medsebapol
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 327
- 225
Mara nyingi kila binadamu tu akizaliwa uzaliwa na kipawa kutoka kwa muumba wetu.
Kipindi cha udogo utafanya mambo ya kushangaza mpaka wanaojua watasema huyu atakuja kuwa na fani flan.
Baada ya kukua na kufukia stage flani ukubwani basi kile alichokuwa nacho udogoni,ukubwani atakua na fani nyingine tofauti.
Kweli mzungu anatengeneza mambo mengi ila waga wanamueshimu sana mwenyezi mungu.ila sisi uku tulikobarikiwa na mambo mazuri basi tu