simba songea
JF-Expert Member
- Feb 8, 2016
- 1,496
- 1,219
Habari wana jamvi, ni kitambo kidogo hatujaonaa humu jamvini. Nafikiri wotw wazima wa afya. Bila kuwaste timetuanze mada yetu hapo chini.
Mungu alipoumba Dunia aliumba kwa makusudi yake na lengo lake. Kuna baadhi ya vitu aliviwekea mipaka na baadhi aliruhusu, mimi nawe hatujui kama sayansi yetu inaweza kutupeleka mbinguni au peponi bila kufa? Yaaninamaanisha kwa kutumia sayansi za kina isaac newton na wengine wengi.
Peponi au mbinguni kuna uzuri usioweza kufananishwa. Tukifahamu jinsi mbinguni kulivyo kuzuri. kila mmoja wetu atakuwa na shauku ya kufika huko siku moja. Mpendwa msomaji tufatane basi ili upate ufahamu wa kutosha kuhusu mbinguni au peponi au mbingu ya tatu. Kunawimbo mmoja wa kiinjili unaimbwa, "MBINGUNI KUNA MAKAO MAZURI SANA, MBINGUNIKUNA MAKAO MAZURI SANA......." Ebu tutiririke tujua kinachoimbwa.
Mbinguni au peponi ni juu sana ni mbingu ya tatu. Bibli inasema 2wakirinto 12:2-4, "Namjua mtu mmoja katika KRISTO,.....Mtu huyo alinyakulwa mpaka juu mbingu ya tatu. Nami namjua mtu huyo,.....ya kuwa alinyakuliwa mpaka peponi......." Mbingu ya tatu ni wapi? Mbingu ya kwanza ni hii iliyo na maingu yanayoleta mvua. Ni anga hili lililo juu sana ambalo linaonekana kwa macho ya kawaida. Ndege zote zinazobeba abiria uruka katika mbingu ya kwanza
Mbingu ya pili ni mbingu iliyo mbali zaidi yenye sayari na nyota zote. sayari zilizo katika mbingu ya 2 ni pamoja na zebaki zuhura marsmshtani zahali uranus nptune na pluto. Sayari nyingine ziko mbali sana. Kwa mfano, Umbali wa Dunia yetu kutoka katika jua ni maili 93 mil [km 148, 800, 00], lakini umbali wa sayari ya pluto kutoka katika jua ni maili 3, 666 milioni[5900 milioni km]. Nyota ziko nyingi sana zina kisiwa kufika bilioni 400. Nyota ziko mbali sana na Dunia yetu. Nyota iliyo karibu sana na Dunia yetu, iko karbu maili 26 000 bilioni[karibu kilomita 42,000 bilioni]. Sasa baada ya sari zote na nyota hizi, ndiyo tunafika mbingu ya tatu au peponi. Kwa msingi huu ni kilomta mabilioni kwa mabilioni kutoka hapa Duniani ndo tufike mbingu ya tatu au peponi. Yesu Kristo alipopokelewa na mawingu na kupaa kwenda juu mbinguni [MATENDO 1:9-11], alikwenda mbali sana kiasi hiki. HUKO NDIKO waliko watakatifu waliotangulia.
Wapendwa utandawazi unazidi kukua yaani matumizi makuba ya teknolojia yanashika kasi. Athari za utandawazi ni pamoja na wanasayansi kufika mbingu ya tatu/peponi, ikiwa waliweza kufika mbingu ya kwanza na ya pili je ya 3 wataweza? me ngoja niishie hapo nitaleta tena muendelezo wa mada hii;
mbingunikukoje?
mbingun au peponi ni kilometa ngapi kufika?
je, marehemu utumia chombo gani kufika mbinguni?
mada zote hapo nitaziletea muendelezo kidogo kidogo ka kutumia ;BIBLIA TAKATIFU;