Nianze kwa kuweka pembeni mafundisho ya dini yoyote kuhusu Mungu.
Nitakupa maana yangu niliyoibuni nilipokuwa mdogo chini ya miaka 10.
Nilimuuliza Bibi yangu mzaa Baba: Sisi tumeumbwa na Mungu...
Dunia imegawanyika katika sehemu kuu tatu.
1.Vitu halisi vinavyoweza kuthibitishwa na milango ya fahamu ya binadamu mfano kiti,mlima, nguo,nyumba,mnyama,binadamu mwenzako,nyota,sayari n.k.Pia...
Habari za wakati huu ni matumaini yangu kuwa Jumamosi yenu inakwenda vyema kabisa.
Naombeni kuleta uzi kuhusu familia hii ya kipekee kidogo katika uso Wa dunia.
Karibuni.
Hii ni familia ya Bwana...
Angalia vitu vyote katika maendeleo yao na mageuzi yao, hewa ni ya lazima. Michakato yote ya viumbe haiwezekani bila uwepo wa hewa.
Kitalaamu hewa inaelezwa kuwa ni mkusanyiko wa gesi mbalimbali...
Wengi watajiuliza baada ya kusoma kichwa cha habari. Je, ni kitabu gani hicho haswaa cha wahenga kilichomaanishwa hapa?
Jibu ni rahisi kuwa kitabu kilichomaanishwa ni hicho hicho maarufu zaidi...
'Leo ntazungumzia mada tata kidogo ya kifo maana kamwe hata mwanasayansi hawezi thibitisha undani wake si kwa sababu haiwezekani la hasha hakuna aliye tiyari kutangulia na madamu ukienda huko ndo...
Heshima kwenu wakuu;
Katika ulimwengu huu tunaoishi ambao teknolojia ya mawasiliano imekuwa ikipanuka na kushamiri kwa kasi kiasi cha kufanya dunia kuwa kama kijiji kwa kuwaunganisha watu kupitia...
Rupia pamoja hela fulani za zamani ambazo zinatafutwa sana na watu hata kwakununuliwa kwa mabilioni ya fedha kuna uhusiano fulani na baraka za kutoka kwa mungu.Hili swala nalizungumzia kwa...
Kwa nini dini ya Kikristo imeweza kupata mafanikio makubwa kwa maana ya kuwa na idadi kubwa ya wafuasi kuliko dini zozote zilizoitangulia ? Inakadiriwa ukirsto una idadi ya wafuasi bilioni 2.3,hii...
Jamani, nasikia Usalama wa Taifa ni watu makini sana na nadhifu,na wana siri kuu za dunia.
Sasa ikiwa unataka kumuoa, anaruhusiwa kukueleza siri za nchi kwakuwa mmekuwa mwili mmoja na unampataje...
Ebu Leo tuambizane ukweli hapa!!
Hivi ni kweli kabisa Dunia imeshindwa kuwakamata waliotengeneza kirusi cha korona?
Mataifa makubwa wameshindwaje kung'amua mipango ya uaandaaji wa kirusi hiki...
Jina la Kitabu. Tough Times Never Last, But Tough People Do!
Mwandishi. Robert H. Schuller
Mchambuzi. Nanyaro EJ
Utangulizi
Mwandishi anasema kuwa Mwenyenzi Mungu amempa mwongozo mzuri na...
Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.
Mwanadamu wa kwanza...
Leo nitapenda nizungumzie usingizi kwa mtizamo wa kujikita upande wa ndoto ambazo tunaamini ubeba jumbe au tafsiri fulani ni kwanini tunapolala uota ndoto za namna fulani na ndoto hizo huwa na...
Kitabu.Parenting with Love and logic
Mwandishi.Foster Cline & Jim Fay
Mchambuzi.Nanyaro EJ
Utangulizi
Mwandishi anasema kuwa swala la malezi ni mjadala mpana na ambao hakuna njia moja...
MINAMATA DISEASE
Ugonjwa uliogundulika kwa mara ya kwanza sehemu iliyoitwa Minamata kwenye mji wa Kumamoto huko Japan mwaka 1956.
Nini chanzo za ugonjwa wa Minamata?
Tarehe 21 april mwaka 1956...
Nijuavyo wapo binadamu baadhi wameyajua matamanio ya binadamu kiujumla!,namaanisha wanajua ubongo wa binadamu unataka kusikia nini..? Unafikiria nini juu ya mambo mtambuka na binadamu anahisia...
Inasemekana wakati wa ubaguzi wa rangi Africa ya kusini serikali ya makaburu ilikuwa na silaha za nyuklia. Ilikuwa inajiandaa iwapo mataifa huru yangeungana na kuivamia.
Wakati Pakistan...
Zamani wazungu walikuwa wanawabagua wajapani wakiwaita nyani. Lakini baada ya wajapan kuendelea na kuonyesha mambo wanayoweza kufanya kumekuwa na heshima kubwa sana kati yao.
Wajapan wenyewe...
Najaribu kutafakari hii namba saba lakini ina niweka kunywe kutafakari zaidi hata kiimani zaidi.
Si geni kwa wale wanao jua dini kusikia kwenye vitabu biblia na Quran ikitaja siku saba za umbaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.