Kung'atuka kwa Nyerere kulisababishwa na Anguko la Urusi?

Gwala kwa wana JF wote ,baada ya haya yote tukumbuke ya kuwa siku ya uchaguzi ni siku ya kufanya maamuzi sahihi (100% precise decision).

Tuchimbe kidogo kuhusu swala la Mwl Julius K. Nyerere nalo ni maamuzi yake ya kustaafu na kuachia madaraka kwa watu wengine (Kung'atuka). Je sababu ilikuwa ni kwamba aliona ilikuwa ni mda sahihi wa Tanzania kuwa na mabadiliko ya kitabia ya demokrasia? au kuna ajenda iliyojificha nyuma ya pazia?.

Turudi nyuma kidogo kabla Tanzania (kipindi icho ikijulikana kama Tanganyika) haijapata uhuru, nchi ya urusi ilikuwa na nguvu kubwa mno kabla U.S.S.R haijavunjwa na wao walikuwa tayari kuzisaidia nchi za Afrika kupata uhuru ikiwa tu wangekubali kuwa na Ujamaa. Kwa upande wa pili marekani ya kaskazini maarufu kama U.S.A wao walikuwa mstari wa mbele kuu "promote" ubepari (Capitalism) na ofa kwa nchi ambayo ingekubali kuutumia ubepari ilikuwa ni kupewa msaada wa hali na mali pamoja na kuisaidia kupata uhuru kutoka kwa wakoloni (Colonising Nations) , hapa naomba ieleweke kwamba U.S.A haikuwahi kuwa na koloni lolote ulimwenguni ila la kushangaza ni kwamba waliwahi kuwa chini ya "Super Tiger economic Country" ambayo ni Uingereza.

Tanganyika chini wapigania amani wa kipindi icho walipanga mikakati ya jinsi ya kupata uhuru tangia kipindi cha mjerumanj, lakini bahati haikuwa yetu kwani Germany walikuwa na armes forces za kutosha, hii ilipelekea kunyongwa ,kuchomwa visu na kupiga risasi kwa watu wengi wa Tanganyika. Kwa kiasi fulani morali ulishuka.

Baada ya vita ya kwanza kupiganwa (1914-1918) Ujerumani iliamuliwa kulipa fidia kwenye nchi ambazo zilipata maswahibu ya vita lakini pigo la mwisho lililowatia kitanzi ni kupokwa makoloni yake huku Africa kama Mali,Togo na Tanganyika, baadaye hayo makoloni akapewa muingereza lakini kwa wakati huu Tanganyika hatukuwa koloni bali tulikuwa chini ya Trusteeship yaani si kwamba tulikiwa fully independent wala kuwa hoarsely colonized. Issue ilikuwa ni kwamba tulikuwa chini ya Uingereza tukipewa muda wa kujiangalizia na kama tungekuwa tayari kujitawala basi hawa ma 'Britons' wangetupatia uhuru na kuondoka ingawa kiuhalisia ni kwamba walishanogewa na asali (mali+ardhi+cheap labor n.k) kuondoka kwao ingekuwa ngumu.

Lakini chini ya Mwl JK Nyerere hatimaye alifanikiwa kufika umoja wa mataifa na kutoa speech akielezea jinsi ambavyo tulikuwa tayari kujitawala, kwa kinyonge Uingereza ikakubali kuiachia nchi yetu kutokana na shinikizo zito la umoja wa mataifa. Hatimaye mwaka 1961 tukapata uhuru na hatimaye Tar 26-4- 1964 tukaungana na Zanzibar na kuitwa Tanzania.

Baada ya uhuru kupatikana mwalimu Nyerere akaegemea Ujamaa(Socialism) falsafa ya U.S.S.R yani tukawa tunafanya mambo kijamaa ,mambo ya kuwa na duka la ushirika na mengine mengi, kwa bahati ujamaa ulionekana kukosolewa na Bw Kambona aiyekuwa rafiki na mtu mwenye wadhfa kipindi icho, upingani wake ulisiginwa kama cigar na mwisho ukapotelea kusiko julikana.

Mtegemea cha ndugu ufa masikini ,baada ya miaka michache ya kuvuna misaada kutoka U.S.S.R baadaye ikavunjika na kupoyeza nguvu , nchi individually zikawa hazina tena mabavu ya kuendelea kusaidia nchi za Afrika zilizokuwa zikisgikilia Ujamaa ikiwemo Tanganyika, hatimaye yakatufika hapa (😓😓😓) .

ITAENDELEA

Nyerere aling'atuka mwaka 1985 wakati Urusi bado iko kwenye kilele cha maguvu ya supapawa kwenye vita baridi.
 
Hakuna uhusiano wowote katika kung'atuka uongozi Mwalimu na anguko la USSR.
San sana kilichomtikisa Mwalimu ni hali ya uchumi miaka ya mwanzoni mwa 80's.
Kwa taarifa yako Mwalimu alikuwa karibu zaidi na China hata kuliko Urusi katika mambo mengi sana.
USSR ilikuwa haina mmiradi au vituo vyovyote hapa nchini.
 
Kabisa. Hivi Nyerere alishawahi kwenda ziara rasmi Urusi?

NB: Jidu La Mabambasi wewe ndie yule almaruf au hili ni jina tu la mtandaoni?
 
Ha ha ha
Mkuu Jidu la Mabambasi ni jina nililolipenda hapa mtandaoni.
Sina kumbukumbu ya Mwalimu kwenda Urusi kwa ziara yoyote ya kiserikali.
Na hakuna kiongozi yeyote wa Kirusi ambaye amewahi kuitembeea Tanzania ingawaje uhusiano ni mzuri tu.
 
Pana mwanasiasa zamani akiwa ni mashuhuri, alijulikana kwa jina hilo.

Palikuwa na madai mahali kwamba Nyerere hakuwahi kwenda Urusi.
 
Gwala kwa wana JF wote ,baada ya haya yote tukumbuke ya kuwa siku ya uchaguzi ni siku ya kufanya maamuzi sahihi (100% precise decision).

Tuchimbe kidogo kuhusu swala la Mwl Julius K. Nyerere nalo ni maamuzi yake ya kustaafu na kuachia madaraka kwa watu wengine (Kung'atuka). Je sababu ilikuwa ni kwamba aliona ilikuwa ni mda sahihi wa Tanzania kuwa na mabadiliko ya kitabia ya demokrasia? au kuna ajenda iliyojificha nyuma ya pazia?.

Turudi nyuma kidogo kabla Tanzania (kipindi icho ikijulikana kama Tanganyika) haijapata uhuru, nchi ya urusi ilikuwa na nguvu kubwa mno kabla U.S.S.R haijavunjwa na wao walikuwa tayari kuzisaidia nchi za Afrika kupata uhuru ikiwa tu wangekubali kuwa na Ujamaa. Kwa upande wa pili marekani ya kaskazini maarufu kama U.S.A wao walikuwa mstari wa mbele kuu "promote" ubepari (Capitalism) na ofa kwa nchi ambayo ingekubali kuutumia ubepari ilikuwa ni kupewa msaada wa hali na mali pamoja na kuisaidia kupata uhuru kutoka kwa wakoloni (Colonising Nations) , hapa naomba ieleweke kwamba U.S.A haikuwahi kuwa na koloni lolote ulimwenguni ila la kushangaza ni kwamba waliwahi kuwa chini ya "Super Tiger economic Country" ambayo ni Uingereza.

Tanganyika chini wapigania amani wa kipindi icho walipanga mikakati ya jinsi ya kupata uhuru tangia kipindi cha mjerumanj, lakini bahati haikuwa yetu kwani Germany walikuwa na armes forces za kutosha, hii ilipelekea kunyongwa ,kuchomwa visu na kupiga risasi kwa watu wengi wa Tanganyika. Kwa kiasi fulani morali ulishuka.

Baada ya vita ya kwanza kupiganwa (1914-1918) Ujerumani iliamuliwa kulipa fidia kwenye nchi ambazo zilipata maswahibu ya vita lakini pigo la mwisho lililowatia kitanzi ni kupokwa makoloni yake huku Africa kama Mali,Togo na Tanganyika, baadaye hayo makoloni akapewa muingereza lakini kwa wakati huu Tanganyika hatukuwa koloni bali tulikuwa chini ya Trusteeship yaani si kwamba tulikiwa fully independent wala kuwa hoarsely colonized. Issue ilikuwa ni kwamba tulikuwa chini ya Uingereza tukipewa muda wa kujiangalizia na kama tungekuwa tayari kujitawala basi hawa ma 'Britons' wangetupatia uhuru na kuondoka ingawa kiuhalisia ni kwamba walishanogewa na asali (mali+ardhi+cheap labor n.k) kuondoka kwao ingekuwa ngumu.

Lakini chini ya Mwl JK Nyerere hatimaye alifanikiwa kufika umoja wa mataifa na kutoa speech akielezea jinsi ambavyo tulikuwa tayari kujitawala, kwa kinyonge Uingereza ikakubali kuiachia nchi yetu kutokana na shinikizo zito la umoja wa mataifa. Hatimaye mwaka 1961 tukapata uhuru na hatimaye Tar 26-4- 1964 tukaungana na Zanzibar na kuitwa Tanzania.

Baada ya uhuru kupatikana mwalimu Nyerere akaegemea Ujamaa(Socialism) falsafa ya U.S.S.R yani tukawa tunafanya mambo kijamaa ,mambo ya kuwa na duka la ushirika na mengine mengi, kwa bahati ujamaa ulionekana kukosolewa na Bw Kambona aiyekuwa rafiki na mtu mwenye wadhfa kipindi icho, upingani wake ulisiginwa kama cigar na mwisho ukapotelea kusiko julikana.

Mtegemea cha ndugu ufa masikini ,baada ya miaka michache ya kuvuna misaada kutoka U.S.S.R baadaye ikavunjika na kupoyeza nguvu , nchi individually zikawa hazina tena mabavu ya kuendelea kusaidia nchi za Afrika zilizokuwa zikisgikilia Ujamaa ikiwemo Tanganyika, hatimaye yakatufika hapa (😓😓😓) .

ITAENDELEA
Rafiki yake na Mwalimu J.K. Nyerere ndugu Nicolae Ceaușescu Rais wa Romani aliuwawa punde baada ya kuanguka kwa USSR na sera zao za ujamaa.

Baada ya mke (Elena Ceaușescu ) kuona mumewe amehukumiwa kunyongwa, na yeye pia akaomba auawe pamoja naye kwa maana walikuwa wanapendana sana.

After being tried and convicted of economic sabotage and genocide, they were immediately executed by firing squad.

Nipo ninaandaa hii makala. Nitaiweka kule Jamii Intelligence.
 
Gwala kwa wana JF wote ,baada ya haya yote tukumbuke ya kuwa siku ya uchaguzi ni siku ya kufanya maamuzi sahihi (100% precise decision).

Tuchimbe kidogo kuhusu swala la Mwl Julius K. Nyerere nalo ni maamuzi yake ya kustaafu na kuachia madaraka kwa watu wengine (Kung'atuka). Je sababu ilikuwa ni kwamba aliona ilikuwa ni mda sahihi wa Tanzania kuwa na mabadiliko ya kitabia ya demokrasia? au kuna ajenda iliyojificha nyuma ya pazia?.

Turudi nyuma kidogo kabla Tanzania (kipindi icho ikijulikana kama Tanganyika) haijapata uhuru, nchi ya urusi ilikuwa na nguvu kubwa mno kabla U.S.S.R haijavunjwa na wao walikuwa tayari kuzisaidia nchi za Afrika kupata uhuru ikiwa tu wangekubali kuwa na Ujamaa. Kwa upande wa pili marekani ya kaskazini maarufu kama U.S.A wao walikuwa mstari wa mbele kuu "promote" ubepari (Capitalism) na ofa kwa nchi ambayo ingekubali kuutumia ubepari ilikuwa ni kupewa msaada wa hali na mali pamoja na kuisaidia kupata uhuru kutoka kwa wakoloni (Colonising Nations) , hapa naomba ieleweke kwamba U.S.A haikuwahi kuwa na koloni lolote ulimwenguni ila la kushangaza ni kwamba waliwahi kuwa chini ya "Super Tiger economic Country" ambayo ni Uingereza.

Tanganyika chini wapigania amani wa kipindi icho walipanga mikakati ya jinsi ya kupata uhuru tangia kipindi cha mjerumanj, lakini bahati haikuwa yetu kwani Germany walikuwa na armes forces za kutosha, hii ilipelekea kunyongwa ,kuchomwa visu na kupiga risasi kwa watu wengi wa Tanganyika. Kwa kiasi fulani morali ulishuka.

Baada ya vita ya kwanza kupiganwa (1914-1918) Ujerumani iliamuliwa kulipa fidia kwenye nchi ambazo zilipata maswahibu ya vita lakini pigo la mwisho lililowatia kitanzi ni kupokwa makoloni yake huku Africa kama Mali,Togo na Tanganyika, baadaye hayo makoloni akapewa muingereza lakini kwa wakati huu Tanganyika hatukuwa koloni bali tulikuwa chini ya Trusteeship yaani si kwamba tulikiwa fully independent wala kuwa hoarsely colonized. Issue ilikuwa ni kwamba tulikuwa chini ya Uingereza tukipewa muda wa kujiangalizia na kama tungekuwa tayari kujitawala basi hawa ma 'Britons' wangetupatia uhuru na kuondoka ingawa kiuhalisia ni kwamba walishanogewa na asali (mali+ardhi+cheap labor n.k) kuondoka kwao ingekuwa ngumu.

Lakini chini ya Mwl JK Nyerere hatimaye alifanikiwa kufika umoja wa mataifa na kutoa speech akielezea jinsi ambavyo tulikuwa tayari kujitawala, kwa kinyonge Uingereza ikakubali kuiachia nchi yetu kutokana na shinikizo zito la umoja wa mataifa. Hatimaye mwaka 1961 tukapata uhuru na hatimaye Tar 26-4- 1964 tukaungana na Zanzibar na kuitwa Tanzania.

Baada ya uhuru kupatikana mwalimu Nyerere akaegemea Ujamaa(Socialism) falsafa ya U.S.S.R yani tukawa tunafanya mambo kijamaa ,mambo ya kuwa na duka la ushirika na mengine mengi, kwa bahati ujamaa ulionekana kukosolewa na Bw Kambona aiyekuwa rafiki na mtu mwenye wadhfa kipindi icho, upingani wake ulisiginwa kama cigar na mwisho ukapotelea kusiko julikana.

Mtegemea cha ndugu ufa masikini ,baada ya miaka michache ya kuvuna misaada kutoka U.S.S.R baadaye ikavunjika na kupoyeza nguvu , nchi individually zikawa hazina tena mabavu ya kuendelea kusaidia nchi za Afrika zilizokuwa zikisgikilia Ujamaa ikiwemo Tanganyika, hatimaye yakatufika hapa (😓😓😓) .

ITAENDELEA
Mkuu, soma pia thread hapo chini utajifunza kitu cha muhimu sana.

The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru.
 
Nyerere aling'atuka kutokana na hali tete ya uchumi hapa nchini, sera za ujamaa zilikua zimefeli vibaya mno kabla hata ya USSR kuanguka.

Watanzania walikua wamechoka hoi, mbaya zaidi wengi walikua hata hawajui jinsi walivyo na hali mbaya kutokana na propaganda za utawala wa mwalimu, waliaminishwa Tanzania ndio kisiwa cha amani Afrika nzima, waliimbishwa nyimbo za kumsifu mwalimu na chama chake kuwa waliwaletea ukombozi.

Mzee Mwinyi ndiye aliyeanza kuwafuta tongotongo wananchi, wakaanza kuona jinsi nchi yetu ilivyokuwa kapuku na maisha yao yalivyokuwa ya duni.

Tumshukuru mzee Mwinyi kwa kuliua azimio la hovyo la Arusha na kutuletea azimio la Zanzibar lililo umaliza ujinga unaitwa ujamaa na kufungua masoko ya nchi yetu.

Cha kushangaza mpaka leo kuna watu wako kwenye denial, bado wanajiita wajamaa, hususani CCM na ACT 😂
 
Nyerere aling'atuka kutokana na hali tete ya uchumi hapa nchini, sera za ujamaa zilikua zimefeli vibaya mno kabla hata ya USSR kuanguka.

Watanzania walikua wamechoka hoi, mbaya zaidi wengi walikua hata hawajui jinsi walivyo na hali mbaya kutokana na propaganda za utawala wa mwalimu, waliaminishwa Tanzania ndio kisiwa cha amani Afrika nzima, waliimbishwa nyimbo za kumsifu mwalimu na chama chake kuwa waliwaletea ukombozi.

Mzee Mwinyi ndiye aliyeanza kuwafuta tongotongo wananchi, wakaanza kuona jinsi nchi yetu ilivyokuwa kapuku na maisha yao yalivyokuwa ya duni.

Tumshukuru mzee Mwinyi kwa kuliua azimio la hovyo la Arusha na kutuletea azimio la Zanzibar lililo umaliza ujinga unaitwa ujamaa na kufungua masoko ya nchi yetu.

Cha kushangaza mpaka leo kuna watu wako kwenye denial, bado wanajiita wajamaa, hususani CCM na ACT
Hii kitu japo nia yake ni nzuri...lakini imetuchelewesha sana....its application is almost au tuseme ni impossible sijui...inapendeza kukaa kwenye karatasi vilevile lakini siyo kuipractice kwa kweli.

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna uhusiano wowote katika kung'atuka uongozi Mwalimu na anguko la USSR.
San sana kilichomtikisa Mwalimu ni hali ya uchumi miaka ya mwanzoni mwa 80's.
Kwa taarifa yako Mwalimu alikuwa karibu zaidi na China hata kuliko Urusi katika mambo mengi sana.
USSR ilikuwa haina mmiradi au vituo vyovyote hapa nchini.

Ni kweli. Nyerere alijiuzuru 1985. USSR ikaanguka 1989
 
Mwalimu aliondoka sio kwa sababu ya kusambaratika kwa USSR Bali ni kutokana na kuchoka kulikosababishwa na hali ya uchumi kuwa mbaya sana.

Mwalimu alitaka kuachia madaraka mwaka 1980 lakini aliambiwa angeondoka muda huo ingeonekana ameyakimbia matatizo hasa yaliyokuwa yamesababishwa na Vita ya Amin. Basi alikubali kuendelea lakini hata hivyo Hali ilizidi kuwa mbaya. Kulikuwa na deni la Vita dola 500 milioni na ukosefu mkubwa wa bidhaa.

Hayati Sokoine akaja na Sheria ya Uhujumu Uchumi na kuwasweka watu wengi ndani, wengine kwa kukutwa na boksi la sabuni tu. Mwalimu akagoma kuwasujudia IMF na WB na kufikia Uchaguzi Mkuu wa 1985 akawa hana namna nyingine isipokuwa kupumzika.
 
HUJUI HATA UNACHOANDIKA. USSR HUJUI ILIVUNJIKA LINI NA NYERERE ALIJIUZULU LINI. UNGEENDA KUKOJOA TU ULALE KESHO SHULE

Gwala kwa wana JF wote ,baada ya haya yote tukumbuke ya kuwa siku ya uchaguzi ni siku ya kufanya maamuzi sahihi (100% precise decision).

Tuchimbe kidogo kuhusu swala la Mwl Julius K. Nyerere nalo ni maamuzi yake ya kustaafu na kuachia madaraka kwa watu wengine (Kung'atuka). Je sababu ilikuwa ni kwamba aliona ilikuwa ni mda sahihi wa Tanzania kuwa na mabadiliko ya kitabia ya demokrasia? au kuna ajenda iliyojificha nyuma ya pazia?.

Turudi nyuma kidogo kabla Tanzania (kipindi icho ikijulikana kama Tanganyika) haijapata uhuru, nchi ya urusi ilikuwa na nguvu kubwa mno kabla U.S.S.R haijavunjwa na wao walikuwa tayari kuzisaidia nchi za Afrika kupata uhuru ikiwa tu wangekubali kuwa na Ujamaa. Kwa upande wa pili marekani ya kaskazini maarufu kama U.S.A wao walikuwa mstari wa mbele kuu "promote" ubepari (Capitalism) na ofa kwa nchi ambayo ingekubali kuutumia ubepari ilikuwa ni kupewa msaada wa hali na mali pamoja na kuisaidia kupata uhuru kutoka kwa wakoloni (Colonising Nations) , hapa naomba ieleweke kwamba U.S.A haikuwahi kuwa na koloni lolote ulimwenguni ila la kushangaza ni kwamba waliwahi kuwa chini ya "Super Tiger economic Country" ambayo ni Uingereza.

Tanganyika chini wapigania amani wa kipindi icho walipanga mikakati ya jinsi ya kupata uhuru tangia kipindi cha mjerumanj, lakini bahati haikuwa yetu kwani Germany walikuwa na armes forces za kutosha, hii ilipelekea kunyongwa ,kuchomwa visu na kupiga risasi kwa watu wengi wa Tanganyika. Kwa kiasi fulani morali ulishuka.

Baada ya vita ya kwanza kupiganwa (1914-1918) Ujerumani iliamuliwa kulipa fidia kwenye nchi ambazo zilipata maswahibu ya vita lakini pigo la mwisho lililowatia kitanzi ni kupokwa makoloni yake huku Africa kama Mali,Togo na Tanganyika, baadaye hayo makoloni akapewa muingereza lakini kwa wakati huu Tanganyika hatukuwa koloni bali tulikuwa chini ya Trusteeship yaani si kwamba tulikiwa fully independent wala kuwa hoarsely colonized. Issue ilikuwa ni kwamba tulikuwa chini ya Uingereza tukipewa muda wa kujiangalizia na kama tungekuwa tayari kujitawala basi hawa ma 'Britons' wangetupatia uhuru na kuondoka ingawa kiuhalisia ni kwamba walishanogewa na asali (mali+ardhi+cheap labor n.k) kuondoka kwao ingekuwa ngumu.

Lakini chini ya Mwl JK Nyerere hatimaye alifanikiwa kufika umoja wa mataifa na kutoa speech akielezea jinsi ambavyo tulikuwa tayari kujitawala, kwa kinyonge Uingereza ikakubali kuiachia nchi yetu kutokana na shinikizo zito la umoja wa mataifa. Hatimaye mwaka 1961 tukapata uhuru na hatimaye Tar 26-4- 1964 tukaungana na Zanzibar na kuitwa Tanzania.

Baada ya uhuru kupatikana mwalimu Nyerere akaegemea Ujamaa(Socialism) falsafa ya U.S.S.R yani tukawa tunafanya mambo kijamaa ,mambo ya kuwa na duka la ushirika na mengine mengi, kwa bahati ujamaa ulionekana kukosolewa na Bw Kambona aiyekuwa rafiki na mtu mwenye wadhfa kipindi icho, upingani wake ulisiginwa kama cigar na mwisho ukapotelea kusiko julikana.

Mtegemea cha ndugu ufa masikini ,baada ya miaka michache ya kuvuna misaada kutoka U.S.S.R baadaye ikavunjika na kupoyeza nguvu , nchi individually zikawa hazina tena mabavu ya kuendelea kusaidia nchi za Afrika zilizokuwa zikisgikilia Ujamaa ikiwemo Tanganyika, hatimaye yakatufika hapa (😓😓😓) .

ITAENDELEA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom