Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Hakuna binadamu anayefikia u-smart alionao Mungu, kwanza kabisa Mungu hawezi vunja sheria aliyojiwekea tofaut na mwanadamu, pili Mungu sio muongeaji ongeaji hovyo, huwa ana maneno machache Kwa...
31 Reactions
294 Replies
26K Views
Ndugu zangu wana intelligence Nina wazo muhimu ambalo linaweza kubadili Tanzania kuwa katika ulimwengu wa pili au wa kwanza kabisa, Hii anatakiwa kuwa mwendelezo kabisa siyo suala la kukurupuka...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Je Watu hawa walituzidi in Terms of Teknologia?
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, ni kweli roho ina uzani wa gr21? Iwapo watu wa kale nchini Misri walikuwa wakisema ukweli , baada ya kifo binadamu huingia katika safari ndefu yenye matatizo hadi pale tunapowasili katika...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Mawazo ni uhalisia. Mawazo ni uhalisia unaosubiri muda fulani na space kufika na uhalisia huo kuonekana katika ulimwengu wako. Kinachofanya uone mawazo sio uhalisia ni muda. Kama kungekuwa...
30 Reactions
46 Replies
12K Views
SALUTE Leo napenda nizingumzie kitu kinachoitwa Kanuni ya umiliki (Law of possession). By Default Mungu alipomuumba mwandamu alimpatia access ya kumiliki kila kitu kilichopoo duniani, kwahiyo...
20 Reactions
84 Replies
11K Views
Ndugu Wanabodi, Napenda kuwaambia Watanzania wapenda AMANI na UTULIVU kuwa Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania na kuwa ni Mtu wa Burundi aliyeingilia Kigoma na kuzamia Dar es salaam. Bw. Ponda...
10 Reactions
226 Replies
34K Views
Kutokana na taarifa zilizoingia kwenye wires this evening hapa London ni kuwa ile skendo ya Mtambo wa rada imeibuka umpya na kuna INVESTIGATION on the way na hawa jamaa wa SFO au serious fraud...
1 Reactions
3K Replies
400K Views
Najua ulaya barabara za chini ya bahari zipo hasa Marekani, kwakuwa Zanzibar siyo mbali toka Dar es salaam kwanini tusiwe na barabara za chini ya bahari tuwe tunaenda kwa magari? Wakati wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Stairs escalator tukiapply ktk barabara za pembeni kutoka mtaa mmoja hadi mwingine zitasaidia wazee kwenda makanisani na wagonjwa kwenda mahospitalini Picha chini haijawai tokea bado kukawa na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi.. Kwa muda mrefu tumekuwa tukiyasikia haya mashirika mawili katika vyombo vya habari na hata kwenye filamu mbalimbali... Nikiamini kwamba mashirika haya yana lengo kuu la...
8 Reactions
197 Replies
39K Views
Duniani kuna viumbe vitatu tuu.... vyenye mpangilio sawia kwenye ubongo. Navyo ni:~ A. Binadamu B. Dolfine C. Gorilla Bila kusahau tembo mwenye ubongo mkubwa mno lakini uko fold ndani ya...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Huko mwaka 2018 kulivuma habari, Marekani baada ya mtu mmoja asiyejulikana jina ....kutuma ujumbe wa sauti katika vyanzo mbalimbali ikiwemo vya habari Mtu huyo alieleza kuwa 12-9-2018 atazaliwa...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni sehemu ya kitabu cha RWANDESE SPIONNEN kilichoandikwa kwa lugha ya ki Dutch na mwandishi nguli wa masuala ya Ujasusi Arend Goffin,kitabu pia kimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Hawa ni viumbe ambao inakadiriwa waliishi miaka mingi iliyopita kabla hata ya mwanadamu kuwekwa kwenye uso wa dunia. Kipindi hicho dunia ilikuwa haijagawanyika, ardhi ilikuwa sehemu moja na...
5 Reactions
67 Replies
10K Views
Kama ilivyo ada kwa majeshi ya nchi kua na kitengo cha Anga,Jeshi letu pia sisi wananchi wa Tanzania tunayo kamandi yetu inaitwa Air Wing.Nembo yake ni hii hapa. Sare zao ni hizi hapa Huyu ni...
9 Reactions
100 Replies
27K Views
Habari zenu wanajamvi, awali ya yote namshukuru Mungu kwa kunipa uhai.... Going straight to the point,. Hizi siku chache almost (22+days), baada ya kuwa na almost same routine nnapokaribia...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Rafiki yangu mpendwa, Tahajudi au kama inavyofahamika kwa Kiingereza Meditation ni zoezi la kiakili ambalo linatuwezesha kuwa na udhibiti wa fikra zetu, kitu ambacho kinatuletea utulivu mkubwa na...
31 Reactions
55 Replies
18K Views
Ukijifunza kuyachungulia mawazo yako utaona si kitu ila ni mzigo wa mambo yaliyopita na matarajio yajayo, ukifikiria kwa makini utagundua yaliyopita na yajayo yote ni taswira ya fikra tu ila sio...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii machine pichani inaitwa Sarco device au Pegasos wengi wanapenda kuiita suicide bag au Death Pod kwa majina ya utani ila kitaalamu inaitwa "Euthanasia device" hii mashine inatumika kwa Mtu...
4 Reactions
60 Replies
9K Views
Back
Top Bottom