Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,377
- 2,048
Tunapozungumzia idara ya Usalama wa Taifa na jinsi imeiangusha serikali yetu na kuweka usalama wa taifa letu hatarini nafasi ya Bw ...haiwezi kupuuzws Baadhi ya matukio yaliyotokea na kuruhusu ufisadi nchini yalitokea wakati wa "ulinzi" wake na hatujui ni kwa kiasi gani alisimamia idara hiyo katika Usalama wa Taifa.
Wakati umefika na huyu naye ajibu, alifanya nini kuiimarisha idara hiyo na kuhakikisha inajijenga sawasawa kukabiri matishio ya ulimwengu wa utanda wazi?
Kwa vile Rada ilinunuliwa wakati wa uongozi wake wananchi wana haki ya kujua ni kwa kiasi gani idara yake ilishiriki katika kuhalalisha mauzo ya kurushwa kwa Vithlani? Zaidi ya yote binafsi ningependa kujua mambo yafuatayo kuhusu idara ya TISS enzi zake
a. Walijua nini kuhusu Saileth Vithlani yule Dalali aliyetoweka kwa kupanda ndege baada ya kuwaaga?
b. Idara ya Usalama wa Taifa ilijua nini kuhusu Jeetu Patel na uanzishaji wa banki ya Azania wakati Bw. Patel alishawahi kufilisi moja ya makampuni yake na sheria ya Fedha ilikuwa hairuhusu mtu aliyefilisiwa kuingia katika sekta ya Fedha? Kwanini Patel alipewa exception?
c.alijua nini kuhusu cha kitendo cha aliekuwa mkurugenzi wa mradi we Bot kutumia vyeo vyao kujinufaisha, Je upigaji was mafuta ya pantoni pale kivukoni hawaja uona?
Je yawezekana matatizo yetu mengi ya kiusalama yametokana na uongozi wa ndugu huyu na wakati wake wa kujibu umefika ili kina RO wajifunze kutokana na makosa?