Hivi kwanini devil worshippers wengi wana IQ kubwa kuliko Muslims/Christians?

HR 666

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
3,936
2,000
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli?

Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya Kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote Yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto.

Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada.
 
Mgirik

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
12,631
2,000
HAPANA nakataaa kwa herufi kubwa

Angalia ndugu zetu wakristo wao chochote watakachoambiwa wanafata tu

Tena utamkuta prof mzima lakini akawa anafanya mambo ya ajabu kisa kaambiwa na mchungaji wake
Nikweli hata ukiwaangalia waislamu wengi wanaambiwa wabebe mabom na kuua watu ndio watauona ufalme Wa mbingu nao wanakubali, utakuta mwislamu mzima anamchinja mwenzake kisa tu kaambiwa akiua ataenda mbinguni
 
dustless

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
799
1,000
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?

Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto

Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Unajua kanisani ama msikitini si kama shuleni, mara nyingi huwa hakuna kuhoji hoji kama ilivyo darasani.

Kiongozi wa dini kapewa mamlaka makubwa sana ya kujenga hoja na waumini kufuata bila kuhoji kwa sababu tu za kiimani hata kama wapo wanaotambua ukweli zaidi hicho kinachohubiriwa.

Tuchukulie mfano mdogo, wewe unaweza kuwa baba wa familia fulani inayokuheshimu kabisa na kukupigia magoti.

Lakini watu wa nje kama sisi tunakuona ni chizi kabisa tena tahira mkubwa mtaani. Ila hiyo haikubadilishii heshima kwenye familia yako unayoingoza.
Ni hayo tu.
 
Silasy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
658
1,000
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?

Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto

Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Inawezekana kabisa ulikuwa unataka ku make senses lkn mifano uliyotumia imeku disqualify sasa Kibwetele nae unamuita Mkiristo?maana pure Christian hana imani kama yake nayeye ni purely Devil worshiper maana katika bible yenyewe kuna maandiko yanayosema watatokea watu nyakati za mwisho wakihubiri na kutenda Miujiza kwa jina la Yesu lkn ni Manabii wa uongo na wayatendayo ni kwa niaba ya The devil!
 
CHAPTER5

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
558
500
Mbona unaidhihaki dini ya kikristo tu? Hapo hujawatendea haki si kila atakaye litaja jina la Yesu atauona ufalme wa Mungu.
Pia unatuambia nn kuhusu alqaida vs Muslim, alshabab vs Muslim na ISS vs Muslim .Je ni halali kuuhusisha uislam na makundi haramu ya kigaidi? Mm naona hatuwezi tukafanyaivo bc kama ni ivo hatuwezi tukasema watu wa dini fulani wana IQ ndogo
Watu hushiriki kwenye uovu fulani huku wakitumia mwavuli wa taasisi ilotukuka.
 
Super women 2

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
5,183
2,000
Hivi kwa nini devil worshippers wengi wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kucheza na mind za watu kiasi kwamba wanaweza kukuaminisha uwongo kuwa ukweli ?

Christians wengi wana akili ndogo sana kiasi kwamba wanachoambiwa na viongozi wao wa dini wana fuata bila kuhoji, kwa mfano kesi kama ya kibwetele alipo waambiwa waumini wake wagawe mali zao zote yesu anakuja kuwachukuwa na waumini hawakumbishia matokeo yake aliwafungia na kuwachoma moto

Au kuna juzi juzi tu kuna kiongozi wa dini alikuwa anawanywesha wafuasi wake dettol kama sehemu ya ibada
Yaani ni kwamba wana nguvu ya shetani ndo unawazaga nguvu na kusikiliza na kila muumini. Mawazo yangu tu hayo
 
dustless

JF-Expert Member
Oct 21, 2016
799
1,000
Kingine hebu rudi utuambie hiyo IQ unauoizungumzia ni kwa muktadha upi. Kwa ufahamu wangu hao devil worshippers, wako tayari kumwaga damu za ndugu zao wa karibu even wazazi ili mambo yao ya kiimani yatimie.

Sasa kama mtu anashindwa kutambua thamani ya mwanadamu mwenzie hiyo kweli ndo ubora wa IQ ya mtu.
Njoo utupe criteria za IQ za mtu tupate pa kuanzia mkuu.
 
HR 666

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
3,936
2,000
Kingine hebu rudi utuambie hiyo IQ unauoizungumzia ni kwa muktadha upi. Kwa ufahamu wangu hao devil wako tayari kumwaga damu za ndugu zao wa karibu even wazazi ili mambo yao ya kiimani yatimie. Sasa kama mtu anashindwa kutambua thamani ya mwanadamu mwenzie hiyo kweli ndo ubora wa IQ ya mtu. Njoo utupe criteria za IQ za mtu tupate pa kuanzia mkuu.
sasa si unamtoa kafara mtu ili ufanikiwe mambo yako

Hapo sasa kuna ubaya gani?

Kwa mfano mimi niaidiwe napewa bilioni 100 ili nikutoe kafara kwa nini sasa nisikutoe kafara ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom