Infiltration: The Plot to Destroy the Church from Within

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,029
Reaction score
35,036
Ndugu zangu,

Hiki ni kitabu ambacho nimefatilia baadhi ya maandiko yake kupitia mada mbalimbali za Dr Taylor Marshall, nimeona kinafaa kusoma kwa wapenzi wa kufatilia mambo mazito kidogo. Ukienda Youtube utakuta mada zake nyingi kuhusu Kanisa. Huyu Author alikuwa protestant minister kabla yeye na Familia yake hawajajiunga Kanisa Katoliki.

Nashauri mwenye nia ya kufatilia hizi facts ni vyema awe ameiva kiimani ili afahamu lengo kuu ni kupata taarifa za kutusaidia kuomba kwaajili ya Kanisa badala ya kurukia mambo makubwa ambayo naamini wengi hatuyafahamu vizuri. Kitafute amazon usome mwenyewe.

Nimeona tweet ya Pres. Trump kuhusu barua aliyoandikiwa na aliyekuwa mwakilishi wa Papa huko Washington Bishop Vigano ambaye kwasasa yuko mafichoni ambako amekuwa akiandika mambo mengi kuhusu Vatican na Papa.

Tuzidi kuomba kwaajili ya Kanisa ambalo hapana shaka litashinda ila katika mapito haya roho za waamini zibaki salama.

Chini ni maelezo ya mtazamo wa kitabu hicho.

It took nearly two millennia for the enemies of the Catholic Church to realize they could not successfully attack the Church from the outside. Indeed, countless nemeses from Nero to Napoleon succeeded only in creating sympathy and martyrs for our Catholic Faith.

That all changed in the mid-19th century, when clandestine societies populated by Modernists and Marxists hatched a plan to subvert the Catholic Church from within. Their goal: to change Her doctrine, Her liturgy, and Her mission.

In this captivating and carefully documented book, Dr. Taylor Marshall pulls back the curtain on their nefarious plan, showing how these enemies of Christ strategically infiltrated the seminaries, then the priesthood, then the episcopacy, and eventually the cardinal-electors all with the eventual goal of electing one of their own as pope.

You'll come to see that the seemingly endless scandals plaguing the Church are not the result, as so many think, of cultural changes, or of Vatican II, but rather the natural consequences of an orchestrated demonic plot to destroy the Church.
In these gripping pages, you'll discover:

How popes of the 1800s discovered a plot to infiltrate the Church

How theologians suspected of being Modernists became Vatican powerbrokers.

How modifications in Catholic canon law enabled predator priests like Theodore McCarrick to stay in positions of power.

How Our Lady of La Salette gave a prophetic warning of the plot to infiltrate the Church.

How the chief architect of liturgical reforms was discovered to be a Freemason.

Archbishop Fulton Sheen's role in exposing the Communist infiltration of the priesthood.

How the confusing history of the Third Secret of Fatima relates to the infiltration of the Catholic Church.

That Pope Paul VI explained that Vatican II was not infallible.

How Pope Paul VI revoked the voting rights of cardinals over 80, thus guaranteeing that all voting cardinals were appointed by him.

How the criteria for sainthood shifted from a person's historical acts to his personal beliefs.

The complex roots of the St. Gallen Mafia and how they plotted to modify Catholic doctrine and elect Pope Francis.

Wasifu wa mwandishi;

Dr. Taylor Marshall earned a Ph.D. in Philosophy at the University of Dallas with his dissertation titled Thomas Aquinas on Natural Law and the Twofold Beatitude of Humanity. He is a best-selling author of eight books including: The Eternal City: Rome & the Origins of Catholic Christianity (Saint John Press, 2012), The Crucified Rabbi: Judaism and the Origins of Catholic Christianity (Saint John Press, 2009), The Catholic Perspective on Paul (Saint John Press, 2010), and Thomas Aquinas in 50 Pages: A Layman s Quick Guide to Thomism (Saint John Press, 2014). He has also published fictional works.
Dr. Marshall and his wife live in Texas with their eight children. He is the Founder of both the New Saint Thomas Institute and the Troops of Saint George.
 
Kuna miluzi mingi kuhusu RC ukiifatilia inaweza kupindisha imani yako.
Napenda kufuatilia vitu hivi ili kuona mitizamo ya wengine..ila hua najitahidi kuiacha huko huko.
Najua protestant wanamchukia sana Ignatus Luyola kwa kuja na idea yake ya Jesuist ambayo kutokana na Malengo yake yameifanya RC kua most powerful in all aspects.
Waache waongee wanavyojua, madman says what he say
 
Mimi mwenyewe nimeileta lakini kwa hofu kwa wale ambao hawajakomaa kiimani. Ila nafuatilia kwa karibu sana ili kujifunza mapito ya Kanisa.
 
Kanisa Katoliki linalindwa na Kristo kwa namna ya pekee sana. Ukisoma jinsi linavyosakamwa toka karne ya kwanza lakini linavuka ni kwa nguvu ya Mungu tu. Ila inasemekana nyakati zetu ndio moja ya nyakati ngumu sana sababu maadui wa Kanisa wapo ndani ya Kanisa na wengine wamefanikiwa kupenya hadi nafasi nyeti. Ile Amazon synod naamini lilikuwa jaribio la hatari ambalo lingeleta mpasuko mkubwa lakini Kristo ameizima kwa namna ya pekee. Tuzidi kuwaombea maaskofu wetu watuvushe salama Kanisa libakie moja.
 
Anatafuta scapegoat ya kuwakana hao pedophiles?..kama Hadi Pope Francis mnataka mumkane mbona hao wenye Imani hawashiriki kuwakana hao pedophiles?

Dunia nzima ukitaka shughuli ya kulawiti watoto bila kuguswa basi we jiingize kwenye upadri wa RC..

Hakuna cha enemies wala nini..msianze movements za kulitakasa kanisa na kesi za kulawiti watoto Kwa kusingizia imaginary infiltrators
 
Uhalifu ni uhalifu na kushiriki kwa namna yoyote kusaidia ni uhalifu. Kila nchi ina taratibu za kushughulika na mambo hayo na hakuna exceptional kwa viongozi wa dini.

Issue anayozungumzia Dr Taylor ni mpango wa muda mrefu na hakuna sehemu anayosafisha Kanisa.
 
Neno la Mungu ndio taa ya maisha yetu
Ndugu zangu,

Hiki ni kitabu ambacho nimefatilia baadhi ya maandiko yake kupitia mada mbalimbali za Dr Taylor Marshall, nimeona kinafaa kusoma kwa wapenzi wa kufatilia mambo mazito kidogo. Ukienda Youtube utakuta mada zake nyingi kuhusu Kanisa. Huyu Author alikuwa protestant minister kabla yeye na Familia yake hawajajiunga Kanisa Katoliki.

Nashauri mwenye nia ya kufatilia hizi facts ni vyema awe ameiva kiimani ili afahamu lengo kuu ni kupata taarifa za kutusaidia kuomba kwaajili ya Kanisa badala ya kurukia mambo makubwa ambayo naamini wengi hatuyafahamu vizuri. Kitafute amazon usome mwenyewe.

Nimeona tweet ya Pres. Trump kuhusu barua aliyoandikiwa na aliyekuwa mwakilishi wa Papa huko Washington Bishop Vigano ambaye kwasasa yuko mafichoni ambako amekuwa akiandika mambo mengi kuhusu Vatican na Papa.

Tuzidi kuomba kwaajili ya Kanisa ambalo hapana shaka litashinda ila katika mapito haya roho za waamini zibaki salama.

Chini ni maelezo ya mtazamo wa kitabu hicho.

It took nearly two millennia for the enemies of the Catholic Church to realize they could not successfully attack the Church from the outside. Indeed, countless nemeses from Nero to Napoleon succeeded only in creating sympathy and martyrs for our Catholic Faith.

That all changed in the mid-19th century, when clandestine societies populated by Modernists and Marxists hatched a plan to subvert the Catholic Church from within. Their goal: to change Her doctrine, Her liturgy, and Her mission.

In this captivating and carefully documented book, Dr. Taylor Marshall pulls back the curtain on their nefarious plan, showing how these enemies of Christ strategically infiltrated the seminaries, then the priesthood, then the episcopacy, and eventually the cardinal-electors all with the eventual goal of electing one of their own as pope.

You'll come to see that the seemingly endless scandals plaguing the Church are not the result, as so many think, of cultural changes, or of Vatican II, but rather the natural consequences of an orchestrated demonic plot to destroy the Church.
In these gripping pages, you'll discover:

How popes of the 1800s discovered a plot to infiltrate the Church

How theologians suspected of being Modernists became Vatican powerbrokers.

How modifications in Catholic canon law enabled predator priests like Theodore McCarrick to stay in positions of power.

How Our Lady of La Salette gave a prophetic warning of the plot to infiltrate the Church.

How the chief architect of liturgical reforms was discovered to be a Freemason.

Archbishop Fulton Sheen's role in exposing the Communist infiltration of the priesthood.

How the confusing history of the Third Secret of Fatima relates to the infiltration of the Catholic Church.

That Pope Paul VI explained that Vatican II was not infallible.

How Pope Paul VI revoked the voting rights of cardinals over 80, thus guaranteeing that all voting cardinals were appointed by him.

How the criteria for sainthood shifted from a person's historical acts to his personal beliefs.

The complex roots of the St. Gallen Mafia and how they plotted to modify Catholic doctrine and elect Pope Francis.

Wasifu wa mwandishi;

Dr. Taylor Marshall earned a Ph.D. in Philosophy at the University of Dallas with his dissertation titled Thomas Aquinas on Natural Law and the Twofold Beatitude of Humanity. He is a best-selling author of eight books including: The Eternal City: Rome & the Origins of Catholic Christianity (Saint John Press, 2012), The Crucified Rabbi: Judaism and the Origins of Catholic Christianity (Saint John Press, 2009), The Catholic Perspective on Paul (Saint John Press, 2010), and Thomas Aquinas in 50 Pages: A Layman s Quick Guide to Thomism (Saint John Press, 2014). He has also published fictional works.
Dr. Marshall and his wife live in Texas with their eight children. He is the Founder of both the New Saint Thomas Institute and the Troops of Saint George.
 
Mimi mwenyewe nimeileta lakini kwa hofu kwa wale ambao hawajakomaa kiimani. Ila nafuatilia kwa karibu sana ili kujifunza mapito ya Kanisa.
Unahangaishwa na imani za kikoloni?
 
Mimi ni mkatoliki na ni mseminari na sina nia ya kuhama dhehebu ama kuokoka kwakuwa nako si kuzuri vile kwakuwa shetani anatenda kazi huko pia....

Niko kwenye kutafuta ukweli kuhusu imani yangu na kujifunza wapi tunakosea...

Najua wenzangu mna msimamo japo cha msingi ni kujifunza juu ya critics kuliko kusimamia unachokijua...

Naomba angalia hii video chini kisha changia mawazo kwa uelewa wako. Nisaidie mkatoliki mwenzako kwa upendo kwakuwa nimekwazwa...

Lucifer kwa kumtumia Constantine aliingiza ushetani ambao hadi sasa kanisa limegawanyika kati ya freemasonic na real katoliki.... The Vortex anaongelea sana hili na kumkosoa hata papa Fransis na ma cregy wengine...

Ibada zetu zina ushetani ndani yake?
Naomba kwa upendo nisaidie ufafanuzj

Hakuna vita kwenye kuutafuta ukweli hata mdogo... ukijikuta umekasirika pls jipime ukristu wako...

Back
Top Bottom