k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 977
- 1,110
Kila kitu kimeumbwa katika ulimwengu wake. Dunia tukaayo nayo imo katika ulimwengu wake; kitaalamu ulimwengu huo unaitwa UNIVERSE ambako kuna sayari nyingi lakini zitambulikanazo ni TISA na pia sayari hizo zmezungukwa na nyota(stars) na miezi(Moons) ambazo sayari zinauhusiano nao (Interact).
Katika Dunia kuna ulimwengu ambao unahusisha binadamu, wanyama wa nchi kavu, wanyama wa majini, ardhi, wadudu na ndege.
Vitu hivi SABA vinategemeana(Interact) na ni sawa na idadi ya MABARA SABA yaliyopo Duniani huku utafiti ukionyesha kati ya sayar tisa ni sayari SABA zenye uwezekano wa viumbe hai kuishi ikiwemo na Dunia.
Ndani ya viumbe hai kuna chemebechembe hai ambazo zinafanya kazi ikiwa zipo kuu mbili chembechembe hai (1)nyekundu (2)nyeupe.
Chembechembe hizi zimegawanyika takribani chembechembe hai saba ambazo zinafanya kazi kwa ushirikiano ili kuufanya mwili wa kiumbe hai kuwa na nguvu na imara kama ilivyo kwa viumbe hai vifanyavyo kazi kwa ushirika ili milki zao ziwe imara na zenye nguvu.
Takribani ya viumbe vyote dunia vimegawanyka sehemu saba nazo ni (1) kichwa (2) kifua (3) mikono au miguu ya mbele (4) tumbo (5) kiuno (6) mapaja (7) miguu.
Katika Biblia namba Saba inaonyesha ukamilifu na usahihi (Number seven is the number of Completeness and Perfection both physical and spiritual), kutoka kwa kalenda ya kizamani ya Kiyahudi inayoonesha Adam aliumbwa mnamo 3760 BC (Kabla ya Kristo) mwezi wa saba, na huku vitabu katika Biblia vimegawanyika katika sehemu saba (1)Sheria (2)Unabii (3) Maandiko/Zaburi (4) Injili (5) Waraka mbalimbali (6) Waraka wa Paul (7) Kitabu cha Ufunuo.
Katika Ufunuo 1:3-20, kunaonyeshwa makanisa saba, malaika saba, vinara saba na nyota saba na baragumu saba (tarumbeta saba) huku tarumbeta la mwisho (la saba) litakamilisha wokovu wa kanisa!
Ukiwa mkamulifu hata adui akija kwako kwa njia moja atakimbia kwa njia saba, Ufunuo 28:7 (Show total completeness rejection of your enermy) na ukiwa mwenye dhambi utavamia kwa njia moja utapigwa na kukimbia kwa njia saba, Ufunuo 28:25 (show your total completeness rejected)
NAMBA SABA INAONYESHA UKAMILIFU NA USAHIHI.
Mungu amekuumba kwa ukamilifu na usahihi akitegemea utamtumikia na kumweshimu.
Tchaaoooooo! Tuonane wakati mwingine utakao faaa.