What do you think the world will be like in 100 years?

Leonard Robert

JF-Expert Member
Apr 22, 2011
11,064
7,196
I think,
the average life expectancy will be over 100 in Europe but below 40 in Africa asia and America
nudity and sex will be common place on TV(both local and international Tv stations)
everything will probably be purchased on credit cards
free internet worldwide

am not sure if we'll be over populated or
we'll be dead from global warming

I think you have some thoughts on it.. Tell us.. Wanasayansi tell us about tectonic plates,bonde la ufa litakuaje.. Wanahistoria tell something about capitalism,globalization vitakuwepo au la? Watu wa dini hali itakuje kwa maoni yenu..
Karibu..
 
karibuni wadau mtueleze baada ya miaka 100 hali itakuje,mko wapi magreat thinker?
 
uwanja huu unauhusisha fani zote na na mitazomo ya aina yoyote,twambie wadau
 
dunia itakuwa kama kijiji mwaswala ya teknolojia itasamba mpaka vijijini.nchi masikini zitakufa kibudu
nawasilisha
 
kwahiyo utandawazi utashika kasi zaidi kuliko sasa
fafunua nini kitaua nchi maskini?
 
Possibly in the next hundred years Teleportation booth will replace other modes of transport and hence radically transform the way we live. Transporting passengers and goods will be as easy as sending an e mail across the world to friend in New York. It will be possible to work in say London and dwell in Dar. Each morning you walk into a teleporting booth pop up in London in an instant. Of course you can have your lunch in Dar and be back in London for afternoon Board meeting. A farmer in Morogoro can get his crop to say Nairobi market instantly and get paid via M pesa.

Teleportion does raise serious questions on illegal migration, human and drug trafficking and security. Where would the security of good be if bad/terrosist can invade them at pleasure?

http://science.howstuffworks.com/science-vs-myth/everyday-myths/teleportation.htm
 
I think,
the average life expectancy will be over 100 in Europe but below 40 in Africa asia and America
nudity and sex will be common place on TV(both local and international Tv stations)
everything will probably be purchased on credit cards
free internet worldwide

am not sure if we'll be over populated or
we'll be dead from global warming

I think you have some thoughts on it.. Tell us.. Wanasayansi tell us about tectonic plates,bonde la ufa litakuaje.. Wanahistoria tell something about capitalism,globalization vitakuwepo au la? Watu wa dini hali itakuje kwa maoni yenu..
Karibu..

Life expectancy is directly proportional to income...as long as these economies are growing then you should expect higher Life expectancy,..
 
Poor countries like TZ zitakua hazipo tena. Zitakua zishanunuliwa na nchi tajiri. Teknolojia itashika hatamu zaidi katika nyanja zote. Mfano,upatikanaji wa maji hautategemea misitu,
 
If. . .Dunia itakua ya hovyo kwa maana ya ubinadamu!
 
Mimi naona maisha ya baadaye yanategemea jinsi tunavyojipanga sasa. Kwa nchi kama ya kwetu ambayo mipango yake ni mibovu miaka mia baadaye tutakuwa na maisha mabovu kuliko sasa labda tuweke mipango yenye faida kwa wote
 
Poor countries like TZ zitakua hazipo tena. Zitakua zishanunuliwa na nchi tajiri. Teknolojia itashika hatamu zaidi katika nyanja zote. Mfano,upatikanaji wa maji hautategemea misitu,

poor countries zita disappear vipi au umoja wa nchi za kiafrika utakuepo? Yaani United State of Africa.
 
Possibly in the next hundred years Teleportation booth will replace other modes of transport and hence radically transform the way we live. Transporting passengers and goods will be as easy as sending an e mail across the world to friend in New York. It will be possible to work in say London and dwell in Dar. Each morning you walk into a teleporting booth pop up in London in an instant. Of course you can have your lunch in Dar and be back in London for afternoon Board meeting. A farmer in Morogoro can get his crop to say Nairobi market instantly and get paid via M pesa.

Teleportion does raise serious questions on illegal migration, human and drug trafficking and security. Where would the security of good be if bad/terrosist can invade them at pleasure?

HowStuffWorks "How Teleportation Will Work"

Quoted for truth,but
am not sure if Africa gonna have the same speed technologicaly..
 
Nachoamini hii issue ya mungu wa mbinguni(muumba wa kila kitu) itakua haina mshiko hata kidogo,.....watu watataka material things.....ili kuthibitisha.
 
If we Africans will continue keeping up with these imported political policies and our leaders going around the world to search for Aids and grants, for sure Africa will be colonized again without scramble nor partition. But if and only if African nations takes charge of its future and learn from country like China to create our economy and manage our resources, we will rule the world more than any powerful country has ever done.
 
...by then wadhungu watakua washarudi na kusettle Africa kama awali...ii misaada ya mabilioni wanayotupa leo ni advance tu za ununuzi wa nchi ze coz hatunauezo wa kuzirudisha, pia cku zinavosonga tunazidi kuwalilia misaada, ofcourse teknolojia itakua juu sana (no doubt bout teleportation) ila utumwa, unyanyaswaji, n.k ndo vitatughubika, they are coming back, ila the only way to stop them, nkujisafisha sie wenyewe kwanza, na kujisimamia kikamilifu
 
Nachoamini hii issue ya mungu wa mbinguni(muumba wa kila kitu) itakua haina mshiko hata kidogo,.....watu watataka material things.....ili kuthibitisha.

sasa kwanini mambo ya mungu yanapungua kasi na mashiko wakati hawa wachungaji na mashehe wanaongezeka makundi kwa makundi?
 
...by then wadhungu watakua washarudi na kusettle Africa kama awali...ii misaada ya mabilioni wanayotupa leo ni advance tu za ununuzi wa nchi ze coz hatunauezo wa kuzirudisha, pia cku zinavosonga tunazidi kuwalilia misaada, ofcourse teknolojia itakua juu sana (no doubt bout teleportation) ila utumwa, unyanyaswaji, n.k ndo vitatughubika, they are coming back, ila the only way to stop them, nkujisafisha sie wenyewe kwanza, na kujisimamia kikamilifu

kama hali itakua hivi Afrika hapatakua mahali salama pa kuishi pia Tanzania/Tanganyika hali itakua mbaya sana
 
Mimi naona maisha ya baadaye yanategemea jinsi tunavyojipanga sasa. Kwa nchi kama ya kwetu ambayo mipango yake ni mibovu miaka mia baadaye tutakuwa na maisha mabovu kuliko sasa labda tuweke mipango yenye faida kwa wote

wewe mipango ya dunia unaionaje.. Hali itakuaje miaka 100 ijayo kutokana na mipango hii?
 
wale wa freemason mnasema, hii imani itakuwepo au itakuja mpya kali na maarufu kuliko hii?
 
Back
Top Bottom