Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 61,643
- 74,512
Salam Wakuu !
Marais karibu Dunia nzima wana ADC wao kila wanapokwenda nadhani ni kutokana na umuhimu kwa Cheo cha Rais.
Naomba ikiwa mtu anajua kwa undani hii tofauti mfano ni Rais wetu hapa Tanzania muda wote awapo na MPAMBE(ADC) wake huwa amevaa Kijeshi .
Mfano mwingine ni baadhi ya Nchi ambazo Wapambe wa Marais ni mara chache sana kuwaona wakiwa wamevaa kijeshi.
Napenda nitaje baadhi ya nchi chache tu kama mfano US,Ufaransa,Canada na Urusi hawa huwa mara nyingi wamevaa suti nadhifu tena wakati mwingine za kufanana mpaka kushindwa kumjua Mpambe wa Rais ni yupi?
Rais Obama alipokuja hapa Tanzania Mpambe wake alikuwa amevaa Kijeshi kama anavyovaa Mpambe wa Rais wetu hapa.
Lakini Mpambe huyo huyo akiwa ama kwao US ama pia baadhi ya Nchi kama ziarani mfano China,Urusi na Mataifa kadha wa kadhaa huwa havai kijeshi kama alivyokuja Tanzania.
Huyu Mpambe wa Rais wetu wa Tanzania mara nyingi yupo kwenye sare za Kijeshi hakuna muda tumemuona akiwa kwenye suti na aina nyingine ya mavazi awapo sambamba na Rais.
Hii ni nini tofauti yake?