Ni mtazamo
Uvutaji wa bangi si jambo geni vijana wengi wanavuta au wameshawahi kuvuta ukiachia mbali madhara ambayo watu wa afya wanasema yanaletwa na bangi (mengi si kweli) kama ulishawah...
Wakuu, heshima kwenu. Naleta kwenu mjadala huu unaohusu mpango wa Mungu kwa ukomo wa sayari dunia ambao kuna watu wamekuwa wakisema kuwa, Mungu kaipangia Dunia miaka 6000. Wanaodai hivyo wamekuwa...
Wengi tunafahamu au tunasikia kwamba wanyama wanaongozwa na hisia.
Kando na wanyama, utasikia watu wakisema, fulani hana akili au ana hisia kali.
Utaona hata hivyo, kwamba vitu hivi viwili yaani...
Markov aliwahi kuandika novel moja aliyoiita kama 'The great roof' pamoja na jina la 'a symbol of the roof of lies' akimaanisha ya kwamba utawala wa serikali ya Bulgaria umejengeka katika misingi...
Adam&Eve..
Wanadamu wa kwanza kutia nyayo zao ktk uso wa Dunia na kutengeneza vizazi na Vizazi kutoka nyakati ambazo ni ngumu Hata kujua ilikua ni mwaka gani!
Bado ni ngumu hata ukiweka katika...
1) There is a certain aura of natural decency in the way they carry themselves. They have an inbuilt courtesy mannerism that makes it difficult for them to ever look down on you even if they are...
Habari wapendwa poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale. Naomba wataalamu wa mambo mnisadie hivi kama kuna kitu kilipotea na ghafla kikapatikana ndani kwangu lakini nisikishike kwa mikono yangu na...
JF inatambulika kwa uhuru wake wa maoni ambao wachangiaji mbalimbali hutoa. Hilo limekuwa wezeshi kutokana na uwepo wa utambulishi pacha(ID fake).
Pia mmiliki-mwenza wa JF amejitahidi sana kulinda...
KUZALIWA MARA YA PILI NA KUKUMBUKA HISTORIA YAKO YOTE YA NYUMA
Tukubali tukatae ila duniani kuna mengi sana yaliyofichwa ambayo katika ulimwengu wa macho ya kawaida huwa hayaonekani kabisa.Wengi...
Wasaalam wajumbe.
Nakumbuka kipindi nipo mdogo miaka ya mwishoni ya 80's na mwanzoni mwa 90's ulikuwa ukiangalia angani unakuta nyota zimetanda kwa wingi angani but nowadays ukiangalia angani...
Marekani ndilo taifa linaloongoza kiuchumi na kijeshi duniani,lakini kuongoza kwake kunategemea washirika Israel na Ulaya,
Israel wanategemewa ktk teknolojia ya uundwaji wa silaha Kali Kali na...
Leo tarehe 13 Agosti, ni siku ya kimataifa kwa watu wanaotumia mkono wa kushoto duniani. Japokuwa hakuna taarifa za kutosha juu ya lini hasa siku hii imeanza kutambuliwa, lakini bwana
Dean R...
Ofisi za umma/serikali zinatumia OPras kama kipimo cha utendaji kazi ambapo mtumishi anakubaliana na kiongozi wake majukumu atakayotekeleza jambo ambalo ni zuri, mtumishi anaetekeleza majukumu...
Umewasha wahi kuona kwenye movie .Timu ya SWAT au kikosi chochote cha kijeshi inapovamia kwenye nyumba ya kikundi cha wahalifu. Afisa mmoja hutupa kitu ndani ya chumba, na hulipuka kinatoa...
Habari zenu wakuu,
Kuna wale ambao hawaamini uwepo wa Mungu wala wa shetani (atheist).
Naombeni mtujuze pale mazingaombwe yanapofanyika
( mfano ya kumpasua mtu tumbo au kumtenganisha kichwa na...
GazProm, (GAZovaya PROMyshlennost) au Gas Industry ndio kampuni kubwa kuliko zote duniani katika uzalishaji na uuzaji wa mafuta na gesi. Utajiri wa gazprom unakadiriwa kuwa Dola billion 106, sawa...
Japo Rais Trump amesema mlipuko wa Beirut ni kitu maalum kilichopangwa lakini waLebanoni wenyewe wanaamini imetokana na shehena ifikayo tani za ujazo 2750 za Ammonia nitrate iliyotaifishwa tangu...
Umbo la mwezi hubadilika na hata rangi yake, lakini tangu jadi binadamu amekuwa akivutiwa na maumbile yake. Kuna Mwezi Mpevu, Mwezi Mwandamo, Hilali na hata wakati mwezi hupatwa na jua.
Hapa...
Saikolojia: Fahamu tatizo sugu la wasiwasi (Anxiety disorder).
Imenisukuma wakati huu kuandika kwa ajili ya makala hii kuhusiana na somo la Hofu au uoga kupitiliza na wasiwasi kutokana tatizo...
Ni mara ngapi huwa unasifia Juhudi na hatua ulizopiga katika harakati zako za kila siku? Au na wewe una ile tabia ya kushabikia Mafanikio ya mtu mwingine huku ukidharau mafanikio yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.