Vipi kuhusu yale maandamano ya kuelekea area 51?

Chinona

Member
Jul 14, 2017
53
44
Kwenye mitandao ya kijamii niliona kua kuna maandamono yaliyo ratibiwa na baadhi ya wananchi wa USA kwenda area 51 kushuudia kama kweli kuna uwepo wa viumbe wa ajabu huko.

Na maandamono hayo yalipangwa kutekelezwa jana tar 20 sept 2019......kwa wajuz wa mambo vp wamefanikiwa au ilikua mikwara tu?

FB_IMG_1569037676252.jpeg


 
Aisèeh tulifanikiwa kufika hilo eneo lakini hatukuona chochote cha ajabu zaidi ya baridi kali tu.
 
Sometimes mataifa makubwa hupenda zua mambo kwa ajili ya attention...

Mambo yao waachieni wenyewe...


Cc: mahondaw
 
Hahahaha hili sakata nalifananisha na lile la Maandamano ya Ukawa
 
Haikuwa inshu serious boos,
Wewe unaenda kuangalia bangi kwenye nyumba ya mtu fulani,
Unampa taarifa kabisa eti tarehe fulani nakuja kukagua bangi ndani kwako, hapo si unaihamisha tu?
Ni sawa na hao ndugu zetu,
eti wanaenda kuangalia area 51 kama mna alien mle ndani.

Huo si ujuha.
 
Kumbe kupotea kwa Kamanda Muroto hapa DODOMA alikuwa huko nahisi aliwatangazia kabisa Mtapigwa mchakae yaan kipigo check mbwa Koko!!!
 
Hivi unaweza kuamini kitu serious Kama hicho kikafanyike sehemu ya ulinzi mkali kwa kutangaza!!! He he he Basi ingekuwa vituko Karne nne zijazo
 
Walitangaziwa kipigo cha Mbwa Koko,wameufyata.
Taifa linalotamba kwa uhuru wa maoni, demokrasia ya kuandamana kwa raia wake na kwingineko, nakadhalika...leo inatishia na kutamba itawapiga bomu la nuklia raia wake watakao ingia AREA51 kukamata UFO( kufichua uwongo unaotengenezwa na viongozi nchi wa nchi yao).
Ni aibu....!!!
 
Back
Top Bottom