Sex, beastiality na miunganiko ya kiroho

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
7,970
6,760
Habari wana jamvi,

Natumai tu wazima na tunaendelea na majukumu mbali mbali. Tupo hapa kujuzana, kukumbushan, na kutilia mkazo kwa yale machache kama sio mengi kadri MUNGU atavyoona yafaaa na nafsi zetu zikishiriki. Kabla sijaenda katika mada ya leo tukumbushane baadhi ya nyuzi kidgo tulizo wahi kujadili humu ukipata wasaa uzipitie labda kuna jambo la kujifunza, kufunguka au kutushirikisha.







Twende sasa kwenye jambo nimeona vema ku share nanyi leo, najua kutoka kwenu nitapata mengine pia.

Sex tuliona ni mlango wa kufikia roho yako, yaani sex inatumika kama channel, link ya kuptisha energy za rohoni, maagano , miunganiko , vifungo hata umiliki wa roho na maisha kiujumla. Kupitia mlango huu, utaweza kuchukua either kuwa kama unae shirikiana naye tendo hilo, au yeye kuwa mjuzi zaid na kuchukua vichache anavyo vitaka kutoka kwako then aka kuacha kapa au kukutumikisha.

Tumeona tuna aina nyingi za ushiriki wa tendo hili, lakini labda nizigawe kama ifuatavyo:

1. Heterosexual, Hii ni natural ambapo Mungu aliiweka hii namna ya ushirikia yaani kwa jinsia mbili tofauti (ME na KE). Ushirikiaji huu, unamatokeo ya burudani na kuzaliana, Ndio lengo kuu la kitendo hiki. Viumbe wengi hufanya kwa ajili ya kuzaliana tu, isipokua specie chache kama binadamu hufanya kama burudani.

2. Homosexual. Hii sii kitu cha asili, ambapo watu wa jinsi moja hushiriki tendo hili kwa starehe tu. Yaani mume kwa mume au mke kwa mke. Hiki kitu sio cha asili, na miongoni mwa vitu vilivyo unganishwa na laana ukifany (unakuwa na tag na laana ya Mungu mwenyewe ukifanya hivi)

Kwanini watu hufanya vitendo hivi vinafichwa nyuma ya hormone sijui manini huko.

Lakini wamesahau mwili wa binadamu unaweza kuwa programed na kutoa vichecheo vyovyote endapo utapewa komandi hiyo na AKILI, MAWAZO, CURIOSITY, ROHO, MAZINGIRA hata na MALEZI. Hakuna uasili wowote katika hili, na hizi agenda zimekuja kwa malengo mengi nisizame sana huko lakini kubwa zaid ni kuweza kukumiliki, endapo utakuwa na laana ya MUNGU mwenyewe ukawa mbali naye, basi rahisi maisha yako, roho yako ita tawaliwa kiurahishi sana, acheni kujidanganya na ishu za mafanikio ya machoni, lazima anaye kumiliki akuinue ili ku encourage wenginie , waone ni kawaida.

WALAWI 18:22 Nawe usilale na mwanamume+ kama vile unavyolala na mwanamke.+ Ni jambo lenye kuchukiza . popote uonapo katazo.

3. Bisexual. Hiki ni kijipengele kingine nimeona vema kukitenga hapa. Yaani mtu anakuwa anashirikia na jinsi zote, either kwa pamoja au nyakati tofauti. Haka kadude kana matokeo kama ya hapo juu kwa pamoja.

Bestiality nakosa neno moja zuri ya kiswahili kulielezea hili, lakini maana yake ni kitendo cha binadamu kushiriki teno la ngono na mnyama. Yaani MWANAUME AU MWANAMKE ASHIRIKI NA MNYAMA.

Kumekuwa na namna nyingi za ushiriki wa ngono wa mtindo huu na imekuwa inaenea sana na kuonekana kama fashion mpya sasa. Utakuta vitendo na wanyama kama Mbwa, Nyoka, Mbuzi, Ngombe, farasi, Punda n.k. Vimekuwa vinashamiri na kuonekana kama ndio swaga.

Kilicho sukuma kuandika hii kitu ni pamoja na kusikiliza ka kipindi cha radio hapa, ambapo huyu muhisika alikuwa anafanya hivi na hawezi kuacha.



Tuone vitabu vinasemaje kidogo

Kutoka 22;19 Mtu yeyote anayelala na mnyama lazima atauawa. Torati 27; 21 Amelaaniwa yule ambaye hulala na mnyama yeyote.+ (Nao watu wote watajibu na kusema, Amina!)

Walawi 18; 22 23 Nawe usimpe mnyama yeyote shahawa+ yako awe asiye safi kutokana nayo, na mwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kuungana naye.+ Ni kuvunja jambo lililo la asili.

Walawi 20;15 15 Na mwanamume akimpa mnyama shahawa yake imtokayo,+ lazima auawe, nanyi mtamuua mnyama huyo. 16 Na mwanamke akimkaribia mnyama yeyote ili kuungana+ naye, mtamuua mwanamke huyo na mnyama huyo. Lazima wauawe. Damu yao wenyewe iko juu yao.

Hizo ni nukuu chache kutoka katika vitabu, natumaia vitabu vingine vyenye kujali asili vimeongelea jambo hili kiuzuri.

WAEFESO 5; 31 Kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye atashikamana na mke wake, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.+ 32 Siri hii takatifu+ ni kubwa. Sasa ninasema kwa habari ya Kristo na kutaniko.+ 33 Hata hivyo, pia, kila mtu mmoja-mmoja kati yenu na ampende hivyo mke wake+ kama vile anavyojipenda mwenyewe; kwa upande mwingine, mke anapaswa kumheshimu+ sana mume wake.

Hasa kifupi ndio hiki yaani ukiwa unakuwa na ushirika na roho au mtu, mnyama unakuwa na muunganiko naye. Sasa wew wataka muunganiko na Mnyama, rohoni ni vurugu, laana, mikosi n.k

Sasa watakiwa kuvunja huu mzigo, maana kuna laaana inatembea hapo, roho flani imeingia, kuna vibes na energy za ovyo zipo humo na utakuta inacheza na hata vizazi vyako.

Maana hizi roho zina alikana zitaita wenzao wa kila aina humo, ushoga ,n.k utashangaa uzao wako ushoga umetoka wapi, kumbe laana za kitambo sana. Haijalishi unashiriki nao vipi, akulambe tu, unaingiza au vyovyote.

Maana sex ya roho si lazima tu uchomeke, ndio maana hata YESU alisema ukitazama kwa jamaa umesha zini naye.

karibu kwa maswali hoja, maulizo n.k Nmechochea tu kwanza
images-103.jpeg
images-105.jpeg
images-104.jpeg
images-106.jpeg
images-107.jpeg
 
Nijuavyo mimi ni kwamba mambo afanyayo mtu nje huakisi utu wake

Sasa sipati picha hii sanamu ya mbuzi kukunjwa kwa kiwango hiki moyo wa huyo mchongaji utakuwaje..?View attachment 1250136
Statue nyingi zilichongwa kwa kuakisi hali ya kiroho ya sehemu, iman, MIUNGU yao, burudani zao, n. K.

Kwa mchongaj na jamiii izungukayo iyo ni sehem ya matendo, so si jambo la kumsisimua ama kumshtua.
 
Mimi nataka kujua nini nifanye kuondoa nuksi ya mwanamke nilie lala nae?
Mana kuna mwanamke nuksi zake zinaniandama mpaka sasa japo ni miaka3 sasa tangu niachane nae.
 
Yes nakubali, sex ni spiritual transmission line ya ishu nyingi ila hua inachukuliwa tu kirahis rahis tu!

Ila Mungu ni wa rehema na huruma sana
 
Back
Top Bottom