Wana jf wote ninawasalimu.
Moja kwa moja kwenye mada, siku za hivi karibuni baada ya kuzuka kwa tetesi zilizohusisha afya ya raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. JPM na HABARI...
Helo guys wazima nyie?
Kuna maswali na hoja tofauti nimekua nakutana nazo kuhusiana na watu wanaotumia mkono wa kushoto (Left handed peoples).
Baadhi ya hoja na maswali hayo ni:-
Kwanini mtu...
Salute Comrades..
NB:Maelezo yangu hapa chini yanajaribu kuakisi ni wapi hasa bustani ya edeni ilikuwepo, lakini kutokana na vyanzo vya habari bado sijapata hasa ni wapi bustani hii ilikuwepo...
Hili ni jaribio lililofanyika mwaka 1907
Na Daktari mbobezi ndugu Duncun MacDougal.
Daktari huyu alikuja na swali kwamba je!! Inawezekana nafsi (soul)ikawa na nzito flani unaopimika!!!
Ili kuja...
Haina ubishi, wakristo wote huamini Jerusalem ndio mji muhimu kuliko yote katika imani yao na ni mji mtakatifu sana. Kila mkristo hutamani kufika huko kuhiji na kuyatembelea matukufu ya Mungu...
Habari za mchana wakuu, Bila shaka jumamosi njema sana leo. Naomba kuleta Uzi kuhusu bibi mkubwa mmoja ambaye kwenye soma soma za hapa na pale amenipa hamasa ya kushare nanyi historia ya maisha...
Utapeli wa 419 ni utapeli ambao pia unajulikana kama Lipa Ada Kabla (Advance Fee Scam). Ni utapeli ambao hufanywa kwa kiasi kikubwa nchini Nigeria, na namba 419 ni ‘code’ ya Nigeria ya kitengo cha...
Tangu utotoni mpaka nakua nimekuwa nikisikia simulizi nyingi sana za mambo ya kuogofya, mambo ya kishirikiza, walozi, uganga, wakonikoni,
Sasa hapa kwenye uganga mara nyingi watu huenda kueleza...
Unafikiri kwanini umeumbwa uishi, lakini badae unatakiwa ufe. Yaani umezaliwa unaishi lakini piga ua pamoja na mali zako badae unatakiwa ufe. KWANINI ???? Ni KWANINI..... wew haujiulizi sababu...
Natumaini wote wazima ndugu wa JF,
Rejea kichwa cha habari hapo juu kwa kweli nimekua nikitafuta majibu ya hilo swali lakini nimekosa jibu sahihi
Inasemekana na kusadikika ukristo ulikuja baada...
Rais wa zamani wa Syria bwana Hafez Assad (Baba yake na Bashar, rais wa sasa) alikuja kugundua ya kuwa idara ya ujasusi ya Israel (mafundi wa Mossad) walimtengenezea choo cha bandia kwa kutumia...
Wakuu JF ni chuo cha maarifa makubwa maana kumejaa ma-GT,katika pitapita zangu nimekutana na historia kwa ufupi kuhusu kitabu hiki "History of the necronomicon"ambacho kinasemekana ni kitabu...
Makaburi ya zamani ambayo yana majeneza kadha yaliyotengenezwa kwa mawe, na mkufu ulio na "ujumbe kutoka kuzimuni" vimegunduliwa nchini Misri.
Ugunduzi huo umefanywa Minya, kusini mwa Cairo...
(Picha ikionyesha Warmhole na Nyota mbalimbali)
Salute Comrades.
Kwa references ya vitabu vya imani za dini mbalimbali zinasema kua hapo zamani Mungu aliumba ulimwengu, akaumba vyote vilivyomo...
Habarini wapenzi wa jukwaa hili....tulipoteana kidogo lakini naamini kila mmoja wetu ana siha njema...nawaombea afya tele na furaha pia
Wengi wetu kama si kwa uchache basi kwa wingi tunachanganya...
Naomba kuzungumzia mfanano wa visa vya biblia takatifu na jinsi ambayo havipishani katika kusudio la ujumbe na maana licha ya stori na wahusika kuwa tofauti ila kinachowasilishwa huwa ni kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.