Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,132
- 528
Heshima kwenu wakuu,
Naomba kufahamu hili, kutokana na maumbile ya binadamu.
Kuna wengine wamezaliwa kuwa na vichwa kikubwa na wengine wana vichwa vidogo.
Katika maumbile haya, je kuna uhusiano wowote na kiwango cha akili kichwani, yaani labda mwenye kichwa kidogo kuwa na akili kidogo kuliko mwenye kichwa kikubwa na kinyume chake.
Maana mtu anayefanya vizuri darasani, utasikia ana akili sana na mengine kama haya.
Nawasilisha.