Mshana Jr na wenzake

Mshana Jr na wenzake

Kichenza

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2018
Posts
222
Reaction score
243
Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims,kenzy,deadboy, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
 
Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..
hahaaa ila umewaza mbali kweli.. yawezekana hao uliowataja ni maliasili/tunu za taifa sema serikali haijawatambua
Btw nategemea kuona mengi siku hiyo toka kwa lifecoded
 
Write your reply... huyo jamaa rakims nilifuatilia mada zake full mapicha ya kutisha
 
Hawawezi kufanya lolote maana mawazo yao mengi wanayotoa hapa ni mawazo ya watu ambayo wao wanafanya kusoma tu kwenye vitabu tofauti na kisha kuwasilisha hapa kwa wasiopenda kujisomea. Hapo itakuwa ni umbea tu kwendea mbele
 
Back
Top Bottom