Leonardo Da-Vinci

Leonardo da Vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baloon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi…lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya Monalisa. Lakini kitu kilicho amsha umakini juu ya mtu huyu ni suala lake la kudai ya kuwa Yesu Kristu alimuoa Marry Magdalena na alikua na watoto wawili ambao kizazi chao kipo huko ulaya..kwa ufupi ni hayo tu
 
leonardo da vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baroon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi…lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya monarisa. Lakini kitu kilicho amsha umakini juu ya mtu huyu ni suala lake la kudai ya kuwa yesu kristu alimuoa marry magdalena na alikua na watoto wawili ambao kizazi chao kipo huko ulaya..kwa ufupi ni hayo tu

haya sasa_mchungaji eiyer & co....wanayajua haya....!
 
hebu tuelimisheni mie hata simuelewi huyo mtu ila post zenu zimenifanya nitake kumjua zaidi
 
Attachments

  • roubre_monarisa.jpg
    roubre_monarisa.jpg
    26.6 KB · Views: 4,096
Ukiachana na picha ya Monalisa pia Leonardo alichora picha maarufu ya "the last supper" ambayo pia ilizua utata kwani inadaiwa kuna siri kubwa iliyofichwa kwenye picha hiyo. Inadaiwa ya kuwa huyo mtu aliyekaa pembeni ya yesu kristu upande wa kushoto alikua ni Marry Magdelena
 
Attachments

  • lastsuppertongerlocopyz.jpg
    lastsuppertongerlocopyz.jpg
    60.9 KB · Views: 2,805
leonardo da vinci ni moja ya wanasayansi waliojaribu kufanya kila aina ya ubunifu . Aliweza fanya ubunifu wa mwanzo kabisa wa baroon, aliweza kubuni aina ya mwanzo kabisa ya kifaru [kifaa cha vita] na vingine vingi…lakini pia alikua na kipaji cha ajabu cha uchoraji mfano picha maarufu ya monarisa. Lakini kitu kilicho amsha umakini juu ya mtu huyu ni suala lake la kudai ya kuwa yesu kristu alimuoa marry Magdalena na alikua na watoto wawili ambao kizazi chao kipo huko ulaya..kwa ufupi ni hayo tu
haya sasa_mchungaji eiyer & co....wanayajua haya....!
Huyo jamaa angetafiti kwanza ili ajue kuwa hata inayodaiwa kuwa "sura" ya Yesu ilikuwaje hasa ikawa maarufu angejua jambo kubwa sana

Huyo Da Vinch mwenyewe alikuwa anabuni hizo mambo zake hazina ukweli wowote,siku moja nilikuwa natazama National Geographic Channel walikuwa wanazungumzia huu upuuzi wa kizazi cha Yesu

Kuna mambo mengine hata ukitumia akili za mtoto w chekechea tu utagudua ni uji.nga!
 
Ukiachana na picha ya monarisa pia Leonardo alichora picha maarufu ya "the last supper" ambayo pia ilizua utata kwani inadaiwa kuna siri kubwa iliyofichwa kwenye picha hiyo. Inadaiwa ya kuwa huyo mtu aliyekaa pembeni ya yesu kristu upande wa kushoto alikua ni marry magderena

Ingekuwa hayo ni maandishi ya Marko au Luka kungekuwa na cha maana
Hivi si u-google tu ili ujue huyo jamaa aliishi mwaka gani?

Halafu jiulize ni kwanini michoro yake ichukuliwe serious kiasi hiki?
Kwani Da vinch ni nani?

Kila mtu anajua hiyo ni picha ya kubuni ni sawa na yule jamaa aliecheza filam ya Yesu aitwe au kuchukuliwa ndie Yesu!
Pathetic!!
 
Huyo jamaa angetafiti kwanza ili ajue kuwa hata inayodaiwa kuwa "sura" ya Yesu ilikuwaje hasa ikawa maarufu angejua jambo kubwa sana

Huyo Da Vinch mwenyewe alikuwa anabuni hizo mambo zake hazina ukweli wowote,siku moja nilikuwa natazama National Geographic Channel walikuwa wanazungumzia huu upuuzi wa kizazi cha Yesu

Kuna mambo mengine hata ukitumia akili za mtoto w chekechea tu utagudua ni uji.nga!

nilitazama mkuu ni ya kitoto sana, hata haileweki, ila mwisho wa siku hakukuwa na ushaidi, ilikuwa ni hisia tu.
 
Ingekuwa hayo ni maandishi ya Marko au Luka kungekuwa na cha maana
Hivi si u-google tu ili ujue huyo jamaa aliishi mwaka gani?

Halafu jiulize ni kwanini michoro yake ichukuliwe serious kiasi hiki?
Kwani Da vinch ni nani?

Kila mtu anajua hiyo ni picha ya kubuni ni sawa na yule jamaa aliecheza filam ya Yesu aitwe au kuchukuliwa ndie Yesu!
Pathetic!!
Well argument mchunga kondoo wa bwana,...hata mimi nilikuwa najiuliza amewezaje kuchora picha ambayo ime_draw attention ya ulimwengu as if ni ya kweli wakati hata hakuwepo vizazi na vizazi vimepita,...lazima kuna jambo limejificha nyuma ya huyu jamaa
 
google last supper/davinci code.......wanafalsafa wa kale wamekuwa wakidadisi kwa muda mrefu sana uhusiano tete kati ya yesu na Marry Magdalena...kuna waandishi wengi ambao waluigusia uhusiano huu na wakaishia kupotezwa na Romani empire ikiwamo Leonanardo davinci...baada ya mchoro huo Davinci alihama nchi yake kwa kuhofia maisha yake ambayo yaliwekwa rehani na utawala wa Roma wa kipindi chake...kisa chake kinamambo meni ..lakini simulizi ambazo zimeendelea kuzikwa ni ukweli kuhusu maisha ya Yesu...

1)..nini position ya Marry Magdalena b4, during & after jesus christ.
2) mbona alivuma ghafla katika biblia na kupotea ghafla baada ya kifo cha yesu..ni sawa na maisha ya Yoseph mme wa mama yake yesu nayo ni kizungu mkuti.
3) alegations kwamba yesu alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na Merry Magdalena na walipata watoto wawili ni za kale even b4 Leonardo who is did put the thing in public via drawings..na inasemekana baada ya kifo chake watoto na familia yake ilitoroshewa ulaya magharibi inasemekana hasa parts za Ireland/UK
 
Hii ni miongoni mwa maada ngumu zilizowahi kupostiwa hapa jamvini,..watu wanajua mengi ingawa hawataki kuyasema.
 
Well argument mchunga kondoo wa bwana,...hata mimi nilikuwa najiuliza amewezaje kuchora picha ambayo ime_draw attention ya ulimwengu as if ni ya kweli wakati hata hakuwepo vizazi na vizazi vimepita,...lazima kuna jambo limejificha nyuma ya huyu jamaa

Hpo ndipo mtu mwenye akili timamu ataanzia kuutafuta ukweli

Kuna vita inaendelea ndugu yangu ya kumpaka matope huyu aliyebadilisha historia ya dunia!
 
Back
Top Bottom