mara watu waamuomba afanye vitendo viwili vitatu. Hapo kuna (connection) kubwa sana katika eneo la tukio na vibaraka vya Shetani. Unapomuona David Blane anainuka juu bila kushikiliwa na kitu chochote, na hata ukijaribu kupitisha mkono chini, kushoto na hata kulia utaona hakuna kitu. Hapo ndo wakati ambao mhusika anakuwa hayupo hapo anaweza kuwa pembeni wakati huo kitendo kikifanywa na pepo au jini Fulani, hapo mtakuwa mnashuhudia Kazi ya vibaraka Wa Ibilisi moja kwa moja.
Kitu kingine ni pale ambapo vibaraka hivi vinapomuingia mhusika, pale ambapo roho ya mhusika inaingiwa na kimoja wapo kati ya hivi! Je utagunduaje?
Vitendo vyote hivi vya kishetani hufanyika bila ya mtu kuwa na utayari Wa kushtukia kitu haswa. Mfano: Misuli ya shingo kuanza kuonekana kana kwamba kuna kitu kinamkaba vile m mwanamazingaombwe huyu. Lakini pia kiini cha macho kuonekana kama kinapotea Fulani au kupungua ukubwa na baadaye kurudi kwenye Hali ya kawaida, miguu kuwa inatetemeka ghafla pamoja na kuhisi ugeni usio Wa kawaida. Lakini cha ajabu ni kwamba katika umati huu unaofurahia vitendo hivi ni wangapi wanaoweza kuacha kuangalia jinsi sarafu ilivyoingia kwenye chupa cha soda na kuangalia alama na ishara hizi?
Hapo swali la kujiuliza ni hili:
Je ni nini dhamira au lengo haswa la Mashindano ya American Got Talent (AGT), Asian Got Talent pamoja na Britain Got Talent, kama Hawa ndo waungaji mkono wakubwa Wa masuala haya ya illusion au magic???
Asanteni sana
I stand to be corrected anywhere!!
View attachment 1153501 Dynamo the incredible magicianView attachment 1153503 Chris Angels.View attachment 1153504 David BlaineView attachment 1153510 Magicians and Demons in one form.
Cc. #Mshanajr #Lifecoded na wengine karibu kuchangia..View attachment 1153506View attachment 1153507View attachment 1153508
 
Forum statistics

Threads 1,343,269
Members 514,998
Posts 32,778,369
Top