Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Mahusiano yetu na Mungu yanaimarika kwa sala na mahusiano yetu na Mungu yanakatika kwa uvivu wa sala Hakuna kitu muhimu kwa binadamu kama sala au maombi kwa Mungu mkuu Shetani ana majina mengi...
10 Reactions
68 Replies
11K Views
Je Karma ni kitu halisi kinachotenda kazi? Kama karma ipo kwa nini watu wadhulumaji na watesaji wanaosababisha tabu, mateso na adha kwa wengine iwe katika siasa, dini,kazi,biashara n.k huwa...
7 Reactions
60 Replies
10K Views
Naomba elimu hapa, je snipers ni lazima awe na mafunzo ya ukomando? Au kila komando lazima awe ni sniper? Au sniper Ni taaluma nyingine na ukomando Ni taaluma nyingine? Elimu tafadhari.
10 Reactions
94 Replies
15K Views
Hapo ndipo dunia ilipo ikilinganishwa na jua. Na hapa ndio tulipo kama ukiwa umesimama kwenye sayari ya MARS Naam na huu ndio muonekano wetu ukiwa katika sayari ya NEPTUNE Na huu ndio ukubwa wa...
34 Reactions
136 Replies
26K Views
Wote tunatambua kuwa Nyota ni kubwa. Maradufu ya dunia, swali langu ni itakuwa vipi siku Nyota ikikosa uelekeo na kuja upande wetu? Je, ikiwa inaanguka itakuwa ikiteketea kama kimondo? Na kuna...
2 Reactions
84 Replies
15K Views
Heko kwenu wadau wa kudadisi, Nimekuwa nikisoma biblia mara nyingi sana maana ni chakula changu kizuri sana, Hivi karibuni katika kusoma nikatafakari sana kuhusu kitabu cha zaburi hasa katika...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Ndoto hutengenezwa na Mungu kama vile tamthilia ndiyo maana unaweza kuota ndani ya usiku moja matukio yote ukiwa darasa la kwanza na umbo na umri ukiwa mdogo, ukafaulu na kuingia sekondari umbo na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Vitabu mbalimbali vya kirusi vinaelezea kuwa muisraeli asilia ni mtu mweusi, Vitabu hivi vinaambatanisha na picha za manabii mbalimbali wanaotajwa katika dini ya Kikristo na katika historia ya...
14 Reactions
102 Replies
11K Views
Yaonyesha tunatoka chini kwenda juu ni mabadiliko ya mwanadamu ktk ugunduzi Toka kwenye ugunduzi wa moto mpaka umeme,matumizi ya mawe mpaka chuma,ugunduzi wa mambo ya anga sayari n.k,toka...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi, Binafsi nimekuwa nikiwaona wazazi wengi wakiwachapa bakora watoto wao kama njia ya kuwatia nidhamu na nimekuwa nikisikitishwa sana na hii tabia kwani binafsi siamini kama...
3 Reactions
92 Replies
7K Views
Hello wanajamvi, nimekuwa mfuatiliaji na mchangiaji mkubwa wa makala nyingi zinazoletwa na wanajamii forums hasa katika topics za kuhusu Mungu, uumbaji, dini na kadhalika. Kumekuwa na michango...
5 Reactions
155 Replies
19K Views
Huu ni mpango wa maelite wa Dunia wa siku nyingi sana kuunganisha Dunia nzima chini ya utawala wa wachache yaani itaitwa One World Government na ndiyo hasa lengo la kuanzisha Umoja wa Mataifa UN...
1 Reactions
54 Replies
8K Views
I have been asking myself for quite a longtime what is time?.....but I have not got a satisfactory answer....... all the answerd I have got I don't understand them.....time is an interval between...
3 Reactions
82 Replies
11K Views
NB: PLEASE USIIBE MAKALA YOYOTE YA INFANTRY SOLDIER KATIKA MITANDAO YA FACEBOOK PAMOJA NA WHATSAPP KIFO CHA GENERAL QASEM SOLEIMAN NI MPANGO WA DONALD JOHN TRUMP KUJIKINGA NA MCHAKATO WA KUPIGIWA...
8 Reactions
16 Replies
4K Views
Since it is said that Intelligency is inherited from one trait to another, well do you guys think a genius can be made through his or her environment?
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Uwezo wa Ubongo wa Binadamu katika kuhifadhi kumbukumbu ukubwa wake ni 2.5 pentabytes UKUBWA HUU NI SAWA na KUREKODI VIPINDI VYA TELEVISHENI KWA ZAIDI YA MIAKA 300, hapa namaanisha ni sawa na wewe...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Hi Guys! Wengi tunamfahamu Albert Einstein kwamba alikuwa scientist na hakuishia kuwa scientist tu pia alikuwa ni genius na smart sana. Alifanya mambo makubwa katika field yake na aligundua...
14 Reactions
123 Replies
22K Views
1. Miaka mingi imepita bado waafrika tunapambana na mambo madogo...kuthibitisha Yesu alikuwa Mwafrika 2. Miaka mingi imepita bado waafrika tunapambana kuthibitisha Waisraeli wa asili ni Weusi 3...
38 Reactions
66 Replies
8K Views
Naamini mko poa,kumekuwa na juhudi za mataifa mengi yaliyoendelea kisayansi na kiteknolojia za kuchunguza na kufatilia mambo ya anga za mbali ili pamoja na mambo mengine,lakini kubwa kuliko yote...
3 Reactions
85 Replies
14K Views
Katika pitapita zangu kwenye forums fulani hivi nimekutana na hii Je, ni kweli ni kubwa zaidi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom