Sio kweli na sio sahihi kwa kiongozi yeyote kusema nafasi aliyonayo ni juhudi binafsi bila ya msaada wa Usalama wa Taifa..

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Japo ni ukweli kuwa Mungu ndie bosi mkuu wa Usalama wa Taifa ila ukweli ni kwamba anafanya kazi kwa karibu na Usalama wa Taifa.

Kuna aina mbili ya Usalama wa Taifa,wale wasio na vitambulisho na wasio kwenda kusomea Ila wanafanya kazi zilezile na proffessionals ila wote kwa pamoja kila mmoja kwa wakati wake huwaandaa viongozi tangu udogo wao wawe ni wabunge au hata rais

Hivyo kiongozi kusimama na kutamba kuwa nafasi aliyonayo ni kutokana na juhudi binafsi ni uongo mkubwa na kutokushuru

Instagram:kaukwaju
 
kwenda training na kufanikia kujifunza ulichopaswa kujifunza hiyo pia ni juhudi binafsi hvy waache wajigambe.
 
Tumekusikia sasa tusemejee!!?
Mgeni wapo watu kama wewe ila wao ni Malaika kwa upande mwingine wa siri,watajua ulichowaza baada ya kusoma post hii kisha watarekebesha,ndivyo dunia inavyokwenda,kwa swali lako u have played ur part although u know nothing
 
Mkuu ina maana hata kuandika sijui?, mbona swali langu limekuuma sana mkuu?. Anyway i know nothing mkuu
 
Ndiyo kujimwambafai mwambafai kwenyewe huko.
(By Dr. Kikwete, October, 2019, The 4th President of the URT)

Mimi mmoja alijimwambafai hivyo, niliporudi ofisini nikakata jina lake hadi leo anakula nyasi; huwa sipendi ujinga
 
Ofisi yake imekanusha kuwa haikumlenga mtu ile hotuba
 
Back
Top Bottom