Nadharia kuhusu Kifo Cha TUPAC SHAKUR

mwanaspotiapp

mwanaspotiapp

Senior Member
Joined
Sep 21, 2017
Messages
175
Points
250
mwanaspotiapp

mwanaspotiapp

Senior Member
Joined Sep 21, 2017
175 250
Mwanamuziki wa michano 2pac alifariki baada ya kupigwa risasi tarehe 7/11/1996, Las Vegas USA akiwa na Umri 25.

Sasa toka hapo, kumekuwa na mijadala huku baadhi ya mashabiki na watu wa karibu wakiamini kwamba 2pac, hakufa yupo hai.

Huku baadhi ya mashabiki na watu wakaribu Wanaamini 2pac alifariki.

Wanaamini 2pac yupo hai kutokana na sababu Fulani ambazo Zina uthibitisho ndani yake.

Kuna video ilitolewaga na suge knight, rafiki wa 2pac, ikimwonesha yupo na 2pac na kusema 2pac yupo Cuba.

Pia mwaka Jana mtoto wa suge knight alionyesha video ya 2pac na kusema yupo Malaysia.

Wengine wanaamini 2pac alifake Kifo chake ndomana alitumia jina la Machiaveli, ambapo mwenye jina Hilo alikuwa Nicole Machiaveli ,ambaye nae alisha fake kifo chake na ukilichanganua jina hilo Lina maana " Am a live". Lakini kuna nadharia ambayo inasema kuwa 2pac alikufa kweli, na walitaka kumclone /copy lakini ilishindikana kwasababu Kifo chake kilikuwa hadharani.

Kwasababu hiyo, walitengeneza propaganda zaku aminisha watu kuwa yupo hai, kwa kutengeneza video na picha, na kuwatumia watu wa karibu na 2pac kusambaza video hizo, ili iwe rahisi kwa watu kuamini na kuwa attention na jambo hilo.

Hivyo ikitokea siku wakafanikisha lengo lao la kumludisha watu wasiwe na hoja kwasababu tayari walisha aminishwa .

Na hii plan inasemekana ilitengenezwa toka kipindi anakufa ndomana Mwili wa 2pac haukuzikwa, ulichomwa Moto na majivu yalimwagwa kwenye bustan ya stone mountain Georgia ,kwenye sanamu yake huku mengine yali vutwa Kama sigara na jamaa zake wa kundi la Killuminat.

Ili kufuta uthibitisho ndomana mpaka Leo hii hakuna kaburi la 2pac,ili kusudi watakapo mtengeneza mpya kusiwe na ushahidi wowote wa Kifo chake.
1greaterthinker-20190513-0001-jpeg.1096643
 
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Messages
605
Points
1,000
AsajizzleDaGreat

AsajizzleDaGreat

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2018
605 1,000
Watakua wamechemsha sana ishu ya kumrudisha maana kama alikufa 96 akiwa na 25 yrs, leo hii ni 019 (difference of almost 24 yrs)atapaswa kurudi akiwa na miaka 49.na hii bi kama atarudishw mwaka huu 2019.Sasa hapo cjui lengo lao itakua nn maana vijana ambao walikua bado machalii enz za peak yake mfano p.didy ni kama wameshaupa kisogo muzik kinamna flan wanaangalia michongo mingine.
Lengo lao litakua nini mkuu??
 
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2011
Messages
621
Points
1,000
MAKOSHNELI

MAKOSHNELI

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2011
621 1,000
Mwanamuziki wa michano 2pac alifariki baada ya kupigwa risasi tarehe 7/11/1996, Las Vegas USA akiwa na Umri 25.

Sasa toka hapo, kumekuwa na mijadala huku baadhi ya mashabiki na watu wa karibu wakiamini kwamba 2pac, hakufa yupo hai.

Huku baadhi ya mashabiki na watu wakaribu Wanaamini 2pac alifariki.

Wanaamini 2pac yupo hai kutokana na sababu Fulani ambazo Zina uthibitisho ndani yake.

Kuna video ilitolewaga na suge knight, rafiki wa 2pac, ikimwonesha yupo na 2pac na kusema 2pac yupo Cuba.

Pia mwaka Jana mtoto wa suge knight alionyesha video ya 2pac na kusema yupo Malaysia.

Wengine wanaamini 2pac alifake Kifo chake ndomana alitumia jina la Machiaveli, ambapo mwenye jina Hilo alikuwa Nicole Machiaveli ,ambaye nae alisha fake kifo chake na ukilichanganua jina hilo Lina maana " Am a live". Lakini kuna nadharia ambayo inasema kuwa 2pac alikufa kweli, na walitaka kumclone /copy lakini ilishindikana kwasababu Kifo chake kilikuwa hadharani.

Kwasababu hiyo, walitengeneza propaganda zaku aminisha watu kuwa yupo hai, kwa kutengeneza video na picha, na kuwatumia watu wa karibu na 2pac kusambaza video hizo, ili iwe rahisi kwa watu kuamini na kuwa attention na jambo hilo.

Hivyo ikitokea siku wakafanikisha lengo lao la kumludisha watu wasiwe na hoja kwasababu tayari walisha aminishwa .

Na hii plan inasemekana ilitengenezwa toka kipindi anakufa ndomana Mwili wa 2pac haukuzikwa, ulichomwa Moto na majivu yalimwagwa kwenye bustan ya stone mountain Georgia ,kwenye sanamu yake huku mengine yali vutwa Kama sigara na jamaa zake wa kundi la Killuminat.

Ili kufuta uthibitisho ndomana mpaka Leo hii hakuna kaburi la 2pac,ili kusudi watakapo mtengeneza mpya kusiwe na ushahidi wowote wa Kifo chake.View attachment 1096643
HAKUNA NADHARIA TENA,mwaka huu Mjomba wa Muuwaji wa Tupac KEEFE D,amekiri chini ya immunity (KINGA ya kutokushitakiwa) kuwa mpwa wake Orlando Anderson ndiye fyatua risasi na kumuua Tupac siku ile ya pambano la Tyson!,anadai walikuwa wanne katika lile gari lililofanya mashambulizi kati yao 4,mpwa wake Orlando Anderson ndio alifyatua zile risasi,na miaka miwili baadaye naye Orlando aliuwawa kwa risasi pamoja na wenzake wawili waliokuwepo kwenye yale mauwaji,Keefe D yuko hai mpaka leo,kuna interview imetoka mwezi huu kutoka kwa DJ VLADTV link yake ipo chini hapa nimeweka kahojiwa MOB JAMES walinzi wamwanzo wa Suge Knight na Dealth Row kasimulia karibu kila kitu iangalie kwa makini ina masaa mawili then utapata ukweli woote
Sad enough nikwamba ukweli umekuja zaidi ya miaka 23 baada ya kifo cha Tupac na ambapo washirika wengi walisha kufa
Link hii hapa
 
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
1,861
Points
2,000
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
1,861 2,000
Duuuh mi mwenyewe nashangaa kwann mwili wa pac haukuonekana.
 
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
5,143
Points
2,000
Ziroseventytwo

Ziroseventytwo

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
5,143 2,000
Hizi nadharia ni ngumu sana kuzielewa.
Ila yaliyomo, yamo.
 
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
4,087
Points
2,000
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
4,087 2,000
Kuna wakati hao Illuminant wanaandaa skilled secret issues ambazo wanazifanya kwa weledi mkubwa sana ili jamii ije iamini baadaye, na ndiyo maana vifo aina hii huwa vinaleta mkanganyiko kwa baadhi ya watu pale kinapotokea.

Unaweza kuona hata kwa Osama, Gaddafi nk.
 
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
4,364
Points
2,000
popbwinyo

popbwinyo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
4,364 2,000
Mwanamuziki wa michano 2pac alifariki baada ya kupigwa risasi tarehe 7/11/1996, Las Vegas USA akiwa na Umri 25.

Sasa toka hapo, kumekuwa na mijadala huku baadhi ya mashabiki na watu wa karibu wakiamini kwamba 2pac, hakufa yupo hai.

Huku baadhi ya mashabiki na watu wakaribu Wanaamini 2pac alifariki.

Wanaamini 2pac yupo hai kutokana na sababu Fulani ambazo Zina uthibitisho ndani yake.

Kuna video ilitolewaga na suge knight, rafiki wa 2pac, ikimwonesha yupo na 2pac na kusema 2pac yupo Cuba.

Pia mwaka Jana mtoto wa suge knight alionyesha video ya 2pac na kusema yupo Malaysia.

Wengine wanaamini 2pac alifake Kifo chake ndomana alitumia jina la Machiaveli, ambapo mwenye jina Hilo alikuwa Nicole Machiaveli ,ambaye nae alisha fake kifo chake na ukilichanganua jina hilo Lina maana " Am a live". Lakini kuna nadharia ambayo inasema kuwa 2pac alikufa kweli, na walitaka kumclone /copy lakini ilishindikana kwasababu Kifo chake kilikuwa hadharani.

Kwasababu hiyo, walitengeneza propaganda zaku aminisha watu kuwa yupo hai, kwa kutengeneza video na picha, na kuwatumia watu wa karibu na 2pac kusambaza video hizo, ili iwe rahisi kwa watu kuamini na kuwa attention na jambo hilo.

Hivyo ikitokea siku wakafanikisha lengo lao la kumludisha watu wasiwe na hoja kwasababu tayari walisha aminishwa .

Na hii plan inasemekana ilitengenezwa toka kipindi anakufa ndomana Mwili wa 2pac haukuzikwa, ulichomwa Moto na majivu yalimwagwa kwenye bustan ya stone mountain Georgia ,kwenye sanamu yake huku mengine yali vutwa Kama sigara na jamaa zake wa kundi la Killuminat.

Ili kufuta uthibitisho ndomana mpaka Leo hii hakuna kaburi la 2pac,ili kusudi watakapo mtengeneza mpya kusiwe na ushahidi wowote wa Kifo chake.View attachment 1096643
Haya yote ili iweje,
Kwa umuhimu upi ktk lipi hadi iwe hivyo
 
McDonath

McDonath

Member
Joined
Jan 2, 2018
Messages
52
Points
125
McDonath

McDonath

Member
Joined Jan 2, 2018
52 125
We

We unaaminije mkuu alikufa au yupo hai??
 
Forum statistics

Threads 1,295,410
Members 498,303
Posts 31,211,316
Top