under the same sun
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 160
- 37
Utakuta mtu anapitiwa na rafiki zake waende mahali flani halafu kuna sauti inamwambia usiende na nyingine inamwambia nenda, na kisha baada ya kuiskiliza mojawapo ama kwenda au kutokenda mtu huyo hujilaumu ama kwa sababu kaenda ama kutokwenda, au kupata faida ama kwa kwenda ama kutokwenda, sasa swali langu ni kwamba muongozo huo hutokea wapi? je hii umeshakutana nayo? je huwa unajiuliza huo mwongozo unaupata kutoka kwa nani na wapi?