Aliyewaficha waliotengeneza Korona ni nani; Siamini kama dunia imeshindwa kuwatambua wahusika wakati kila kitu kiko wazi!?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Ebu Leo tuambizane ukweli hapa!!

Hivi ni kweli kabisa Dunia imeshindwa kuwakamata waliotengeneza kirusi cha korona?

Mataifa makubwa wameshindwaje kung'amua mipango ya uaandaaji wa kirusi hiki hadi project ikakamilika?

Ukiangalia mtandaoni zipo video nyingi sana ikiwemo (Contagious) zilizotabiri ugonjwa huu unavyosambaa kwa njia ya hewa, je mataifa makubwa wameshindwaje kuwahoji hawa watu walioandaa hizo video?

Zipo kauli za matajiri akiwemo Billgates alinukuliwa kushabikia ugonjwa huu, je amewahi kuhojiwa kwa lolote?

Haya kirusi cha kwanza kimetoka kimya, cha pili kilichoboreshwa nacho kimekuja kwa kasi, kimyaaa!

Inamaana Dunia imeshindwa kabisa kujua hata ilipo maabara hii ya hawa waharamia?

Ulinzi wa Dunia uko wapi?

Hawa wahuni wanavyotupelekesha hivi wanalipwa na nani?

Kuna project nyingine Lukuki za hatari zipo maabara, je Dunia huwa haioni mapema mambo haya? Mfano project ya (IJUE KESHO YAKO LEO)! Ni project itakayoongeza machafuko kama ikikamilika!

Je; ni kweli hawa watu hawakamatiki kuinusuru Dunia?
 
Wachina ndiyo waliotengeneza hiki kirusi sasa wanaruka eti haikuanzia kwao na wakati huo huo Wataalamu 9 kama sikosei kutoka WHO wako Wuhan lakini sehemu nyingi wanakataliwa kuingia hata hiyo Lab iliyohusika kutengeneza huyo mdudu. Cha kushangaza pia wamesubiri zaidi ya mwaka ndiyo wamewaruhusu hao wataalamu na hata hivyo hawawezi kufanya uchunguzi wowote ule. Wachina ni wauaji na inabidi wailipe kila nchi duniani pesa nyingi sana kama faini yao, at least $10 billions or even more.
 
And this will take the china economy even if it takes 10 yrs to come mark my words
 
Deep state katika mataifa makubwa hawana mawazo madogo na ya hovyo kama ya kwako.
Ebu Leo tuambizane ukweli hapa!!

Hivi ni kweli kabisa Dunia imeshindwa kuwakamata waliotengeneza kirusi cha korona?

Mataifa makubwa wameshindwaje kung'amua mipango ya uaandaaji wa kirusi hiki hadi project ikakamilika?

Ukiangalia mtandaoni zipo video nyingi sana ikiwemo (Contagious) zilizotabiri ugonjwa huu unavyosambaa kwa njia ya hewa, je mataifa makubwa wameshindwaje kuwahoji hawa watu walioandaa hizo video?
Zipo kauli za matajiri akiwemo Billgates alinukuliwa kushabikia ugonjwa huu, je amewahi kuhojiwa kwa lolote?
Haya kirusi cha kwanza kimetoka kimya, cha pili kilichoboreshwa nacho kimekuja kwa kasi, kimyaaa!

Inamaana Dunia imeshindwa kabisa kujua hata ilipo maabara hii ya hawa waharamia?

Ulinzi wa Dunia uko wapi?

Hawa wahuni wanavyotupelekesha hivi wanalipwa na nani?

Kuna project nyingine Lukuki za hatari zipo maabara, je Dunia huwa haioni mapema mambo haya? Mfano project ya (IJUE KESHO YAKO LEO)! Ni project itakayoongeza machafuko kama ikikamilika!

Je; ni kweli hawa watu hawakamatiki kuinusuru Dunia?
 
Nani alitengeneza Bubonic Plague ?
Wachina ndiyo waliotengeneza hiki kirusi sasa wanaruka eti haikuanzia kwao na wakati huo huo Wataalamu 9 kama sikosei kutoka WHO wako Wuhan lakini sehemu nyingi wanakataliwa kuingia hata hiyo Lab iliyohusika kutengeneza huyo mdudu. Cha kushangaza pia wamesubiri zaidi ya mwaka ndiyo wamewaruhusu hao wataalamu na hata hivyo hawawezi kufanya uchunguzi wowote ule. Wachina ni wauaji na inabidi wailipe kila nchi duniani pesa nyingi sana kama faini yao, at least $10 billions or even more.
 
Ebu Leo tuambizane ukweli hapa!!

Hivi ni kweli kabisa Dunia imeshindwa kuwakamata waliotengeneza kirusi cha korona?

Mataifa makubwa wameshindwaje kung'amua mipango ya uaandaaji wa kirusi hiki hadi project ikakamilika?

Ukiangalia mtandaoni zipo video nyingi sana ikiwemo (Contagious) zilizotabiri ugonjwa huu unavyosambaa kwa njia ya hewa, je mataifa makubwa wameshindwaje kuwahoji hawa watu walioandaa hizo video?
Zipo kauli za matajiri akiwemo Billgates alinukuliwa kushabikia ugonjwa huu, je amewahi kuhojiwa kwa lolote?
Haya kirusi cha kwanza kimetoka kimya, cha pili kilichoboreshwa nacho kimekuja kwa kasi, kimyaaa!

Inamaana Dunia imeshindwa kabisa kujua hata ilipo maabara hii ya hawa waharamia?

Ulinzi wa Dunia uko wapi?

Hawa wahuni wanavyotupelekesha hivi wanalipwa na nani?

Kuna project nyingine Lukuki za hatari zipo maabara, je Dunia huwa haioni mapema mambo haya? Mfano project ya (IJUE KESHO YAKO LEO)! Ni project itakayoongeza machafuko kama ikikamilika!

Je; ni kweli hawa watu hawakamatiki kuinusuru Dunia?
Mkuu,

Untaka kuwajua waliotengeneza UVIKO (Korona)?

Una kifua cha kuhimili changamoto itakayokukabili?

The New World Order is looking for a proper implementation timing:

Look into the following

1. Locust Plague in Africa;
2. Corona virus infections and consequential impact across the globe
3. Undeclared economic recession across the globe
4. Right, Left and Center Political Policies have failed the World
5. Boiling conflict tension between IRAN, NORTH KOREA, CHINA na USA is an iceberg calendar scroll tribulation
6. The internal political situation in the USA that has torn apart race and ideology integration mfor teh nation's interests
7. The economy diplomacy occasionally rides on justice and human rights as opposed to political diplomacy that deceptively pet the whinging citizens for the dominion interests' achievement priority
8. The 2G & 3G generation are in clash with the upcoming 4G & 5G generation oriented to scientific technology to effectively accomplish assignment within time limited and productivity increased;
 
Sikia wewe utakaye waka mata hao wahuni!! watakukomesha hivi; wanakupa vya kwako peke yako km adhabu na unavipeleke kwa familia yako kabisaa unaona hivi watoto wako na mkeo wanataabika!!! halafu unarudi kuwaomba dawa na msamaha tena juu!!

je nani atadhubutu kufanya hivyo? au unadhani mamlaka za huko kwao hazijui? hao hao ndo wamewapa kuongoza hizo mamlaka tena lao ni moja kabisaaa!! sasa jifanyishe uwageuke uone muziki wake!!!

Hizo ndo sirikali za kibabe na akili mingi halafu wao na familia zao wanapeta tu kirorho safiiiii! , hawaugui!!! hawachanjwi, hawaguswi hata unywele!! msio na akili, Mambululaa! ndo km hivi! mtachezewa weeeee! mpaka mtie akili!!

Suala ni kupiga magoti tu muwaombe! na mjipendekeze sana jamani chonde!! chonde!! punguzeni.hapa..
hata uwe na vinu vya nuclear vipi!! tena za kutosha mbele ya virus vya kimya kimya!! utakufa vibaya heee!! na hizo Nuclea weapons zako za kibabe zitabaki nzimaaa. zitabakia mazalia ya panya tu! covid havionekani vile!

Sasa vinakuja special ajili ya watu weusi tu!! make vya sasa mko wabishi kidogo na kashfa nyingi!! kirusi kinachokuja kinaua mpaka na sisimizi, majani achilia mbali mifugo. halafu watawaaacha kiwapige bure bila dawa km miaka miwili hivi mfe vizuri,

sasa hapo mleta mada hamjatia akili tu? na gwajima weenu muongo huyo!, hajui hata simple mechanism ya Maabara? na usisahau jiwe wenu huyo!!

kwanza mtakufa na mambo mawili

moja; na virus then

cha pili njaa!!! sababu hamtazalisha! mtakufa mnajiona hivi! wenzenu wana mahela! sijui mtamlilia yesu wenu wa vatican yule! nae atawageuka tu! hatawasikiliza kwa sababu ni mzungu mwenzao yule!

kudadaaadeki na Rais wenu anawaponza! anabwabwaja sana, Mabeberu hawajafurahia hizo kauli mbuzi zake!! kwa mtizamo wa Jiwe na waafrica wenzake! eti wao weupe wafe na nyie nyani mnapeta??! subirini tu mtaipata fresh!

Mwezi wa saba siyo mbali!! si hamtaki kufanyiwa majaribio? wanakuja wana hasira na nyie hao! heee! makaburi myachimbe kabisaaa makaburi yenu!! Jiwe anawaponza wanatamani waanze nae! tena watamletea kile chenyewe hasa!

Hivi tunavo bwabwaja hapa wanatuona vizuri sana labda waogope kelele zetu!! ndo itakuwa pona pona yake! wao km kawaida wanaanziaga mbaaali, km kina shana, Rose mary nyerere walivo vuta, lkn lengo ni jiwe!
 
Back
Top Bottom