Since I was a young man I heard about these people, some are said they have high IQ than normal human being,and they scattered all over the world,but today I wait your contributions about it.but...
Nimekua nikiangalia muvi kwa mda kama wengi wetu tunavyo penda kupata muda kidogo wa kuufanya ubongo utulie kwa muda na kupata oxygen nzuri kama reserve kwa kuutimizia ubongo haja zake..
Yote...
SAFARI YA MAISHA NA LENGO LA MIILI YETU.
Safari ya maisha yako imejengwa kwenye sehemu kuu mbili; maisha ya kiroho yasionekana kwa macho na maisha ya kimwili ambayo uhisiwa na milango ya fahamu...
AMANI ILIYO JUU ZAIDI YA MEMA NA MABAYA
Je kuna tofauti kati ya furaha na amani ya ndani?
Bila shaka jibu ni ndiyo, furaha ni matokeo ya hali chanya tunazozipitia katika maisha yetu ya kila...
Heshima kwenu visima vya maalifa humu ndani ya JamiiForums. Ni matumaini yangu kwamba mu wazima.
Ndugu zangu dini yangu Mimi ni mkristo na kwa mujibu wa kitabu cha dini yangu nimeaminishwa kwamba...
I think,
the average life expectancy will be over 100 in Europe but below 40 in Africa asia and America
nudity and sex will be common place on TV(both local and international Tv stations)...
Haya ni maelezo ya aliyewahi kuwa mfanyakazi wa CIA, ndg. Brad Robinson, Muhitimu wa University of California ambaye kwa sasa anafanya kazi kama mchunguzi binafsi(private investigator) katika...
Dunia ina nchi zaidi ya 200,(mataifa) na Kila nchi ina muundo wa serikali yake.
Zipo serikali mbaya na pia zipo serikali nzuri, na ktk serikali hizo nzuri na mbaya, ndani yake pia zipo serikali...
Unaweza uKabisha mpaka ukafa ila ukweli uwa unabakia kua ukweli siku zote, tokea nipo shuleni tumekua tukitumia hii ramani ya duniA ambayo imekua ikituonyesha kua Africa ni ndogo sana kwa Russia...
wakuu asalaamu?
watu wengi hapa jf walishawahi kutoa michango yao kuhusu kurudi nyuma ya wakati yaani "back in time"
na mimi kwa mawazo yangu nahisi kama inawezekana!
mfano, nchi ya Rwanda iko...
Kwa baadhi ya ziara za Mhe. Raisi wa JMT nilizoshuhudia hususan nilizokuwepo eneo la tukio, nimeona wanausalama katika misafara hiyo wakikataza Raia kuchukua picha mnato au mjongeo.
Aidha endapo...
Pendo Lililobarikiwa,
Amani.
Jamiiforums sasa imekuwa ni Jukwaa la Kijamii la watu kutoka rika na makundi mbalimbali; wenye shauku ya kupenda na kutaka kujua mambo anuai-- yenye kuipa sifa ya...
Mara nyingi tunapojadili habari za sayansi giza... Lawama zote kejeli hata matusi hutupiwa mtu mweusi anayeonekana kukumbatia mila zisizo na faida wala ithibati...
Nimejaribu kuwaelimisha wengi...
By
Ethan Bronner
New book, ‘Rise and Kill First,’ implies Israel killed Arafat
Poisoned toothpaste that takes a month to end its target’s life. Armed drones. Exploding cell phones. Spare tires...
Wakati tuko shule ya Tulifundishwa historia ya vitu mbali mbali hasa kuhusu sisi waafrika na mambo yetu, mojawapo ya hoja au misingi ya somo hili ni kuelezea ugunduzi wa vitu mbali mbali na...
Habari wakuu.
Katika bible kuna issues kibao ambazo zinahitaji jicho la tatu kuweza kuelewa. Leo nna hitaji maoni na mawazo yenu mnaelewaje vitu hivi kadhaa kuhusu mnara wa babeli.
Tunajua wale...
Kwa muda mrefu nasikia majina tofauti tofauti ya nyoka na sifa zake,hatari zake...lakini je ni yupi ndio kiboko ya yote...yaani funga kazi.anapatikana wapi
Wanasifika sana ni kama vile...
Kwanza nimpe pole kamanda wa polisi aliyemu-underrate Dr Shika kwamba hana thamani hata ya million. Hawa ndio makamanda wetu wenye dhamana kubwa ya kutulinda. Tungesema sisi wa mitandaoni...
Utakuta mtu anapitiwa na rafiki zake waende mahali flani halafu kuna sauti inamwambia usiende na nyingine inamwambia nenda, na kisha baada ya kuiskiliza mojawapo ama kwenda au kutokenda mtu huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.